watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. haszu

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamebarikiwa sana kwenye kusahau na kufatilia mambo ya msingi

    Kama ni memory, watanzania wana operate on CPU register. Wanashupalia jambo, kisha baada ya muda washasahau, wansubiri jengine. Tangu enzi za kuuwawa kwa Daudi mwagosi hadi kupotea kwa mdude, in between kuna mengi, but follow-up ni zero kabisa. In short kwa Tanzania tatizo ni lile linalompata...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mchakato: Learn → Get Experience → Build networks → ndipo uwaze mtaji, Watanzania wengi wanafanya kinyume ndio maana wanafeli

    Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji. Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa lengo la kuleta ushindani na mageuzi ya kiteknolojia natangaza kuja na mtandao mpya wa kijamii Tanzania

    Natangaza kuja na mtandao mpya wa kijamii nchini tanzania kwa lengo la kuchochea ukuaji wa kiteknolojia na kuleta ushindani dhidii ya Facebook, Instagram na Twitter pamoja na tiktok. Mitandao hii imekuwa ndio mitandao namba moja duniani kote ikiwemo Tanzania huku intagram, Facebook na Twitter...
  4. kijanamtanashati

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna tatizo sio bure

    Sisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama mikondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

    1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji? 2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden

    Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden.
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania msiogope vitisho vya hawa wasiokuwa na akili wanao wateka watu ili wasizoee tunauwezo wote wa kuwakabili na kutoa funzo

    Naona kwa anae kosoa serikali sasa hivi anapigiwa simu za vitisho, hii hali sasa imeanza kuota mapembe kwenye utawala wa samia sikuwai kusikia kitu kama hiki hapo awali. Ninachotaka kusema kwamba watanzania tunapaswa tuipinge kwa nguvu zote isizoeleke tunazo nguvu zote kuikomesha tabia hii...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa

    Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza mafundisho yake, na wanajifanya hawamwitaji. Lakini kila siku wanathibitisha kuwa maisha yao bado...
  9. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kati ya watanzania 10 tegemezi 7 ni wanawake

    Utafiti wa Finscope 2023 unaonyesha kati ya Watanzania 10 tegemezi na wasio na njia ya kupata kipato, saba ni wanawake. Wadau na wachumi wamesema bado kuna ombwe katika kupima mchango wa wanawake katika uchumi. Wakati jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi katika kuwainua...
  10. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Ukiona jinsi panya road 40 wanavofunga mtaa wenye wakazi 12000 utajua sisi watanzania ni watu wa aina gani

    Yani unyumbu wetu unatufanya tuone au tudharau Hadi wale ambao wanajitoa kupambania haki zao Kwa namna yoyote Ile, ujinga wetu unatufanya tuone Kila anaepigana ni mjinga bila kujali anapigania Nn, Yan ama kweli sisi ni walking dead, uthibitisho wa haya angalia walichokua wanafanya panya road...
  11. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili Watanzania wapunguze na kuacha kujadili mpira 24/7

    Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania. Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote. Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa...
  12. Investaa

    JamiiForums Tanzania Wajue watanzania!

    Habari wasee. Leo nimejaribu kufuatilia kwa undani kuhusu watanzania kwa upande wa online contents, ingawa nilishafanya extensive research mwaka 2019, nikagundua watanzania wanapenda vitu vya kijinga na kiki ambazo zimetufanya tuwe hapa tulipo . Ukiingia TikTok ndio msiba mkubwa kwakweli ...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Utalii wa Ndani ni Mali Yetu – Jitokeze Kujionea Uhalisia wa Tanzania Yetu!

    Utalii si wa wageni pekee. Ni wakati sasa wa sisi Watanzania kuamka, kujua, na kuthamini uzuri wa nchi yetu. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa kila hali – milima, maziwa, hifadhi, visiwa, maporomoko, mapango, historia, na tamaduni zenye utajiri mkubwa. Lakini kwa masikitiko, wengi wetu...
  14. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa awasihi waTanzania kulinda miundombinu ya SGR

    Waziri wa uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, amewasihi Watanzania kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuilinda na kuitunza miundombinu ya treni ya kisasa ya Umeme (SGR). Prof. Mbarawa, ametoa wito huo katika stesheni ya Magufuli Dar es Salaaam, muda mchache baada ya kumsindikiza Rais...
  15. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Nukuu 33 za Madikteta Maarufu Duniani: Watanzania Tunajifunza Nini?

    Adolf Hitler wa Ujerumani (1889–1945) 1. Fanya uongo kuwa mkubwa. Fanya uwe kwa lugha rahisi. Endelea kusema, na hatimaye watu wataamini.-Adolf Hitler 2. Kifo ndio suluhisho la matatizo yote. Hakuna mtu, hakuna shida.-Joseph Stalin 3. Huwezi kukimbia kwa kasi zaidi kuliko risasi-Ide Amin 4...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais ni Muislamu, walio chini yake nao pia na Dini zao. Siri ni moyoni mwake Rais. Tunahitaji Brand ya Taifa sio vinginevyo

    Serikali za Tanzania zinakumbatia wanaoendeleza ugahaba na ushenzi, na wanamuziki wote hapa Tz ukifuata mienendo yao hawana isipokuwa kuendeleza tabia chafu, mambo ya haramu kwao wao wanayafanya kuwa halali na wengine huvuka mipaka na kuzichanganya dini kati tabia zao za ufuska. Mambo yao...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tazameni Msafara wa RC Singida ,ni zaidi ya ufujaji wa Kodi za Watanzania, Hawa ndio CCM,ni lazima iondoshwe madarakani ili Taifa Liinuke

    Unaweza dhania ni Msafara wa mawaziri Kadhaa wa Kadhaa lakini la Hasha!! Huyo ni RC tu yaan MKUU WA MKOA.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Stand up comedy watanzania wanahitaji kuelimishwa watofautishe Sanaa ya uchekeshaji na uropokaji

    Hawa ni vijana wenzangu wanajitafta! Inchi imepanua sana wigo wa ajira kupitia sanaa! Serikali inatumia kila mbinu kuwainua vijana hata kwa motisha! Stand up comedy kuna vijana wachache sana tanzania wenye ubunifu wa kisanii! Wengi wao wanaropoka tu pasipo kuchuja maneno! Sijui ni bangi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Angalia WATAWALA wanavyo wa rate /waChukulia watanzania KUWA NI WAJINGA.

  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusipotoshwe. Msingi wa masuala ya demokrasia umetajwa kwenye katiba yetu 146(2)C

    Kwa muktadha wa katiba maswala ya kidemokrasia yamewekewa utaratibu katika katiba. Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweka wazi namna maswala ya demokrasia yanavyotakiwa kuenendwa. Katiba yetu nzuri na hai inataja wazi katika ibara 146 (2) c...
Back
Top Bottom