There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Habari wakubwa nimesoma Comments nyingi nakufanya utafiti mdogo ila nimebaki na Maswali Kabla ya uhuru Tulikua tunaishi vizuri kabisa na Mkoloni wakati anagawa mipaka ya hizi Nchi aligawa kwa Maono yake bila kuangalia mipaka ya makabila.
Mfano Labda Babu alikuwa ana shamba Hekta 50 akawa na...
Chukua hii clip Kila mtu azungumze kwa Lugha yake mama halafu tuchambue mantiki ya kile anachoongea mbunge wa Tanzania bungeni na kile anachoongea huyo mwanafunzi kwenye mijadala ya kielimu.
Utaona kuwa Tanzania na Kenya zina utofauti mkubwa sana.
Speaker anakupa dk 5 ujenge hoja kwaajili ya...
Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa?
Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
dhuluma tanzania
elimu kwa umma
hii
kina
kizazi cha sasa
maulid
maulid kitenge
morning show
mustakabali wa taifa
propaganda tanzania
redio
redio tanzania
show
uanahabari
ubadhirifu wa mali ya umma
uelewa wa wananchi
uhuru wa habari
uhuru wa vyombo vya habari
ujinga
upumbavu
uzembe wa vyombo vya habari
wajibu wa waandishi
wananchi
wasafi
wasafi fm
watanzania
wimbi la mazombie
zembwela
[tags] vyombo vya habari
Kama mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani jana bungeni haujawafungua akili Watanzania kuielewa CCM ni kina nani? Basi hakuna siku Watanzania watakuja kupata akili na kuielewa CCM hadi mwisho wa Dunia.
Kama Majadiliano ya jana Bungeni hayajawafungua akili Watanzania kujua CCM...
Jana, kupitia mitandao mbalimbali, tumemsikia mbunge wa Zanzibar akiwaita wananchi ni Kenge. Yaani mtu ambaye upeo wake ni duni, elimu yake ya kubabaisha, mtu mwongo aliyelidanganya bunge kuwa ana diploma, kumbe hata form 4 tu aliimaliza kwa shida, anawaita watanzania Kenge.
Hana uelewa wala...
Ok umeitwa Kenge, wapo waliowahi kuwaita wajinga, wapo wataokuja kutuita nyani, misukule, n.k.
Hayo majina tuyazoee tu, sioni kama kuna haja ya kukasirika, unakasirika then what ? unakimbilia kutoa hasira zako nyuma ya keybpard ka account feki ?
Tutafute Pesa, Siasa Utaumia,
Tunatekwa mpo kimya,
Tunapotezwa mpo kimya,
Wanatukamata kutulawiti na kutubaka Mpo kimya,
Wenye mawazo mbadala wanafunguliwa kesi za kupika ili kuwakomoa mpo kimya.
Unafanyika Ufisadi wa Kutisha pesa za Watanzania masikini zinaibwa na kuwanufaisha kikundi cha watu wachache huku Watanzania...
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.
Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.
"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani...
Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka.
Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
Suala ya udhulumaji haki kwa wananchi wa Tanzania linalofanywa na watawala, lina uhalali na haki ya kupata msaada mkubwa kutoka jumuia ya kimataifa.
Ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kutamka kuwa eti udhulumaji wa haki, ikiwa ni pamoja na utekaji na mauaji ya wakosoaji, ni suala la ndani ya...
Napatwa na hasira sana nikiona tweets za Samia na viongozi wengine wa serikali, this is not fair. Wakenya ndio waliojinasibu kudukua account, sasa una block acces to twitter kwanini? Kingine sio kila anaetumia twitter yuko ki siasa, there is more than politics on twitter.
TCRA, wizara ya...
Ukiangalia comments za watu wengi waliotoa maoni kwenye hotuba ya Dr. Josephath Gwajima aliyoitoa Jana, utagundua kuwa asilimia kubwa sana wanamuunga mkono na kumpongeza kwa sababu ya aliyoyasema!
Inajulikana kuwa Askofu Gwajima ni CCM, lakini kwa sababu hoja zake zimeweka mbele maslahi ya...
Ndugu zangu taifa la Mungu!!!
Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakutengeneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia.
Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na...
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na...
Jamani freedom is coming tomorrow, nawaombeni WATANZANIA wenzangu vijana tushirikiane kuliokoa hili Taifa kutoka mikononi mwa watu wachache wenye Nia ovu juu ya Taifa letu.
Sambamba na hilo tuone jinsi gani tunaweza kuilinda amani yetu kwasabab ni kazi ngumu sana kuitafuta tena.
Hata hivyo, ni...
Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !.
Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni .
hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani".
Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
Tanzania imejengwa juu ya misingi thabiti ya amani, umoja, na mshikamano. Hii ndiyo sababu leo tunasafiri, tunasoma, tunafanya biashara, na tunaishi bila hofu ya vita wala machafuko – tofauti na mataifa mengine yanayoishi kwenye taharuki ya kila siku.
Lakini katika kipindi hiki cha mvutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.