watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni

    DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii kwa hesabu za leo inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni Ifikapo mwaka 20250, Tanzania inatarajiwa kuwa ni nchi yenye pato la taifa la $1Trilioni kufikia mwaka 2050 sawa na...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto wengi hasa waliokulia mjini hawatakua na kumbukumbu nzuri ya utotoni.

    Kwa tuliobahatika huwa kuna muda unakaa, unakumbuka nyumba yenu/ kijiji chenu utotoni wakati unakua, watoto wenzio uliokua ukicheza nao na maisha ya ujumla ya utotoni. Kwa bahati mbaya kwa sasa watoto wengi wanalelewa kwenye nyumba lakini hawana nyumbani. Wazazi wanahama nyumba za kupanga mara...
  3. JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 VS watoto wa 2010

    Hello good people. Leo nimeonelea tufanye jambo apa kwa kuwapa somo Hawa wadada wa Leo ambao wanajichukulia special sana hasa kwa hivi vizazi vya 2000 na hiki kipya cha 2010 Hawa watu ni walimbukeni sana wa utandawazi na mahusiano. Hawa wanichukulia mahusiano ni bihasha. Kibaya zaidi wao...
  4. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuelewa kwa nini Mungu anaruhusu watoto wadogo kuteseka

    Katika mambo ya imani ambayo kwangu yamekuwa ni magumu mno kuyaelewa ni kuhusu mungu kuruhusu kuteseka kwa watoto. Watu wazima wakiteseka unaweza kusema labda wamestahili kwa sababu hadi mtu afikie kuwa mtu mzima lazima kuna maovu na dhambi atakuwa ametenda mahali fulani tu, wengine wanasema...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Tupige Zogo kidogo; Una utamaduni wa kumsaidia mwanao Homework?

    Kwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!? Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha 🤣
  6. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

    WATOTO WA KISASA Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza. Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za kumfundisha mtoto wako nyumbani

    Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Dar Elite Home Tuition inakuletea walimu wenye uzoefu, mwenendo mzuri, na uwezo wa kufundisha kwa mtindo unaoeleweka. Tunaandaa wanafunzi wa: – KG 1 hadi Advance Level – NECTA, Cambridge & International Curriculum – Home Schooling, Special...
  8. JamiiForums Tanzania Watoto watakaozaliwa hapa wataitanaje?

    Wakuu Mwanaume aliempa mimba mkewe, akafanya mapenzi na mama mkwe naye akashika ujauzito, akafanya mapenzi na shemeji yake( shem tamu) ambaye ni dada wa mkewe, naye akashika ujauzito, akafanya mapenzi tena na shemeji yake mwingine, ambaye ni Mdogo mtu ( shem nikune) ambaye ni WA mwisho kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Aisee singida ina watoto wakali na wala hata sio wabinafsi.

    Hongereni wana singida. Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo Ila miguu ndio hamna, kama fimbo za mwalimu mkuu🤣🤣 Ila kweli mnadatisha nyie watoto, huwa mko sexyy, Weweeee🤣
  10. JamiiForums Tanzania Kusomesha watoto wa watu huku wa kwako wanateketea

    Kuna kitu cha kujifunza nimeona nigawane nanyi Unapoamua kusomesha watoto wa ndugu zako...hakikisha na wa kwako umewandalia mazingira mazuri kwa ajili ya mbelen Kuna mdingi ametoa ushuhuda leo...kasomesha watot wa dada zake mpaka wamepata kazi wizarani huko....huku wanae akiwatenga kwa maneno...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya watoto huibiwa, kuuawa na kuliwa nyama zao

    Hali ilivyo Kenya inasikitisha sana, ustaarabu hawana, utu hawana na wala sio waungwana. Mshana Jr alinusurika kuliwa na wala nyama za watu akiwa Uganda.
  12. JamiiForums Tanzania Je, huu ni ushauri Bora au ni ushauri TAKATAKA hasa kutoka kwa Mzazi / Wazazi kwenda kwa Watoto?

  13. JamiiForums Tanzania Amedai Talaka ili wagawane Mali kumbe mume nyumba zote kaandika majina ya watoto!

    Naishije haya maisha kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mimi ni mama wa watoto 5, niliolewa lakini nimedai talaka na imetoka sina hata shilingi mia kaka. Iko hivi, mume wangu ni mfanyakazi wa serikali, ana kipato kikubwa na mara nyingi yuko bize sana kazini, alinifungulia biashara na katika hii...
  14. JamiiForums Tanzania Baadhi ya watoto wa maboss huwanyanyasa kingono wasaidizi wa kazi za nyumbani

    Wasaalam wote. Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi: ...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa nimekataa kutoka naye kimapenzi. Alinitishia kuniua kwa sababu nimekataa kufanya naye mapenzi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia mpaka akipate, akipewa chakula fulani asipokipenda itabidi mana yake ampikie kingine au mkamnunulie...
  16. JamiiForums Tanzania Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu... Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama... Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kibaridi ! mwezi wa tatu na wa nne hauwezi kuwa na mpinzani kwa idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa.

    Kwa hiki kibaridi mwezi wa tatu hadi wa nne utaendelea kuwa na rekodi ya foleni kubwa wodi za kujifungua
  18. JamiiForums Tanzania Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji. Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa watoto ni hatari sana, wana Hisia kali zaidi ya watu wazima

    Sijui kama wanaigiza au wako Real lakini inagusa sana unaposikiliza ndani yako unaiona nia njema ya hawa watoto. Watoto hawa si tu waimbaji, bali ni vyombo vya Mungu vinavyoleta uzima kwa sauti zao. Walipoimba, kila neno lilijaa upendo, kila sauti iligusa moyo. Waliimba kama malaika...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Edda Sanga: Udhalilishaji katika Mitandao kwa Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai ngazi ya Uongozi

    Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Edda Sanga amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya Kijamii dhidi ya Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai katika ngazi ya uongozi. Amesema “Kama udhalilishaji huu unakwenda hivyo unavyokwenda, bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…