There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI
Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo.
Kila siku...
Myself nachoshwa na hizi ngenga za kidini, yaani nachukizwa na kitu chochote kinachotengeneza matabaka.
Leo hii ukichunguza Kwa umakini unagundua hizi dini zinachangia pakubwa kuleta utengano kwenye jamii kuliko kuunganisha.
Watu wengi tunachekeana usoni tu lakini nafsi zetu zinajipendelea...
watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao.
Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo...
Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma.
Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo kuliko sherehe zote.
Mishahara mara nyingi inatoka tarehe 21-24 za kila mwezi. Wangewahisha tarehe 17-19...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilika kama kinyonga.
Embu jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii...
Raia wengi Watanzania huwa wanashangaa na kukejeli mtu (mtumishi wa umma, mfanyabiashara au mtu maarufu tu) aliyefariki mjini au aliyefiwa pale ambapo wanaenda kuzika na kukuta nyumba au mazingira duni msibani.
Ni upumbavu kufikiri ni jambo rahisi sana kwa Watanzania wengi hasa waajiriwa kuwa...
Kuna huyu Lema ambae amekuwa na tabia ya ovyo haswa pale ambapo anaona hapati sapoti aliyokuwa anataka apate.
Ni ukweli ulio wazi kuwa anayo elimu ndogo sana baada ya kushindwa kujiendeleza kielimu pale alipofeli kidato cha nne b,hata hivyo kwa elimu yake hiyo ndogo hastahili kuwa na ujinga wa...
Mpaka siku umati wa wananchi utakapoamka usiku wa manane ukakusanyika pamoja sehemu moja kudai mabadiliko ya Nchi.
Kupata katiba mpya itakayokuwa na haki ya kupata tume huru ya uchaguzi. Kama madai waliofanya wamasai wa Ngorongoro CCM ikajua sasa kumekucha
1. Mwl. Nyerere alitaka nchi iwe ya Kijamaa yenye uchumi utakaotufanya tujitegemee. Njia zote kuu za uchumi zimilikiwe na Umma.Tuliyaishi hayo hadi late 80's.
2. Mzee Mkapa alitaka tuwe na soko huria lenye uwekezaji mkubwa wa sekta binafsi na serikali ibaki kuwa regulator na kukusanya mapato...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi.
Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe.
Mqkqmu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira...
Watanzania wanaofurahia madhila ya CHADEMA hawajui kwamba anayepoteza sio CHADEMA Wala Lissu ni watanzania kwani tunapokosa mtetezi mwenye nguvu kama CHADEMA basi ccm wanapata nafasi ya kufanya watakalo Tena mabaya kwasababu hakuna mtetezi.
Hakuna mtetezi kwasababu;
1. Bunge wamelitia mfukoni...
Ukiangalia mijadala ya Bungeni na ukija ukiangalia mijadala ya Wabongo mitaani basi ufanano ni mkubwa sana. kwa kifupi Bungeni pale ni reflection ya akili za Watanzania mtaani.
Bunge liko busy na mijadala ya kijinga jinga tu, hawako serious kabisa.
Njoo mtaani kwenye vijiwe vya kahawa, usipo...
Nmefatilia comments zinasikitisha sana
Swali liliulizwa na EATV Facebook lakin majibu yake yanasikitisha sana unaweza ukasoma nawewe
https://www.facebook.com/100064269896228/posts/1100106142141705/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Watanzania wengi sana hupenda kuonekana bize bila kujali matokeo,
Kuna watu hawaendi popote, hawana kazi yoyote, lakini kila asubuhi wanawahi kuamka tu waonekane nao wana mambo mengi.
Mtu yuko na simu sikioni kaibana kwa bega huku mikono akiitumia kaundika daftari, anapiga kelele kama yuko...
Dr Miguna miguna
President @Suluhu Samia has charged CHADEMA leader, @TunduALissu—her main opponent—with treason, over CIVIL DISOBEDIENCE calls of #NoReformsNoElection. This is the kind of insecurity, desperation and stupidity which African tyrants excel in.
Civil disobedience is a...
Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.
Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.