watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Mungu amejibu maombi ya Watanzania, Kujifukiza katika mvuke kutawaponya wagonjwa wa corona

    April 16/4/2020 Rais John Magufuli aliandika ujumble katika ukurasa wake wa Twitter akiwaomba Watanzania kufunga na kuomba kwa kipindi cha Siku tatu aliandika, Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi...
  2. JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

    Wanabodi, Salaam, Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz atoa msaada wa sh 500 milioni kukabili Covid 19 Zanzibar, makamu wa Rais Idd Seif awataka watanzania waache ukaidi

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash...
  4. JamiiForums Tanzania Kwako Waziri Ummy Mwalimu kuhusu maambukizi ya COVID-19: Watanzania tunahitaji kupewa taarifa za kila siku (Daily Updates)

    Kichwa cha uzi kimejitosheleza. Watanzania tunahitaji kujua kinachoendelea kuhusu hili janga. Source ya taarifa za jambo kama hili yapaswa iwe ni mamlaka husika, ambayo ni wizara inayoshughulikia masuala ya afya (hapa Tanzania wizara hii ina jina refu sana). Upande wa pili wa muungano...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kitu Watanzania tunakihitaji basi ni maarifa

    Naam, wanajamvi siku tatu za maombi zimeisha Jana. Kama maombi ya waombaji yameswihi hilo litajidhihirisha siku si nyingine kuanzia leo. Ila kwa maoni yangu hayajaswihi au hajapokelewa. Kwanini nasema hivi? Ni ubatili wa maombi yenyewe. Waombaji wengi walimtukuza binadamu badala ya Mungu. Rejea...
  6. JamiiForums Tanzania Natoa ombi kwa uongozi wa JamiiForums mumualike Naibu Waziri wa Afya aje afafunue na kujibu dukuduku na maswali ya watanzania

    Natoa hii rai sababu sasa tunakoelekea ni pabaya maana idadi ya maambukizi ya wagonjwa wa Covid -19 inazidi kuongezeka. Mgonjwa wa kwanza kulipotiwa ilikuwa ni March 16 na leo ni April 19 kakini idadi inavyoendekea kuongezeka inatia hofu naashaka kwa sisi wananchi wa hali ya chini. Napendekeza...
  7. JamiiForums Tanzania Wachina wakutwa na hatia ya kuwatupa wazamiaji wawili wa Tanzania baharini

    Wachina saba wamekutwa na hatia ya kujaribu kuwaua watanzania wawili kwa kuwatupa baharini karibu na mwambao wa KwaZulu Natal, mwezi uliopita Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakaamriwa kuogelea. Siku tatu baadae...
  8. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Yumkini hali si nzuri. Rais kafunguka. ===== Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli ameandika: "Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na...
  9. JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi jipangeni upya mrudishe heshima yenu, Chadema wamewasaliti Watanzania

    Nccr mageuzi kilikuwa ni chama ambacho kilisheheni wasomi na watu ambao ki msingi walijua siasa ni kitu gani. Lyatonga Mrema, Mabere marando ,Dk S.Mvungi Masumbuko Lamwai,Dr Ringo Tenga na wengine wengi tu ambao huko mikoani walijitoa kwa ajiri ya Chama kama Mzee Cosmas Chenyenge wa Mwanza...
  10. JamiiForums Tanzania Narudia kuuliza! na nitarudia kuuliza watanzania tuna matatizo gani kufurahia matatizo?

    Watanzania tuna matatizo gani? Magonjwa tunafurahia! Vifo tunafurahia! Mtu akitumbuliwa tunafurahia! Mtu akipigwa risasi tunafurahia! Nashindwa kuwaelewa Watanzania ni Nini tunataka kwa nchi wananchi wanafurahia nchi kupata matatizo unakuta mwananchi Hali ya chini akifurahia eti watu Fulani...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni Siasa za sasa za Tanzania ndizo zinawakwaza IMF na WB hadi hawatujali tena Watanzania au kuna 'Kirusi' Kimewakwaza sana?

    Mpaka leo najiuliza hili Swali ni kwanini Taasisi Kubwa na Muhimu kabisa za Masuala ya Fedha Duniani (Ulimwenguni) za WB (Benki ya Dunia) na IMF (Shirika la Fedha Duniani) kwa Siku za karibuni na niweke tu wazi tokea 2016 hadi huu wa 2020 wamekuwa ' Wazito ' mno Kuisaidia Tanzania kwa Pesa...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania inabidi tusali sana kwa bidii---corona

    Polisi Wakusanya Mitaani Maiti 800 za Waliofariki Kwa Corona na Kutelekezwa Ecuador imesema polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za karibuni kutoka katika makazi mjini Guayaquil, sehemu iliyoathiriwa kwa kiasi kikubwa na mlipuko wa virusi vya corona, baada ya ugonjwa huo kuzidi...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni wanafiki hasa kuhusu Sakata la BSS

    Watanzania wengi wanatatizo lakuwa wanafiki na wasio na shukrani hata kidogo, nimeona wengi wakiiponda BSS na wengine kwenda mbali zaidi kuitukana na kutoa lugha chafu juu yao Cha ajabu mpaka washiriki wenyewe walioshiriki bss nao wameingia kwenye Huu mkumbo. Pamoja na BSS kutuumiwa kula...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe wazalendo, hiki ndio kipindi cha kushikamana pamoja na kuonyesha umoja wetu

    Ndugu zangu natoa hii rai kwa wananchi wote wa Tanzania huu ndio wakati wa kuwa na mshikamano wa pamoja, nasema hivi sababu tayari ni dhahiri kuwa Corona virus yupo ndani ya jamii yetu. Kama kuna reported cases mpya 14 na zote ni zimetokea ndani ya nchi yetu basi ni wakati muafaka wa kuweka...
  15. JamiiForums Tanzania "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la hoja ngumu zinazoitwa abstract, na zinahusu kitu kinachoutwa psychoanalysis, mtanisamehe, sikijui Kiswahili cha abstract wala psychoanalysis, lakini inahusu kumsikiliza mtu kauli na kuibaini kama inatoka moyoni au mdomoni. Ili uweze kuibaini kauli ni ya kutoka moyoni...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wito: Watanzania Tuwasaidie Wakenya

    Katika pita pita yangu mitandaoni, nimeona ndugu zetu, majirani zetu, watani zetu wa Kenya wana uhaba mkubwa wa chakula hasa nafaka. Nashauri, kwa kuwa sisi tuna chakula kingi na kwa kuwa kuna ugumu sana wa kupitisha mizigo kwenda Kenya na wao kufuata huku sababu ya janga la korona. Serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali na Watanzania kuhusu uzalendo wa kweli

    Habari wakuu, leo nimeona si vibaya nikiwasilisha hoja zangu kwa watanzania na serikali kwa ujumla, kwanza kabisa ifahamike kuwa corona virus haikuja accidentally ilikuja kimkakati na nyuma ya huo mkakati kuna agenda mbaya sana ya kumtawala mwanadamu kidigitali, watanzania tunatakiwa kujuwa sisi...
  18. JamiiForums Tanzania Mlipuko wa COVID19: Watanzania tujiandae kuonja joto ya jiwe kwa mataifa ya wenzetu, serikali yetu inaweza kuwa sehemu ya matatizo!

    Nimelazimika kuandika bandiko hili baada ya statements kadhaa zinazotoka kwenye mataifa mengine zikionyesha kuwa watanzania wamekuwa wakipita kuvuka mipaka na baadhi yao kwenda kuwa sasa ni chanzo cha matatizo ndani ya mataifa hayo. Ni jana tu mtendaji mkuu wa wizara ya afya ya Kenya alitoka na...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona,wengine wanne wathibitishwa.Kifo kimoja chatangazwa

    The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 184 after five more patients tested positive for COVID-19. Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday said the new cases include three Kenyans and two foreigners. Three of the five patients had traveled from Tanzania while the other...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona. -- ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI) Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…