There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa...
Kuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua!
Wanajua ubaya wa CCM , wanajua mapungufu ya CCM, lakini bado wana UOGA, wana uoga wa kusema wakiogopa...
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne, anastahili kulipwa mambo mazuri ikiwemo kudumisha amani na mshikamano.
Wasira ameyaeleza hayo jana Karagwe...
Kati ya Watanzania zaidi ya millioni 60 huenda ni Watanzania laki 5 tu ndio wako tayari kuiondoa madarakani CCM, wengine wapo tu kufuata upepo. Atakayewapa kula siku ya uchaguzi huyo ndiye watampa kula.
0.0001% ya Watanzania ndio wana moja mbili tatu kuhusu Tanzania na siasa .
Ila majority ya...
BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics.
Jibu la BOT...
Hivi juzi aliyekuwa Rais wa Ufilipino, Bwana Rogrigo Duterte amekamatwa akiwa uwanja wa ndege wa nchi yake kutokana na operesheni zilizofanyika akiwa Rais za kuwaua Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya.
Bwana Duterte amekamatwa kutokana na Hati ya Kukamatwa iliyotolewa dhidi yake kwa makosa dhidi ya...
Leo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari
Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV)...
Swali hili limekuwa likijirudia mara kwa mara, hasa tunapojaribu kulinganisha tamaduni na mtazamo wa maisha kati ya Tanzania na Kenya. Ingawa furaha ni hisia ya kibinafsi, kuna mambo ya kijamii, kiuchumi, na kitamaduni yanayochangia jinsi jamii inavyoonekana kuwa na furaha au kutokuwepo kwake...
Inapendeza kuona nyumba nyingi za Watanzania zikiwa na jiko na chumba cha kulia, ila cha kushangaza kitchen (jiko) na chumba cha kulia (dining room) ni kama mapambo tu.
Kwa familia kadhaa au wengi utakuta wanatumia chumba cha nje kupikia maarufu kama jiko la nje wengine wanapikia nje tu tena...
Kiukweli nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali hapa jukwaani,nilichojifunza
Mosi: Ikiletwa hoja inayolinda maslahi ya Tanzania,Wengi huungana kutetea maslahi ya nchi bila kujali itikadi, hapa ndipo wachache huwabagua waliowengi kwa kuwaita wenzao wapinzani.
Pili: Inapoletwa hoja...
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA HITAJIO LA VISA KWA WATANZANIA WANAOINGIA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC) KUANZIA TAREHE 20 MACHI, 2025
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Wanabodi
kwa wiki hii nzima,nimekuwa nikishinda ukumbi wa JNICC,kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya VETA, tumamaliza jana,nikajua shauri ya uchovu nitalala fofofo,kumbe wapi!usingizi umekata hivyo nimeshuka jf。
Huu mjadala wa wasomi wa chuo kikuu kusoma VETA,ni mjadala muhimu,na umekuja wakati...
Baba wa Taifa alituaambia kaburu siyo rangi, hata km we ni mweusi km tabia zako ni za kikaburu za kibaguzi we ni kaburu tu!
Wafanyabiashara wale ni wezi, ni waongo, bei wanazouzia bidhaa ni za dhuluma, kwanini bei yao itofautiane sana na ya wachina. Wachina wale zile bidhaa kule kwao hawapewi...
Kuna mtu aliniambia kuwa CCM bungeni imejaza watu wasiosoma, nikamtalia kabisa.Nikamwambia katika bunge Lililojaza wasomi na wasomi wabobevu ni hili la Sasa.
Baadhi ya watu hawajui ni kwa nini nchi imejaza wasomi lakini bado watu wanadhani hatuna wasomi. Tatizo ni kwa CCM kuwepo kwake...
Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu.
Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani.
Pia sijawahi kuona mechi ikiyoahirishwa na mamlaka inayosimamia mpira timu mojawapo ikaomba pointi...
Hii sio habari njema sana. Watanzania wenzetu walioko Zambia hasa maeneo ya kaskazini wameanza kulalamikiwa kwa kufungua kwa wingi biashara mbalimbali hasa maduka. Wazawa wanaitupia lawama idara ya uhamiaji Zambia kwa kuruhusu uwepo wa wageni wengi hasa kutoka Tanzania wanaochukua nafasi za...
Watanzania,
Salaam!
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna...
Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.
Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...
Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa...
Kwa uhakika, uovu uliofanywa na CCM kwa Taifa hili haufikiwi hata na ule uliofanywa na mkoloni Mwingereza:
WAKATI WA UKOLONI
Wakati wa kupambana kutafuta uhuru, Mwalimu Nyerere (RIP), Rashid Kawawa, Bibi Titi, hawakuwahi kutekwa wala kushambuliwa kwa risasi.
CHINI YA CCM
Waliojaribu kupambana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.