watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Tarime: Mwalimu wa Madrasa akamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo

    Mwalimu wa dini wa shule za madrassa huko Tarime amekamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo. Soma mwenyewe hapa chini. ====== MWALIMU wa madrasa kwenye Msikiti wa Kebeyo, Kijiji cha Getenga, Tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Shaban Harun (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi...
  2. Ustahimilivu wa Digitali Unawawezesha Watoto Kunufaika na Matumizi ya Mtandao

    Ustahimilivu wa digitali kwa watoto ni ujuzi ambao watoto wanahitaji ili kudhibiti na kustahimili changamoto za ulimwengu wa mtandaoni kwa usalama. Ni uwezo wa kutofautisha mema na mabaya katika maisha ya kidigitali, kufikiri kwa umakini, kufanya maamuzi mazuri, na kufahamu hatari na matokeo ya...
  3. Hofu yatanda kwa wazazi, watoto kufundishwa kulawitiana mashuleni. Tufanye nini kuokoa watoto wetu?

    Hello! Hofu imewakumba Wazazi kufuatia kuripotiwa Kwa taarifa kwamba Watoto wamekuwa Wakifundishwa kulawitiana wakiwa Mashuleni. Shule ndio zilikuwa kimbilio la Wazazi lakini nako sio salama tena, kama jamii tunaelekea wapi? Yale maadili ya Watznzania Yako wapi? Kila siku tunaingia makanisani...
  4. Leo napenda nitoe Ushauri (unaweza kuuchukua au Kuucha) kuhusu watoto

    Habari za Mwaka Mpya. Vijana wengi wa mwaka (1990 to 1997 kwa wasichana) wana watoto, hakuna mzazi anaependa mtoto wake awe wa mwisho darasani, kila mzazi anapenda mtoto wake amletee "A" kwenye kila somo, tunaona wengine wanavyofurahia matokeo ya watoto wao kwenye mitandao. NAKUSHAURI; kabla...
  5. Dunia ya sasa ukiwa na watoto wengi kuliko mali ulizonazo wewe ni Maskini

    Dunia ya leo ni tofauti sana na ile dunia ya miaka 1000 iliyopita dunia ya leo kadiri unavyoongeza watoto unagundua ndivyo unavyojiongezea mzigo wa malezi, matunzo na nguvu ya ulinzi ya watoto wako kiroho na kimwili, Dunia ya leo upebari ndio unaoitawala na kuiongoza dunia kuliko ule mfumo wa...
  6. Prof. Mkenda: Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum msiwafiche ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum

    Na WyEST Masasi, MTWARA Wito umetolewa kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum kwa ajili ya watoto hao. Hayo yamesemwa na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia alipokuwa akizindua...
  7. Kasumba potofu walizopewa Watoto kuhusu "wanaume watakaoolewa nao; na Wanawake watakaowaoa"

    KASUMBA POTOFU WALIZOPEWA WATOTO KUHUSU "WANAUME WATAKAOOLEWA NAO; NA WANAWAKE WATAKAOWAOA" Anaandika Robert Heriel. Baba "Wanaume ni wabaya" "Wanaume ni wakatili, wakorofi na wanatabia za kupiga." "Wanaume ni waongo, watakurubuni, watakuchezea alafu watakudampo" Hizo ni baadhi ya kauli ambazo...
  8. K

    VETA_ kwanini hamchagui watoto raondomly kama ilivyosecondary?

    Wadau unakuta kunaveta hazina wanafunzi wakutosha wakati kunasehemu wanafunzi wamekoswa.. kwanini hizo veta zisichukue matokeo ya hawa walioomb aila wkakoswa kwenye nafasi ya chuo cha mwanzo ili kuwapa fursa kuliko kuendesha baadhi ya vyuo bilawatoto wakutosha?
  9. Force Account inataka kuua watoto!

    Force Account at village level! Watu nanafikiri kujenga choo hata cha shimo, kama nyumbani kwake, ni simple business. Wanafikiri ni kutandika vyuma na kumwaga zege, Fundi Maiko style. Sasa katika clip, hata malaymen kijijini hapo wametambua kuwa kitu kinajengwa kiholea na kinatishia maisha ya...
  10. Wazazi wawezesheni watoto wenu kiuchumi

    Siku hizi hali Ni Tete mtaani vyuma vimekaza kabisa hakuna michongo Wala nafasi za kutosha za ajira. Vijana wengi wanahitimu vyuo wanarudi mtaani kutafuta ramani za maisha ila mambo hayaendi hawana CONNECTIONS kabisa. Wengi wanakuwa ' liabilities' kwa wazazi wao licha ya kuwa na elimu ya...
  11. R

    Vidokezo vya malezi kwa wazazi kipindi hiki cha digitali

    Katika ulimwengu ambapo watoto "wanakua kidijitali," ni muhimu kuwasaidia kujifunza dhana nzuri za matumizi ya kidijitali na uraia. Wazazi wana jukumu muhimu katika kufundisha ujuzi huu. Weka mipaka. Jua marafiki wa watoto wako, mtandaoni na nje ya mtandao. Jua ni mifumo gani na programu ambazo...
  12. Daah watoto wa masikini tunaendelea kukamuliwa visenti vyetu kwenye usahili na maombi ya ajira ambazo hatuna uhakika wakupata

    Habari ndugu wana JF leo hii niko hapa kuilalamikia serikali na sekta zingine binafsi juu ya hela tunazokamuliwa watoto wa wakulima pindi tunapofanya maombi ya kazi na kufuatilia masuala ya usahili...mimi mwenyewe nikiwa muhanga wa kadhia hii nakumbuka mwaka juzi nikiwa mkoani yalitoka maombi ya...
  13. Mkuu wa Mkoa Mara aagiza wazazi wa watoto 70 waliokeketwa wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee tarehe 10/1/2023 ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya kuwakamata wazazi/walezi wa watoto 70 waliokuwa wamekimbilia AFTGM Masanga kukwepa ukeketaji na baadaye kurejeshwa kwa wazazi wao baada ya kipindi cha ukeketaji...
  14. Marekani wamegundua kuwa majiko ya gesi ni chanzo cha maradhi ikiwemo asthma hasa kwa watoto

    Tunaponea wapi=mkaa mazingira; kuni mazingira; gesi asthma. au tuache kupika kabisa ==== Federal agency considers ban on gas stoves following report linking them to childhood asthma A blue flame from the burner of a natural gas stove. (David McNew/Getty Images) The U.S. Consumer...
  15. Nimetembelea shule za Dar es Salaam wanafunzi bado wanakaa chini mchangani, sijui mikoani kukoje!

    Leo nimepita shule ya msingi Upendo iliyopo Mbezi Luis jijini Dar es Salaam. Kwanza shule ina wanafunzi wengi kuliko uwezo wa madarasa mpaka wanaingia kwa shift. Pili shift husika inabeba wanafunzi wengi mpaka wengine wanakaa chini tena sio chini kwenye sakafu, ni chini kwenye mchanga. Unaweza...
  16. Wapambanieni watoto wenu wasije kuwa na wivu kwa wenzao waliopambaniwa na wazazi wao

    Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu. Juzi kila mwanafamilia kwetu ameingiziwa milioni miambili kwenye akauti yake miongoni mwao ni mimi nimelamba hiyo pesa kutokana na...
  17. Kuna ukweli gani kuhusu watoto wanaofuatana kuzaliwa kupenda kugombana?

    Daaaah nakumbuka wakati nipo mdogo nilikuwa nazichapa haswa na mdogo wangu, ila nilokuwa ni kama napigana kwa tahadhari situmii nguvu zote. Yaani dogo aliniona mie kama boya tu, saa ikafika siku nikaamua kutumia full force yani nilimshushia mzigo wenyewe bila kujivunga ndio heshima ikawepo...
  18. Watoto na vyeti vya kuzaliwa zaidi ya kimoja

    Habarini, Wanajamii kuna hili suala la wanawake kuwatafutia watoto zao cheti cha kuzaliwa zaidi ya kimoja. Katika vyeti hivyo unaweza kuta vipo vitatu na kila kimoja kina jina la baba tofauti kabisa. Hii ni kwa sababu ya wao kuendelea kupata hela ya matunzo ya mtoto, unaweza kuta mtoto ana...
  19. Kama una ugonjwa unaokupa tabu maishani na unarithishwa fikiria kuhusu kuasili

    Nimetoka kucheki documentary ya magonjwa yanayorithika nimeona nije kuweka maoni, Magonjwa ya kuruthi: kifafa cha kurithi. sickle cell. CCHS ; tunavyopumua huwa hatufikirii kupumua, wenye ygonjwa huu inabidi wafikirie ili wapumue, wanapolala inabidi watumie mashine kuwasaidia. Kansa ya mifupa...
  20. Hawa madogo wa Simba wametegwa tena, wanategeka

    Tangu niijue na kuifuatilia Simba sijawahi kuona kikosi kibovu cha Simba kama kilichocheza juzi na Mlandege. Haijawahi kutokea hata Simba B ikawa hovyo kiasi hiki. Kocha Mgunda pamoja na kukerwa na namna walivyocheza, leo wamekichezesha kikosi kilekile isipokuwa Kibu tu. Watoto ni watoto tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…