watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watu hawa wanahusika na mauwaji ya maelfu ya Watanzania

    Bila kupepesa macho si chini ya Watanzania elfu mbili waliouwawa kwa risasi za moto na pamoja na mateso juu. Baadhi walipigwa na kuvunjwa miguu, mikono, mbavu na hata mikono. Ghasia haikuwa shida , shida ilikua ni jinsi ya kuzuia ghasia hizo, mfano ikiwa kwa sasa kuna mamia ya watu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania, naomba, Familia ya Magufuli itusamehe

    Kwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa kiwango ambacho wachache walimwandama Kwa niaba ya Watanzania walio wengi, Nachukua nafasi hii kuomba...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kujidanganya kwamba inahitaji askari kutoka nje kutekeleza mauaji na ukatili wa kutisha kati yetu?

    Kuna maneno au uvumi umekuwa ukisambazwa sana kwamba kuna wanajeshi au askari wa Uganda waliingizwa kutoka nje ili kudhibiti waandamanaji kwa kuwaua na kuwafanyia ukatili mwingine. Huku ni kujidanganya, kujipumbaza na kujifariji kwa uongo. Kwa muda mrefu sana Watanzania wengi wamekuwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo chama na serikali kwa ukilaza wenu huko ndani mnaambiana mkae kimya watanzania mnawajua watasahau na litapita na maisha yataendelea sio!

    Sawa endeleeni kuamini hivyo na kuaminishana hivyo.
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Oktoba 29 inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini

    Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini. Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa hali zote, nime mwaga machozi kwa kutambua kuwa watanzania walikufa kwa kunipigania mimi na wewe...
  6. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Damu Imenyesha Juu ya Katiba: Watanzania Wameuawa Kwa Kutumia Haki Zao

    Watanzania wanalia. Uchungu umefika kilele. Wale waliotoka majumbani kwao kwa amani, wakiwa na matumaini ya kutumia haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kutoa maoni, leo wametoweka katika kaburi la ukimya. Wameuawa kwa risasi, kwa mabavu, kwa amri za dola iliyopaswa kuwalinda. Ni aibu ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu hii ishu ilipangwa ikapangika

    Kwanza nasikitika sana kwa yaliyotokea Pili nataka kusema inchi yangu au yetu haiko salama. inaonekana Abduli na genge lake walipanga kuja kuwauwa wandamanaji kwa mgongo wa maandamano ili kulipa ya mauaji yaliyotokea Zanzibar wakati wa Mkapa Uwe Chadema au CCM hatuko salama tena maana uongozi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makambako; Wananchi wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya Watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo

    Wakazi wa Makambako Mkoani Njombe wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo ya watu waliopata changamoto wakati wa uchaguzi. Hayo yameelezwa wakati Wananchi hao wakitoa maoni yao leo Novemba 6, 2025, mbele ya Mkuu wa Mkoa wa...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: Mnawaua kwa risasi watanzania halafu fasta mnaenda kujiapisha kwa kushika Biblia Takatifu na Quran Tukufu KWELI?

    "Yaani mnawaua kwa risasi WATANZANIA wengine wengi wakiwa wamejituliza ndani na familia zao, kwenye sebule zao wanaangalia TAMTHILIA na kadhalika! Halafu fasta mnaenda kujiapisha kwa kushika Biblia Takatifu na Quran Tukufu!KWELI?" - Joseph Mbilinyi (Sugu) Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Poleni Watanzania

    Nimehuzunika mno kushuhudia mauaji TZ. Wanahabari wa Tanzania wako na swali la kujibu! Walinyamaza mauwaji yakiendelea!
  11. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kilio cha watanzania kwenye account ya ICC huko Instagram kimeniliza

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kilio chao kinaumiza kuliko hata mauwaji yenyewe Nimelia Mmoja anasema Samia anamaliza watoto wetu tusaidien Ni majonzi ndugu zangu Account ni hiyo hapo chini
  12. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hivi Yeriko Nyerere anatutaka nini watanzania?

    Huyu jamaa yawezekana ni mental case. Kwenye msiba watu hulia wote yeye yuko bize na spinning na kejeli. Namshauri aache mara moja kwa usalama wake. Usicheze na umma uloumizwa
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji ya raia 1000 na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania hayana mashiko

    Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe? Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Poleni watanzania sisi ni ndugu, Tusali huu sio wakati wa kunyoosheana vidole

    Msanii wa Maigizo 'Bongo Movie' Steve Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika haya: "Mstafuuu,....watanzania wenzangu,..kwanza kabisa tutambue sisi wote ni ndugu tumezaliwa katika tumbo 1 tu linaloitwa Tanzania Kama Mtanzania nichukue nafasi hii kuwapa pole ndugu, jamaa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu wa kuja kutusaidia Watanzania

    Tanzania Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawataki changamoto ila wanataka mafanikio tu

    Kama ukitaka kujua watanzania wanafiki kaishi nao nchi za nje ndio utajua watanzania wapoje. Nasema ili sio kwa kutunga ni ukweli mtupu. Mtanzania hataki changamoto yoyote ya mabadiliko wa kuthubutu kama ugali na dagaa hupo nyumbani kwake. Leo mtaani ukianzisha biashara ya mavi ya kuku...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunalia kwa uchungu lakini CCM katili wapo kimya

    GT. Kwa masikitiko makubwa niwape pole wale wote waliofikwa na msiba pamoja na kujeruhuhiwa katika vurugu za uchaguzi. Vujana walihamasika vizuri tujifunze tatizo moja la kiufundi maandamano bila vurugu yanawezekana ndiyo yatakayotupa matokeo chanya pia itawapa wakati mugumu.hawa wanaotumia...
  18. canular

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Imegundulika WASANII Watanzania Wamepangwa Kujaribu Kutoa Pole na kujifanya wameumizwa !! Bora Mngekaa Kimya

    Chochote kinachofanywa na Mtanzania yoyote ilimradi kisukumwe na Watekaji/Wauaji wa Watanzania , kitajulikana . Imegundulika, Baada ya Kuona hawatoweza kuwahakikishia Usalama wao na Mali zao dhidi ya Adhabu kuunga MUNGU Watekaji/ Wauaji wamewapanga WASANII wajifanye wanapost wanayoendelea...
  20. Criss

    JamiiForums Tanzania GE2025 Taifa limetoboka, kila mmoja anajiona hadi ndani

    Wakuu Taifa limetoboka, tuambiane tu ukweli watanzania wanalia tena kilioo cha kwikwi. Mahospitalini kumejaa maiti kitaa kumejaa maiti Ndani ya nyumba za watu kumejaa vilema waliyokosa matibabu ,wanaogopa kwenda hata mahospitali kwa kuogopa kumaliziwa . Wengine wanaogopa kujitokeza...
Back
Top Bottom