watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mechi ya Leo na Umuhimu wake kama ningekuwa Kocha Watanzania mngenisamehe kwani Kikosi changu kingejaa wa Yanga, Simba na Azam tu

    Tusidanganyane na tusiwe Wanafiki wachezaji wenye Kucheza hizi Mechi za AFCON kiushindani ni wa Yanga, Simba na Azam tu pekee na kwa hao wengine tunabahatisha tu. Mpira wa sasa unahitaji Exposure hivi Wachezaji wa KMC FC sijui Mashujaa sijui Coastal Union SC na timu nyinginezo wana hiyo...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnisamehe simsamehi Polepole, nikimsamehe Lissu risasi itamtoka mgongoni? Ben Saanane, Mawazo, Azovory Gwanda watafufuka?

    Mimi staki dhambi, staki UNAFIKI kamwe siwezi msamehe Pole pole mpaka kihama huyu ni mtu aliyeshiriki.mauaji ya watanzania Ili ccm itawale Nisamehe Ili aende akawe baba wa mtoto wa Alphonso mawazo? Au akawe Baba wa mtoto wa Ben rabiu saa nane Au akamrudishie viungo vyake vya Tako Mh Tundulisu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watanganyika let alone Watanzania, tusikubali nchi yetu itawaliwe na Rostam Azizi. Huyu ni wa kuja si wetu! Amekuja kuchuma!

    Nitakuwa branded kama mbaguzi, lakini ngoja ukweli usemwe. Polepole jana katuweka mguu sawa! Reject Rostam na washenzi wenzake! Tusikubali kutwaliwa na Rostam. Huyu ni Mkoloni, ngozi nyeupe kama Waingereza, wajerumani and the like! Hawa kawaida yao wana uraia wa nchi nyingi..notablt Canada...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nashuku sana watanzania kwa kumpuuza Polepole na mafisadi wenzie

    Imebaki kundi dogo la ambao angalau wana uhakika wa kesho yao ndo wanamfatilia Polepole ila sisi walala hoi tumempuuza Polepole na mafisadi wenzie
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

    Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi. Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO. NIDA mmetukosea sana Watanzania...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。 Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Samia ameshindwa kutunza mabasi ya mwendokasi, ataweza kuwatunza Watanzania milioni 65?

    Naauliza tu Mana naona kila siku zikienda ma bus yanakufa moja badala ya jengine Hata kama analeta mapya hio haitakua dawa
  8. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanyonge wanajuta kuzaliwa hii nchi

    Tanzania, kanchi kazuri kenyewe ila sasahivi kuna kikundi cha watu wameanza kukaharibu. Hii nchi ina amani sana kwa maana ya kwamba hakuna vita, na ni nchi kubwa nzuri, ina miji mizuri, vijiji vizuri, watu wake ni wazuri pia. Ni nchi ya neema ambayo hata masikini hakosi chakula. Lakini miaka ya...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

    Wakuu Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii: "Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"
  10. O

    JamiiForums Tanzania Nini kimewapumbaza Watanzania hadi wakaamini kwamba Rais Samia atasikiliza maoni, ushauri na malalamiko yao!?

    Katika kipindi hiki cha utawala wa Samia, ushauri kwake umekuwa mwingi mno na matarajio kwa wananchi yamekuwa makubwa sana. Wengi wamekuwa wakiamini atabadilika: mara “Mama rekebisha hili,” mara “Mama sikiliza hili,” mara “Usiwategemee washauri wako wanakupotosha,” mara “Mama, jichunguze vizuri...
  11. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kuna watanzania bwana eti kataa baiskeli uinusuru tanzania eeeeti

    Nouma sana kataa baiko🤣🤣🤣🤣
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawaendi uwanjani inapocheza timu ya taifa

    Tanzania tumepata bahati ya ku host mashindano Makubwa ya CHAN 2025 pamoja na Kenya na Uganda Kwa wenzetu Kenya tunaona viwanja vinajaa na TV zinawekwa kwenye maeneo ya wazi, Watu wana hamasa mno Hapa kwetu Tanzania tumeonekana hata kufika watu 10, 000 kwenye uwanja wa kubwa watu 64, 000...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Sigara inayopendwa na pia isiyopendwa na Watanzania wengi ya 'SM' inaweza Kutoweka kabisa Tanzania na sasa wala haionekani tena

    Geniuses wangu wakubwa hapa JamiiForums mrangi, King Kong III, adriz, Benny Haraba etc kulikoni Fegi hii imeadimika?
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kamwe usiache kazi zako na kujiita mwanaharakati katikati ya jamii hii ya watanzania Ambao furaha yao ni kula na kunywa basi

    Hii nchi haihitaji kutetewa kwa namna yeyote sisi bado tuna akili za kitwana !! Kamwe usiache kazi zako na kujiita mwanaharakati katikati ya jamii hii ya watanzania Ambao furaha yao ni kula na kunywa basi !! Watanzania walishaelekea kibra tangu enzi za mkoloni !! Niseme sisi ni washamba ni sawa...
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Muonyesheni Mh.Tundu Lissu mtiririko wa hizi video za Watanzania anaowapambania

    Kama nilivyokwisha kumsihi Mh.Tundu LISSU humu jukwaani, na kumtaka aiponye nafsi yake , kwani kundi la waTanzania masikini analotaka kulisaidia halina habari na Wala halijielewi. Hizi ni baadhi ya video ambazo zina akisi uhalisia wa maisha ya Kila siku ya Watanzania masikini. Ninaposema...
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujua ni wapi alipo baba yetu mkuu wa usalama wa taifa seleman mombo DIGS

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo Asanten sana LONDON BOY
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Msigwa kama unashangaa waTanzania kutojaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzako mwamposa aujaze uwanja.

    WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini? Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu hapiganii Watanzania anapigania maslahi yake

    Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake. Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa. Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana huzuni kuu, Wasilazimishwe kufurahi

    Watanzania, na hasa Wataganyika, wanapitia kipindi kigumu sana, kipindi cha huzuni na mateso, kuliko wakati wowote wa uhai wa Taifa lao. 1. Mtanzania mwenzao anayeaminika sana kwa ukweli, utetezi wa haki, na uzalendo usio na shaka kwa Taifa lake, amewekwa gerezani kwa uonevu mkubwa, na kisha...
Back
Top Bottom