watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Mollel: Watanzania wana akili, CHADEMA wakiendelea hivi Chama kitakufa, watakumbuka busara za Mbowe

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu: "Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili ...
  2. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania wengi hasa wabunge na madiwani wameipokea kwa shangwe hoja ya Tundu Lissu Uchaguzi ufanyike 2027 baada ya reforms zote kufanyika

    UJUMBE: CCM chukueni hii miaka mitatu ya bure Kwakuwa nyie sio Mungu hamuwezi jua yatakayotokea kwenye Uchaguzi kama mtalazimisha kuingia kwa lazima. !!!!!! Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha CHADEMA pamoja na chama cha ACT Wazalendo wametoa ofa kwa Rais wa Tanzània Mhe Samia...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wapo wanasiasa ndani ya taifa letu, kiu yao na tamaa zao na Furaha zao ni kuona watanzania wanauana, na kuchinjana, tuwaepuke!

    Can't leave my country to dog! Mwl. Jk nyerere. Nyumbani kwetu ni hapa Tanzania hatuna uraia wa popote pale kama wenzetu.... More infos to come!
  4. Selwa

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati watanzania wafanyakazi wanaofilisi makampuni sekta binafsi

    Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa...
  5. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani mna watanzania wengi nyuma yenu, changamkeni

    .....
  6. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti; Katika Kila watanzania 10, 8 Wana u-CCM vichwani mwao!

    Ushahidi: 1. Pitia threads karibu zote hapa JF; hususani zile zitokazo kwa wanaojifanya kuichukia, utakuta wanaitaja ccm Kila baada ya maneno manne au matano.......huu ni u-CCM. 2. Mbio za mithili ya Hussein Bolt za wapinzani kukimbilia CCM wakitakiwa. Hapa mifano iliyopo nikiiandika yote...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana akili sana, inategemea unakujaje, utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa, anachokitafuta Mwamposa atakipata

    Watanzania wana akili sana, inategemea unakujaje, utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa, anachokitafuta Mwamposa atakipata Aposto amekuwa mtu wa kurusha sana vijembe kwa Watanzania, jambo linaloleta mtafaruko mkubwa sana ndani ya fikra za watu Nina uhakika hili fukuto litakwenda kummaliza...
  8. Blood of Jesus

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Asanteni Watanzania kwa kuendelea kuielewa agenda ya *No reforms, no election*

    Watanzania wameendelea kupata elimu hii ya bure na kinachotia moyo ni kwa namna wanaielewa sera hii kwa haraka na kwa weledi. Hii ni baada ya ziara ya Kanda ya Nyasa. Amina.
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wengi ni Wavivu – Kauli ya Mtume Boniphace Mwamposa na Rais Mstaafu Mkapa Zinagusa Ukweli Mchungu?

    Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa. Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mtume Boniphace Mwamposa, Uvivu utawaangamiza Watanzania

    Sehemu muhimu ya mahubiri ya Leo Jumapili: - . Watanzania wengi ni maskini, sio kwakua hawana Maarifa au hawakusoma, ila ni kwa sababu ya UVIVU wa kufikiri na kutenda. Siasa ya ujamaa tuliyoletewa baada ya uhuru, haikuwa mbaya, ila haikuwekewa kanuni na Sheria bora za kuiongoza. Kana kwamba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Soko la kimataifa EACLC Ubungo watakaopangishwa asilimia 95 ni watanzania

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa serikali inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali na ndani ya Tanzania, huku akisisitiza kuwa Watanzania ndio wanaofaidika zaidi na uwekezaji huo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tumekubali na kuridhia Deusdedith Soka kupotezwa mazima?

    Leo tunakwenda almost mwezi wa saba, kijana Deusdedith Soka ma wenzie wamepotezwa. Umma ulipiga kelele mwanzoni, leo umekaa kimya. Chama chake nacho kimejikalia kimya, hakihangaiki tena na kijana wao, kada wao. Hakuna wa kumsemea! Kijana jasiri, mzalendo na mpenda nchi yake, nuru yake imezimwa...
  14. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watanzania wengi wanasota, huku fursa za mauzo nje zikiwa nyingi?

    Nimekuwa nikiona vitu vingi vinavyouzika nchi za Ulaya na uarabuni. Hasa parachichi, viazi mbatata, matunda mengine yakiwemo machungwa, tikiti maji nk. Bila kusahau maua. Ukiangalia uhitaji wa hivi vitu, utagundua asilimia kubwa ya vyakula vya asili, vinavyouzika, kwa gharama kubwa, vinatoka...
  15. Fene

    JamiiForums Tanzania Aisee Watanzania tunatukana, hivi ni kawaida au?

    Inakuwaje WanaJF Kutokea January ya mwaka huu nikasema ngoja niingie life la kijiweni duh! Aisee Watu wanatukana vibaya to the maximum yani mpaka mimi najishtukia hawa washkaji wananiona wa kuja kweli yani. Maana ni mtu nimepoa tu responds zangu kawaida tu Yani matusi hadi fujo, story...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni wavivu?

    Maneno haya niliyasikia kutoka kiongozi mmoja wa Dini! Yalinifikirisha!yanipa uzito katika moyo!Yakaniachia kazi ambayo mpaka Sasa natumika nayo! Nawaza ni kweli watanzania ni wavivu? Je kigezo kipi kimetumika kupimwa uvivu huu? Mbona umetajwa ka ujumla na kwa urahisi? Nawaza kwa habari ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Bashe yuko hoi watanzania waombwa tumuombee apone haraka

    WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani. Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mikusanyiko mikubwa ya WANANCHI katika ziara ya chedema ya NO REFORMS NO ELECTION inaashiria nini? Kuna kitu hawaridhiki na CCM, siyo wajinga

    Kuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua! Wanajua ubaya wa CCM , wanajua mapungufu ya CCM, lakini bado wana UOGA, wana uoga wa kusema wakiogopa...
  19. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Ukitenda mema lazima utalipwa mema Rais Samia kafanya mema mengi Watanzania watamlipa mema

    === Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne, anastahili kulipwa mambo mazuri ikiwemo kudumisha amani na mshikamano. Wasira ameyaeleza hayo jana Karagwe...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naichukia CCM ila sioni utayari wa Watanzania kuiondoa madarakani.

    Kati ya Watanzania zaidi ya millioni 60 huenda ni Watanzania laki 5 tu ndio wako tayari kuiondoa madarakani CCM, wengine wapo tu kufuata upepo. Atakayewapa kula siku ya uchaguzi huyo ndiye watampa kula. 0.0001% ya Watanzania ndio wana moja mbili tatu kuhusu Tanzania na siasa . Ila majority ya...
Back
Top Bottom