watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nafuatilia msiba wa Msuya tangu juzi, mbona David Mathayo David hatajwi kwenye watoto wa marehemu

    Tangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China Wawazawadia Watoto wa Zanzibar Tabasamu Jipya Kupitia Upasuaji wa Mdomo

    Timu ya 34 ya Madaktari wa China waliopo Zanzibar hivi karibuni imekamilisha upasuaji mitano ya midomo iliyopasuka juu na upasuaji 19 ya matatizo ya kaakaa kwa watoto ndani ya siku tano tu, huku kila upasuaji ukifanywa bila shida yoyote na hatimaye kurejesha afya na kuwapatia zawadi ya tabasamu...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  4. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuna wimbi kubwa la utekaji watoto...

    kuna kipindi nafatalia youtube kupitia Easterntv na bado kinaendelea nimeogopa sana tena swala la watoto. Najua wengi wa watanzania mtoto akijua kutembea unamuacha kama kuku ili mradi tu jioni umuone yupo nyumbani. Huku kenya sivyo ndivyo yani utekaji ni mkubwa na biashara hii kama itaingia...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Pakistan baada ya kipigo cha siku 3 wasema watatumia hata watoto wa Madrassa

    Waziri wa Ulinzi wa Pakistani anasema, Ikibidi, tutawatumia watoto wa madrasa kwa vita, wao ndio safu yetu ya pili ya ulinzi. Kambi nyingi za mafunzo ya ugaidi zinaendeshwa kwa kivuli cha Madrassas nchini Pakistan
  6. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Emma Kiduku Charity Group wachangia matibabu ya watoto 6 wenye kichwa kikubwa MOI

    Kikundi cha Hisani cha Emma Kiduku Charity Group kimechangia matibabu ya watoto 6 wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Ubongo Muhimbili (MOI). Kikundi hicho kilikabidhi msaada huo Mei 4, 2025 MOI, ambapo kiongozi wa kikundi hicho Bw. Emmanuel Madaha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Watoto hawa wa shule gani? Kwanini waingizwe kwenye siasa?

    Hawa wa shule gani?
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mnajichimbia makaburi kwa mikono yenu wenyewe. Sikilizeni watoto wa vyuo

    Sikiliza kwa makini mdogo wangu wa chuo kikuu au chuo chochote kile – huu uzi nimeutengeneza specifically kwa ajili yako. Najua huta-like, najua utajisikia vibaya, najua ego yako ya kijinga itachafuka – but I don’t give a f*ck! This is real talk, and if you got a brain, utashtuka! Mnakuja...
  9. haszu

    JamiiForums Tanzania Wenye sura ngumu ndio wanaotumika kuwatisha watoto ili wanyamaze kulia

    Yani mtoto akilia sana hanyamazi, anaitwa Anko mwenye sura ngumu, anamwambia “we we, ntakumeza” bas mtoto alimuangalia anaona hili li monster linaweza nimaliza kweli, dogo ananyamaza. Akilia tena anaambiwa tunamuita Anko. Hapo inakwambia kua 1. handsomeness is kind 2. Handsomeness is peace...
  10. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yatoa elimu ya kujikinga na watoto wenye vichwa vikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani.

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
  11. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania PCB Hii Si Ya Watoto, Ila Naweza Kukubadilisha Uwe Beast! Njoo Nikulazie Kitabu!

    Kama wewe ni msee wa PCB (Physics, Chemistry, Biology) au unayo mtoto anakamua advance na anazidiwa na hizi topics ngumu– basi stop struggling alone, coz I'm the plug you’ve been looking for! Mimi si mwalimu wa kawaida – niko street smart na book smart all in one. Najua hizi topics hazicheki na...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila jioni unaenjoy chakula na watoto wako ila wewe umehusika bila haki kuwatenganisha baba na watoto wake wasi-enjoy jioni ya pamoja

    AMANI, UTU NA UTULIVU kwa baadhi ya watu ni vitu cheap sana.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais sekta binafsi ni sawa na watoto yatima nchi hii: mafao mkupuo wao 35%, sekta ya umma 40%, kima cha chini ht kikiongezwa hawatekelezi

    Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko walimu wa shule za msingi, nendeni vyuo km Chuo Kikuu cha Arusha, walimu tangia waajiriwe wana miaka...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Raia yeyote wa Uchina au mgeni angefanya uharibifu kwa watoto wa kichina namna hii hukumu yake ingekuwa kifo .

    Watoto hawana hatia, they are innocent. Wanataka wajaribu kila jambo. Haya madude yanatumia AI , yangiingia kichwani effects zake ni zaidi ya mapepo buku yaliyowaingia nguruwe enzi za Yesu. Nimewaona watu vijana kwa wazee waliochakazwa na haya madude mpaka wakachakaa. Serikali je, Kodi ni muhimu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Umakini katika Kuadhibu watoto wetu

    Nilikua natumia muda kufikiria namna gani ni mwadhibu mwanangu kulingana na kosa alilotenda, kiasi kwamba mpaka nahairisha kumwadhibu au nasahau. Nimelelewa na mzazi ambaye anapiga balaa, yaani anatandika kinouma. kiasi kwamba ninamuogopa mpaka leo. Lakini katika kusoma soma kwangu nikapata...
  16. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanga wanaume wengi kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao kiufupi wanaume wanapigiwa sana,wanaume wapo weak na wavivu sana

    Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na kunichukiza aisee na wanaume Wengi sana kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao Yaani unaweza kati ya...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua Wakristo na Waislamu Watoto wa Baba Mmoja Ibarahim?Mungu Wao ni Mmoja?na Sheria yao n Moja ya Mussa?Amri Kuu ni Upendo!Uchaguzi Huu Tupendane!

    Wanabodi Leo tena naendelea na zile mada zangu za holistic approach kumtumia Mungu kwenye kufundisha mambo ya uchaguzi wetu wa mwaka huu ili twende kwenye uchaguzi mkuu ambao sio tuu ni uchaguzi huru na wa haki,bali pia uchaguzi wenye upendo,utulivu na amani!。 Mada ya leo ni kufundisha kuhusu...
  18. NESARA1952

    JamiiForums Tanzania Mfundisho kwa watoto wetu

    MAFUNDISHO MUHIMU KWA WATOTO WETU
  19. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli Pamoja na kuwa Waziri ila watoto wake wote aliwasomesha primary Kayumba. mzee aligoma Jesca kusoma shule za Mabasi ya njano

    Habari wadau. Interview ya mtoto wa magufuli na millard ayo, imeeleza mengi. Binti wa Magufuli amesema baba yao akiwa waziri toka wanazaliwa bado aligoma kabisa watoto wake wote kwenda kuwasomesha kwenye shule za msingi za english medium. Na akawapeleka shule za msingi za Serikali, maarufu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Panapo uzima nitasomesha watoto wangu ulaya au Marekani waende kupata exposure, Watanzania wengi hatuna exposure ndio maana tunafeli maisha

    Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
Back
Top Bottom