Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,860
- 16,131
Tanzania, kanchi kazuri kenyewe ila sasahivi kuna kikundi cha watu wameanza kukaharibu.
Hii nchi ina amani sana kwa maana ya kwamba hakuna vita, na ni nchi kubwa nzuri, ina miji mizuri, vijiji vizuri, watu wake ni wazuri pia. Ni nchi ya neema ambayo hata masikini hakosi chakula.
Lakini miaka ya karibuni tunaona upepo unaanza kuhama, nchi imekumbwa na tatizo jipya la wahuni kuwa na mamlaka
Hebu angalia hii video mwenyewe, uone yanayoendelea kimyakimya Tanzania