watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Hizo Elfu Saba Saba Tupeni Watanzania Wote

    Vijana wanaopokea buku saba saba naona wanaongezeka kila kukicha kwenye kila mitandao. Kodi ya mtu anaesafisha vidonda hosptalini leo hii mnawapa wapuuzi kisa kulinda madhaifu yenu.
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna Show ya msanii kutokea hapa Bongo imebuma Texas, Watanzania wanaishi huko wameisusia, Waende wakapige show Dodoma

    Kuna hii video ya huyu dada anatokea huko Marekani anadai kwamba moja ya msanii kutoka Tanzania alipaswa kufanya show weekend hii lakini show hiyo imebuma kabisa kutoka na Raia wa Tanzania wanaoishi huko Marekani kucancel tekiti na wale walinunu kuzichana. Na kuwataka wasanii hao wakapige show...
  3. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Watanzania kilio chenu tayari kimesikika duniani na mbinguni, futeni machozi sasa, ila fanyeni yafuatayo

    Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na vibaraka wake wakiwemo viongozi wa vyombo vya usalama n.k Mateso hayo kwa watanzania yamefanyika...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama hawa Watanzania waliouawa nchini wangeuawa Gaza

    Kungekuwa na maandamano na matamko mengi sana ya FREE PALESTINA, lakini kwa kuwa wameuawa akina Abdallah na Frances ngozi nyeusi. Wala.... Utasikia tu amani amani. Kule Gaza hatusikii wakiambiwa wapalestina kuwa watunze amani. Hatusikii. Sisi miafrika ni minyani kwa asilimia kubwa sana. Sababu...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka

    Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka.
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamechukizwa na kuikataa ripoti ya CNN

    Kila kona ya nchi kwa sasa wananchi wanailaumu CNN kwa kutoa ripoti ya kuzushi yenye lengo ovu la kuwafarakanisha wananchi na serikali yao pendwa chini ya mama wa shoka Dr Samia Suluhu Hassan. Wananchi wengi wamelaani ripoti iliyotolewa na CNN kupitia ripota wao Larry Madowo. Uchunguzi wangu...
  7. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania WATANZANIA TUPO PANDE MBILI USITUAMINI

    Habari zenu wana jf Baada ya mihangaiko ya wiki nzima nikaona nifuatilie speech zote za raisi na amiri jeshi mkuu tokea uapisho wake mpaka sasa ila nilichogundua sisi watanzania tupo huku na huku maana yake Mtanzania usimuamini leo unaweza kumkuta kwenye amani na kesho ukamkuta kwenye...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania puuzeni babari zinazotolewa na CNN, kwa sababu ni chombo ambacho hakiaminiki na kimeshutumiwa sana na Donald Trump

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambia ya kuwa kaeni Makini sana na habari na taarifa zinazotolewa na CNN ya Marekani. Kwa kuwa ni chombo ambacho kimekuwa kikitumika kufanya propaganda na kutoa taarifa zenye kuleta taharuki ,kuchafua watu, taasisi, Nchi,jumuiya na hata vyama vya kisiasa...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

    Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau". Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale

    Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale. Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao, Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua tukiona mambo hayaeleweki, sasa watachagua walinde ikulu au walinde makaburi.
  11. The patriot man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania Naombeni tuuamini huu uongozi mpya wapo serious watatufikisha nchi ya ahadi

    Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana. Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya...
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba: Watanzania Walikufa, Haki Itarudi!

    Tarehe 29 Oktoba, shit hit the fan, na Watanzania walikufa! Serikali inacheka tu, inadhani maisha ya watu ni joke. What the fck? Hawa watu walikuwa na familia, walikuwa na ndoto, lakini leo wamebaki kuwa ghosts kwenye mtaa huu wa dunia. Na serikali? Wamefunga macho kama hawaoni. Sasa, what’s...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jioni ya Leo Nairobi Nchini Kenya, jumuiya ya Africa mashariki wamewasha mishumaa kuonesha mshikamano wao na watanzania

    Jioni ya Leo Nairobi Nchini Kenya , Maeneo ya CBD watu wa Jumuiya ya East Africa (wana jumuiya) wamekusanyika na KUWASHA MISHUMAA kwaajili ya kuonyesha mshikamano na watanzania kwenye kipindi hiki kigumu cha MAUAJI YA KIKATILI YALIYOFANYWA NA SAMIA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.
  14. mshale21

    JamiiForums Tanzania Je, Hili wimbi la masheikh linalohamasisha kuua watanzania wenzao lishughulikiwe vipi?

    Kulingana na matamko ya mashekh wanaohamasisha vurugu, uvunjifu wa amani na kutishia usalama wa nchi, nini kifanyike?
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania tujenge utamaduni wa kujadiliana kwa hoja zenye staha hata pale tunapotofautiana kimtazamo

    . Katika jamii yoyote inayotaka kustawi, tofauti za mawazo ni jambo la kawaida na lenye afya — lakini namna tunavyoyashughulikia hayo mawazo ndicho kinachojenga au kubomoa. Matusi, kejeli na dhihaka haziwezi kuleta suluhu ya changamoto zetu kama Taifa. Badala yake, huchochea hasira, kuharibu...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Tunataka vijana waasi, jeuri na mashujaa dhidi ya mifumo isiyoendana na matarajio ya watanzania

    Moja ya wosia maarufu zaidi wa baba wa taifa kwa vijana unaoishi hadi leo. Nyerere, "Tunataka vijana waasi, jeuri na mashujaa dhidi ya mifumo isiyoendana na matarajio ya watanzania." kwa mauwaji samia aliyoyafanya kwa kushirikiana na polisi wapumbavu, wajinga na wala rushwa vijana lazima tuasi...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Gen Z wana-trend. Wamekubaliana uelekeo ni Ikulu na Bungeni. Msisahau sahani, vijiko, pilipili na ndizi ubwabwa utakuwepo #D9

    Gen z wana trend wamekubaliana uelekeo ni ikulu na bungeni msasahau sahani, vijiko, pilipili na ndizi ubwabwa utakuwepo #D9.
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Uchaguzi wa Rais Samia ni Matusi kwa Watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema kuwa Uchaguzi wa Rais Samia ni matusi kwa watanzania akilinganisha na chaguzi zilizopita 2015 kati ya Hayati Rais John Pombe Magufuli na Hayati edward Lowassa na chaguzi ya 2020...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi kwa sasa hawana furaha kabisa naona magonjwa ya pressure yakiwanyemelea

    Poleni sana ndugu zangu nimepata maono jinsi mioyo yenu ilivyo shuka mood kwa sasa kazeni roho ndugu zangu 1.jipende nunua nguo nzuri 2.kula vizuri 3.acha kabisa kuyatazama content za ngono ambazo kwa sasa ndo zimezidi katika mitandao ya kijamii 4.fanya mazoezi kila siku kama kukimbia jioni...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watanzania walioko ughaibuni waandamana kutaka haki Tanzania

Back
Top Bottom