watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Now and then

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi mvua zinaleta ongezeko la Mbu naomba ushauri hasa sisi wenye watoto!

    Nataka mdada mmoja mjamzito niende nae clinic watupe net Mbu zitaniuwa walahi wakuu
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania tujifunze na kuwafundisha watoto wetu kuacha tamaa za madaraka

    Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii. Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mama wa kipalestina akifurahia kuletwa maiti za watoto Kfir na Ariel Bibas kwenye Jukwaa

    Ni kitu cha kushangaza na kusikitisha kuona akina mama na watoto wakifurahia kipindi majeneza ya Mama na watoto Kfir mwenye miezi 10 na Kaka yake Ariel Bibas miaka 8 yakiwekwa jukwaani kipindi kile wanabadirishana Mateka na mafungwa. Ndiyo maana unasema hakuna aside na hatia huko Gaza wote ni...
  4. Leejay49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wazazi wanajua kulea jamani

    Yaani kwenye huu huu ulimwengu ambao social media zinawaharibu wazazi ,. Na wazazi nao wanawaharibu watoto lakini kuna ambao hawajashindwa kabisa suala la malezi,. Huwa nafatiliaga videos za shuhuda za huyu mama anajiita Minister mocky. Almost watoto wote wanaotoaga ushuhuda wako very smart and...
  5. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

    Habari zenu wakuu? Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis. Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki. Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka...
  6. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wazazi na jamii kwa ujumla wanasomesha watoto lakini wakija kutumia maarifa ya elimu wanaambiwa wanaringa

    Maneno ni mengi sana kwa vijana wanaohitimu vyuo Mara waambiwe wanaringa, mara elimu ni ya makaratasi haiwasaidii chochote na kejeli nyingine Wengi wa watoto siku hizi kwanza huwa hawapendi shule lakini wazazi na serikali wanatumia nguvu kubwa kuwalazimisha wasome lakini wakimaliza maneno...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Hana Familia Nchini na Watoto Wake Wana Uraia wa Marekani.Ndio Sababu Hana Uchungu na Tanzania hata kukitokea Machafuko na kuchinjana.

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwakumbusheni na kuwataarifuni ya kuwa mnapoona Lissu anatoa lugha za uchochezi,ubaguzi na kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini . Ni kwa sababu hana uchungu na Taifa hili, hana cha kupoteza katika Maisha yake hapa Nchini. Hana Damu inayoweza kumuuma...
  8. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Shambulio katika jengo la idara fulani kugharimu maisha hasa watoto.

    Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo. Kitengo cha accommodation (kinachohudumu sehemu ya kupumzika wageni) kulaumiwa kwa uzembe, na ikumbukwe kua kabla ya tukio siku chache nyuma katika idara hii kulifanyika mabadiliko...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mtu anawezaje Kulea watoto 15, wake 5 na ukoo bado unakutegemea

    Mwamba kazidi hata Idadi iliyowekwa kwa Wavaa kobazi (4). Watoto wanaojulikana kama wote (15) bado wasiojulikana na ndugu wa Mchongo wanaohitaji Msaada kwako. Hapo kwa Mshahara upi?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Sina maana ya kuubeza urafiki lakini nazidi kukazia stay very close na ndugu na familia yako, Marafiki ni wa muda tu

    Simaanishi kuwabeza marafiki, Hapana !! Maisha yetu kwa kiasi kikubwa tunazungukwa na watu wa nje hivyo katika haya mazingira unaweza kuwa na marafiki shuleni, Vyuoni, Mitaani, kazini, Bar, Biashara, n.k. lakini kawaida yao huja na kuondoka hivyo sio wa kuwapa kipaumbele sana. Kuna rafiki...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mume na mke wahukumiwa miaka mitano jela kwa kukeketa watoto yatima watatu wa familia moja

    Mume na mke wakazi wa Kijiji cha Gidimadoy, Kata ya Maga, Tarafa ya Haydom, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na kulipa faini ya Shilingi milioni tatu kila mmoja kwa kosa la kuwakeketa watoto watatu yatima wa familia moja. Watoto hao walikuwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

    Bosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
  13. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke awe na watoto tayari angalau wa 5 au zaidi

    Kichwa cha habari chajieleza. Tafiti zangu za muda mrefu zimeonyesha kuwa uaminifu kwa sasa ni kitu adimu sana kwa wana ndoa. Hivyo basi mm Malafyale muda wa kuoa umefika,natafuta mwananke aliye tayari kuolewa na mm awe na watoto angalau wa 5 au zaidi,na haijalishi hao watoto kazaa na wanaume...
  14. Daby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima azindua Mahabusu ya Watoto Mtwara, atoa rai kwa viongozi na Mahakama kulinda Haki za Watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kulinda haki za watoto na kuimarisha mfumo wa haki jinai...
  16. H

    JamiiForums Tanzania WAAFRIKA tuwaambie watoto wetu ukweli huu

    Waambie watoto wako ukweli! Waambie yote yalianza huko Misri (Ustaarabu wa hali ya juu, sayansi, hesabu, falsafa, dini, usanifu). Waambie Wamisri wa kwanza walikuwa weusi, hakuna uhusiano wowote na sinema za Hollywood. Waambie Christopher Columbus hakugundua A.Mericas, kwamba Mansa Musa...
  17. Bueno

    JamiiForums Tanzania Sister Theodore na Watoto tujifunze kupitia Mathayo 7:9-11

    Wakuu Biblia inatuambia kupitia maneno ya Bwana Yesu kwenye Mathayo 7:9-11 kwamba 9 Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? 10 Au akiomba samaki, atampa nyoka? 11 Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Si zaidi sana Baba yenu...
  18. Now and then

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haji Manara yupo sahihi, Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo

    Wakuu wanawake wana njaa Sana . Na hawana akili za kuwaza mbali Hajji Manara yupo sahihi , Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo .
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vituko vya wababa wanapoachwa na watoto nyumbani

    Baadhi ya picha ni Photoshop.. Nyingi ni halisi.. Nyingine ni maigizo
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje dance routine kama hii inaruhusiwa kwa watoto wadogo kama hawa huku hadhara ikishuhudia?

    Sina uhakika hii video ni ya zamani au ni recent ila all in all hii ni taka taka
Back
Top Bottom