watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni ujinga na ukosefu wa maarifa unawasumbua waafrika na watanzania kuhusu chanjo ya COVID-19

    NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19 Na: Shujaa Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na Tanzania kuwa miongoni mwa Nchi maskini duniani pamoja na utajiri na rasilimali nyingi walizo nazo Sio...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais mtoe IGP Sirro, Watanzania hawamuamini

    IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu. Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kukuza uchumi(inclusively), kuleta ajira na fanaka kwa Watanzania

    Kwa muda mrefu watu tumekuwa tukizungumza namna mbalimbali za kukuza uchumi kuongeza ajira ili kila mmoja afaidike kwenye keki ya taifa. Nimeona si haba na mimi nikitoa mawazo yangu katika namna ambayo watu wengi watapata ajira. DHANA YA MAENDELEO Maendeleo ni uwezo wa mtu kuamrisha vitu, hii...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia unafanya maisha yetu Watanzania kuwa magumu hivi?

    Habari wanaJF, Watanzania tunajiuliza kwa nini Rais wetu wa sasa anaruhusu mambo haya. Una ajenda gani? Je, wewe hutambui wananchi wako walivyo maskini na fukara sana?! Ngoja niwaoneshe, Chini yako Mh. Rais Samia umeruhusu mambo haya: 1. Umeongeza gharama za kutuma na kupokea hela katika...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Watanzania tupo milioni 60?

    Hii idadi ya milioni 60 imetoka wapi? Kuna sensa iliyofanyika na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?
  6. JamiiForums Tanzania Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  7. JamiiForums Tanzania Mbona Watanzania sijawaona Olympics?

    Jamani wanamichezo wenzangu hapa Tanzania michezo ya Olympic inaendelea huko Japan swali langu mbona watanzania sijawaona kwenye hiyo michezo?
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

    Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000. Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi. 1. Hakuna surveyor 2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia 3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hoja za baadhi ya Watanzania kuhusu kukataa chanjo bado ni dhaifu sana

    Watanzania hawaishiwi hoja kwa kweli. ETI Katika hoja wanazotumia wanasema eti chanjo gani ambayo serikali imejitoa kabisa kwamba litakalokupata wao hawawajibiki kwa lolote? Watanzania wamesahau kwamba hata ukienda hospitali una haki ya kukataa kutibiwa, una haki ya kukataa sawa, una haki ya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Corona ni futa ukijifukiza linapasuka, akili za kijinga zilizopandikizwa kwa watanzania

    kama sikosei hii kauli aliizungumza cyprian mulaga musiba, wakati ule taifa linapinga katakata uingizaji wa chanjo kwa amri kutoka juu, watu wengi waliamini katika hili lakini kiuhalisia iyo ilikua ni elimu ya kijinga inayopanddikizwa kwa watanzania na matokeo yake ni haya tunayaona leo...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania msikilizeni Rais Samia kuhusu chanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa chanjo ni salama na kamwe hawezi kuwaletea chanjo ambayo ina madhara kwa kuwa yeye ni Kiongozi Mkuu wa Nchi anayejali afya za wananchi wake. Rais Samia ameyasema hayo wakati akipata chanjo ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19: Watanzania hatujawahi kuchomwa chanjo kwa kujaza fomu kuiepusha Serikali na lawama za madhara

    Leo katika uzinduzi wa chanjo. Waziri wa Afya kaongea mambo mengi ili kuhalalisha mchakato huo. Ameenda mbali na kushawishi watu kuwa kujaza fomu ya kuridhia kuchanjwa ambayo inasema ukipata madhara serikali haitawajibika ni jambo la kawaida kitabibu na hata ukifanyiwa operation basi wewe au...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Huyu ndiye Kiongozi tunayemtaka Watanzania

    Duniani ni sehemu mzuri sana kuishi kama sisi wenyewe tutaifanya dunia kuwa salama kwa ajili ya maisha yetu wenyewe. Hata hivyo hatuwezi kuishi kiholela, isipokuwa inatulazimu wawepo baadhi yetu watakao simamia mambo yetu na kutuwakilisha katika baadhi ya mambo. Watu hao ni viongozi na watawala...
  14. JamiiForums Tanzania Kuyaona mawazo yetu kama 'Kelele' ni kutudharau Watanzania

    "Tulipoamua kupandisha Tozo za Miamala tulikuwa tuna lengo zuri tu ila tulipoanza kusikia Kelele za Wananchi basi Serikali tukaona kwakuwa tunawajali Wananchi wetu tuingilie kati na sasa nimeunda Kamati ili kuliangalia hili na itakuja na majibu muda si mrefu" Rais Samia. Hasira yangu na Uchungu...
  15. JamiiForums Tanzania Kama chanjo ya COVID-19 ni hiyari basi watakaochanjwa watoe hela. Hatuwezi kutumia pesa za Watanzania kufurahisha wachache

    Huu ndiyo ukweli, kwa hii ya Msaada uliotolewa basi watakaopatiwa pia wachangie gharama ambazo zitatumika kuwalipa posho wahudumu maana pesa za wananchi haziwezi kutumiwa na wachache. Tumeambia serikali itakoma pesa takribani 500m USD ili iweze kununua chanjo na pesa hizo zitalipwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania na kupinga vitu vipya bila elimu yake

    Nawasalimu katika jina la jamhuri ya muungano wa Tz (Hata usipojibu mi naendelea tu) Mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati Tv ndo zinapata umaarufu hapa nchini watu walipinga sana hii issue wakisema itatuharibu macho, maadili na pia ni kazi ya shetani Wakati simu za mkononi zinashika kasi pia watu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya chanjo ya Covid-19 yapo hasi sana kwa Watanzania

    Ukiacha Gwajima kuchafua hali ya hewa kuhusiana na chanjo ya Corona lakini tayari watanzania walishaaminishwa na Rais wa awamu ya tano, Hayati Magufuli kuwa chanjo ya Corona sio salama kabisa na hivi huku hayati akisema kuwa chanjo ya Korona inayopigiwa debe na mabeberu kama alivyokuwa anasema...
  18. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

    Habarini wakuu, Kwa Tanzania hapa, asilimia kubwa ya watu wafanya kazi Ile basi tuu, wachache tuu wana uzalendo na kazi lakini wengi hawana moyo kabisa wa kufanya kazi. Ukipita maofisini utagundua wafanyakazi wengi iwe private sector au serikalini wanazingatia muda wa lunch kuliko muda wowote...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu bora na Maridhawa kwa Kuinua Maisha ya Watanzania kufikia mwaka 2040

    Watanzania wengi wanasumbuliwa Sana na ukombozi wa kifikra, Changamoto nyingi Sana za Maisha zinaielemea Jamii kwa sababu ya Elimu Mbovu na Mijiundo ya kiutawala tuliorithi kwa wakoloni! Hii imekua ni dhana mbovu Sana katika kuikwamua jamii katika lindi la umasikini wa fikra, mitazamo na Maisha...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Wanabodi, Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa". Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…