There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
…naona wote mpo busy na msiba wa Papa, lakini hamjui kinachoendelea Tunisia 🇹🇳…
Tunisia 🇹🇳 kuna Rais mwendawazimu anayeitwa Kaïs Saïd, Dikteta zaidi ya Kambare…
Huyu jamaa anamiliki serikali, Bunge na Mahakama zote nchini humo…
Juzi, kawahukumu viongozi wa upinzani, mawakili wao...
Watanzania mnapaswa kusali sana na kuomba kuiombea nchi yenu amani lakini amani hiyo iwe ya haki sio amani ya kuwauwa wadai haki na kuwasingizia kesi za uongo na kuwalisha maneno ya uongo midomoni ambayo hakuyafanya.
Watanzania mnapaswa kusali sana ili upendo uongezeke nchini sisi kwa sisi...
Happy Muungano Day!
Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na lugha inayotusisitiza kutoa maoni bila kuvuka mipaka ya nchi yetu , na hasa ikitolewa na viongozi wa ngazi za juu serikalini.
Ni muhimu kama watanzania tukaelimishana au kuelimishwa, ni maoni gani hayo kisheria ambayo tukiyatoa tutakuwa...
Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania.
Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni...
Naona RC chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa. Anafurahia kuona watanzania wasio na hatia wala silaha wanakamatwa, wanateswa , wanavunjwa miguu na kutupwa porini.
Nchi hii kuwa na viongozi kama hawa tumefikia pabaya sana, ni heri tungekuwa na bucha za nyama za...
Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii.
Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
Mpaka sasa, hakuna mwananchi hata mmoja, hakuna chama cha siasa chochote cha upinzani hata kimoja, wala hakuna taasisi hata moja, imetumia nguvu kudai haki za kikatiba zinazogandamizwa nchini.
Jambo la kusikitisha ni kuwa madai hayo ya haki za msingi za kikafiba za wananchi, yanayofaiwa kwa...
Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please
Erythrocyte
Watanzania ni Machampion wa Dunia linapo kuja swala la kulia lia kwenye mitandao, Wajinga sisi tunazania kutype daily kuna mtishia nyau? Hakuna anaye kosa usingizi kisi kuna watu wanakesha waki type kwenye mitandao.
Ipo siku hawa wanao tupigania watachoka na hapo ndio CCM itashikisha watu ukuta...
Nawaambia Chukueni hatua
Anzeni na watu mnaoishi nao mtaani
Chukueni hatua za kimya kimya baada ya miezi 3 mbele wahuni wataelewa
Kama Kuna biashara ya muhuni msinunie
Acheni kupanda hayo mabasi ya mafisadi
Kama ni mwalimu mtoto wa polisi muache afeli
Kama ni doctor akija fyeka
Watatuua Leo ,watatutesa Leo watatukandamiza Leo lakini mungu Huwa hachelewi wala hawahi Bali hujibu kwa wakati.
Watanzania saa ya ukombozi haipo mbali sana. Hauwezi ukaua watu hivyo ukabaki salama
Watanzania wanaofika zaidi ya million 60, wamekuwa makondoo na kukubali kutawaliwa na unyonywa jasho lao na kikundi cha watu wachache kutoka Chama chakavu
Watanzania wako busy na story za Yanga na Simba na udaku wa Mwijaku lakini hawana muda na mambo ya msingi
Vijana wa Kenya walikiwasha hadi...
Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu
Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu
Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni...
Kwanini serikali inaogopa kukosolewa? Ukiona serikali inatisha RAIA,inapiga na kuua RAIA wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake.
Mwanafalsafa John Locke anasema,serikali hiyo yafaa iondolewe madarakani.Serikali imegeuka haini dhidi ya RAIA wake. Serikali isiyojua wajibu wake,kazi makelele tu...
Tafadhali naomba Uongozi wa TAA uzikate ziwe ndogo ili Kuupendezesha kwani kwa jinsi zilivyo sasa zinatia Aibu hasa Kimandhari.
Nikirejea tena Likizo fupi Tanzania naomba nisizikute kwani haziwaaibishi tu TAA bali hata Watanzania wote kuwa ni Wachafu na Watu tusiojali.
Asanteni wana Dar es...
Wakati wa Mungu ukifika hakuna anayeweza kuuzuia.
Huu ni wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania na Watanzania dhidi ya siasa za kitapeli, kuhuni na kifisadi ambazo zimefanywa na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sasa na kuwafanya Watanzania wazidi kuwa masikini bila maendeleo ya uhakika kwa...
Habarini za mchana wana jamvi....
CDM inaonekana kukonga mioyo ya watanzania wengi ambao wamechoka na ufedhuri na dhuruma ya CCM. Hii ni dalili njema kwamba kumekaribia kupambazuka, tuendelee kumwomba sana Mungu wetu wa haki.
Simba wa nyika Tundu Lissu na Heche kila waungurumapo CCM inapagawa...
Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu
Maana kazi nyingi izifanyazo ccm ni za jehanamu
Naenda zangu Palestina (Gaza) kuuza vyuma chakavu...
Huwa nawaonea huruma kuwapigania Watanzania wapumbavu hii ni sadaka kubwa wanajitoa chadema
Nina uhakika mtoto wa Lissu haki chini
Mke wa Lema hakosi matibabi ya kujifungua
Heche hakosi maji ya kunywa
Wananchi wana matatizo makubwa wanaowapigania wanawaona kama wajinga
Shule hakuna madawati...
Nimeshangazwa sana na waziri mkuu kushangazwa na wanaoajiriwa kwenye ndege za mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuzungumza kiswahili sio watanzania.
Kwa mtazamo wangu nilidhani waziri mkuu angekuja na mpango ambao serikali imefanya kuwafanya watanzania wanaozungumza kiswahili waajiriwe kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.