watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. canular

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania hatuwataki CCM na Rais Samia

    CCM, Samia na wahuni wote watanzania tumewakataa hatuwataki Mnataka watanzania tufanye nini ili msikie kwamba hatuwataki tuachieni taifa letu hamna cha kutudangaya watanzania sasa hivi tumejitambua Samia achia nchi yetu hatukutaki, hatuwapendi, hatujawachagua tokeni msituletee machafuko kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi na maisha ya Watanzania hatarini kwasababu ya Samia, Rostam na Kikwete

    Hawa wadau watatu ndiyo wametufikisha hapa na huko mbele wakibaki wataharibu uchumi wa TZ vibaya sana lazima Mama atolewe na kuwe na serikali ya mpito
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ifanyiwe pia reform. Asilimia kubwa ya Watanzania tangu enzi na enzi hatukubaliani na uongozi wao.

    Kiukweli bakwata imeoza, hivyo hakuna budi kupaza sauti nayo ifanyiwe reform kwenye uteuzi /uchaguzi wa viongozi au kama vipi ifutwe tu tujue moja. Yani viongozi wa bakwata asilimia kubwa ya matamko yao wanafanya kwa niaba yao , hawafanyi kwa niaba ya waislamu wote wa TZ kwa ujumla . Asilimia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo aonyesha Jumbe za Matusi na Vitisho anazotumiwa na Watanzania DM

    Mwandishi wa chombo cha habari CNN mwenye uraia wa kenya Larry Madowo ameshare baadhi za ujumbe anazotumiwa DM za matusi na vitisho baada ya kuchunguza na kuripoti mauaji ya kikatili ya waandamanaji yaliyotoke Oktoba 29
  5. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msaada muhimu zaidi kuliko yote unaohitajiwa na waTanzania

    Wakati tunawashukuru wote waliosimama na kupaza sauti zao juu kuhusu mauaji ya waTanzania waliouliwa kikatili sana wakitafuta HAKI mbalimbali za msingi mwezi Oktoba 2025; ni wakati sasa. kuwakumbusha kuwa kulaani mauaji hayo pekee haitoshi. Tuwaombe, wakati juhudi zetu za kutafuta haki hizo...
  6. Pakome

    JamiiForums Tanzania Changamoto zilizoikumba Tanzania zitatuliwe kwa kutumia Busara na Utamaduni wa Watanzania. Njia ya lawama itateketeza Taifa

    Nawapa pole Wananchi wote wa Tanzania, pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia mshtuko, simanzi na sintofahamu iliyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025. Tukio lile lilileta majeraha kwa nyoyo za Watanzania, likaibua hofu, maumivu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusitegemee msaada wowote wa JWTZ siku ya D9

    MO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi MBELE YA MACHO YAO bila msaada wowote. Inasikitisha. Safari hii D9, Watanganyika wote wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tusiweke...
  8. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Unatumia Mabavu na Kumwaga Damu za Watanzania Wanaodai Haki Kisha Baada ya Kujipatia Madaraka Kwa Damu unarudi kusema Amani Itawale, Ya nini?

    Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha kujitwalia Madaraka kimabavu ikibidi hata kwa kumwaga damu, na ndicho kilichotokea. Baada ya mauaji...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wanatuona kama vile watanzania “hamnazo”

    Kuna mambo mengine yanatia hasira sana. Wauwe wenyewe halafu waonyeshe wao ndio wana uchungu sana kuliko wafiwa na wanaopost hayo mauaji mtandaoni. Just imagine wao ndio wafanye mauji ila wao ndio iwaumize na kuwasikitisha zaidi ya wafiwa. This arrogance is unacceptable guys, we need to do...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua kutoka kwa Tundu Lissu: Samia Suluhu Hassan hakuchaguliwa na sio Rais halali wa nchi yetu

    BARUA KUTOKA GEREZA KUU LA UKONGA. Samia Suluhu Hassan hakuchaguliwa na sio Rais halali wa nchi yetu: Kwa mujibu wa Taarifa ya awali ya watazamaji wa uchaguzi kutoka umoja wa Africa (AU); 1. Taratibu za kisheria za uchaguzi zilizotumika zilikuwa "...kinyume na viwango vya kikanda, kibara na...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Serikali imeumizwa sana na Documentary ya CNN

    Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea. Imejaza watu mitandaoni kumshambulia mwandishi wa CNN utadhani aliandaa peke yake, serikali ilidhani CNN ni Channel 10 au ITV na Larry Madowo ni Millard Ayo...
  12. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Hizo Elfu Saba Saba Tupeni Watanzania Wote

    Vijana wanaopokea buku saba saba naona wanaongezeka kila kukicha kwenye kila mitandao. Kodi ya mtu anaesafisha vidonda hosptalini leo hii mnawapa wapuuzi kisa kulinda madhaifu yenu.
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna Show ya msanii kutokea hapa Bongo imebuma Texas, Watanzania wanaishi huko wameisusia, Waende wakapige show Dodoma

    Kuna hii video ya huyu dada anatokea huko Marekani anadai kwamba moja ya msanii kutoka Tanzania alipaswa kufanya show weekend hii lakini show hiyo imebuma kabisa kutoka na Raia wa Tanzania wanaoishi huko Marekani kucancel tekiti na wale walinunu kuzichana. Na kuwataka wasanii hao wakapige show...
  14. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Watanzania kilio chenu tayari kimesikika duniani na mbinguni, futeni machozi sasa, ila fanyeni yafuatayo

    Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na vibaraka wake wakiwemo viongozi wa vyombo vya usalama n.k Mateso hayo kwa watanzania yamefanyika...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama hawa Watanzania waliouawa nchini wangeuawa Gaza

    Kungekuwa na maandamano na matamko mengi sana ya FREE PALESTINA, lakini kwa kuwa wameuawa akina Abdallah na Frances ngozi nyeusi. Wala.... Utasikia tu amani amani. Kule Gaza hatusikii wakiambiwa wapalestina kuwa watunze amani. Hatusikii. Sisi miafrika ni minyani kwa asilimia kubwa sana. Sababu...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka

    Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka.
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamechukizwa na kuikataa ripoti ya CNN

    Kila kona ya nchi kwa sasa wananchi wanailaumu CNN kwa kutoa ripoti ya kuzushi yenye lengo ovu la kuwafarakanisha wananchi na serikali yao pendwa chini ya mama wa shoka Dr Samia Suluhu Hassan. Wananchi wengi wamelaani ripoti iliyotolewa na CNN kupitia ripota wao Larry Madowo. Uchunguzi wangu...
  18. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania WATANZANIA TUPO PANDE MBILI USITUAMINI

    Habari zenu wana jf Baada ya mihangaiko ya wiki nzima nikaona nifuatilie speech zote za raisi na amiri jeshi mkuu tokea uapisho wake mpaka sasa ila nilichogundua sisi watanzania tupo huku na huku maana yake Mtanzania usimuamini leo unaweza kumkuta kwenye amani na kesho ukamkuta kwenye...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania puuzeni babari zinazotolewa na CNN, kwa sababu ni chombo ambacho hakiaminiki na kimeshutumiwa sana na Donald Trump

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambia ya kuwa kaeni Makini sana na habari na taarifa zinazotolewa na CNN ya Marekani. Kwa kuwa ni chombo ambacho kimekuwa kikitumika kufanya propaganda na kutoa taarifa zenye kuleta taharuki ,kuchafua watu, taasisi, Nchi,jumuiya na hata vyama vya kisiasa...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

    Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau". Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
Back
Top Bottom