Kwani sisi Watanzania tunafeli wapi au ni kukurupuka?

Kwani sisi Watanzania tunafeli wapi au ni kukurupuka?

Last_Born

Senior Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
124
Reaction score
215
Nimekua mfuatiliaji mkubwa sana wa masuala ya teknolojia hasa huu upande wa website na apps, pia nimejaribu kufanya utafiti mdogo wa Apps zilizopo Google play store Kutoka Tanzania aisee ni aibu tupu download rates ni ndogo mno nashindwa kuelewa tatizo nini apps hazieleweki au hazitoi suluhisho.

Nimegundua 5% zina download million 1+
10% 100+k
10% 50k-100k
25% 1k - 10k
50% 0-1k

Je, tunakwama Wapi?

1. Kukurupuka biashara ya app bila kujipanga?

2. Hatujui kujibrand?

3. Uvivu wa kuwekeza?

4. Teknolojia yetu ni ndogo sana?

5.

6.

7.

8.

9.

10.

Shida ni nini Sisi watanzania tunafeli wapi?
 
Wabongo kusapotiana ni mbinde sana, kuna msanii wa vichekesho aliwahi kushinda BB na kumuhonga wema sepenga (japokuwa binafsi Sielewi anachokichekesha) aliwahi kupanda jukwaani kuchekesha karibu 30 dkk lakini halaiki imeuchuna tuu ikabidi jamaa akimbie jukwaa 😂
 
Back
Top Bottom