watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

    Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani' Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
  2. P

    Umasikini wetu umesababishwa na wingi wa Rasilimali tulizonazo?

    Mimi najiuliza tu, Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..! Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
  3. Hapa Kazi Tu (HKT) kiwe chama kipya cha kisiasa Tanzania kitakachoenzi falsafa na maono ya Hayati Dkt. Magufuli na kiwe tegemeo la Watanzania

    Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo. Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote. Hatutakaa...
  4. Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

    Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port. Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi. Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi. Tunataka siku mkianza kulia tulie...
  5. P

    Nipende Kuungana na Watanzania Wenzangu Wapenda haki Kudai Katiba Mpya.

    Poleni na Majukumu ya kikazi. Katika kuijenga nchi yetu nzuri Tanzania. Moja kwa moja kwenye. Haya ni maoni yangu binafsi. Kama mwananchi wa Tanzania niliye na Uhuru wa kutoa maoni. Kama mjuavyo wengi tunaofutilia mambo nchini Tanzania. Kumeibuka vuguvugu la kudai katiba mpya Tanzania. Mimi...
  6. B

    Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

    Kutofautiana kimawazo katika nchi ni jambo la afya. Haiwezekani sote tukawa na mtizamo mmoja. Hata watoto mapacha hutokea wakati wakatofautiana. Kwa bahati mbaya kuna zama zimepita kwa kutofautiana tu pana watu wamekufa, wamepotezwa, wamejeruhiwa, wamedhulumiwa, na mengi ya namna hiyo...
  7. Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan kwanza nakupongeza sana kwa hatua mbalimbali unazochukua baada ya kuondokewa na Magufuli Mhe. Rais kama lilivyo jina lako wewe ndio Suluhu ya suala la Katiba mpya. Haya yote unayohangaika nayo kuyaweka sawa ni kutokana na Mwendazake kuona mapungufu yaliyopo kwenye...
  8. Watanzania waaswa wasome, waache kuogopa ushindani, vibali kwa wageni kutolewa ndani ya masaa 24

    Duh! Mama Suluhu ameamua hatolinda uzembe, aidha ujitume na kupambana au uachwe nje, vibali kwa wageni kutolewa ndani ya masaa 24. Ifahamike mpaka muwekezaji anaingia gharama zote za kuomba kibali kwa ajili ya mgeni, anamgharamikia usafiri na mambo mengine mengi ni dhahiri anamhitaji, sasa...
  9. Watanzania tusikubali nchi yetu kuwa inaibiwa na wachache wanaodhania kuwa wao wana akili nyingi. Hii nchi sio mali ya WanaCCM wachache.

    Tukubaliane kabisa kuwa CCM imepewa madaraka kuongoza nchi kwa niamba ya watanzania mil 60 bila kujali itikadi zao. CCM kuwa madarakani sio sababu ya wanaCcm wachache ambao walishakuwa viongozi kujifanya wao na familia zao wanajua sana kupiga madili makubwa na kunufaisha matumbo yao. CCM kuwa...
  10. Ali Kiba hatendewi haki, Watanzania tuache ukatili

    Sio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali Kiba. Mimi ni mpenda haki kwahiyo nimeona sio sawa kukaa kimya mtu anapoonewa. Kwa muda mrefu...
  11. MATAGA tunaomba radhi kwa kupotosha watanzania kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi safi kabisa

    Tunaomba radhi, tulipotoshwa na watu wenye chuki zao kwa sababu za kisiasa. Kenya wamemaliza Lamu, sisi bado, tinaomba radhi sana maana tulifanya haya mambo kwa kulipwa matokeo yake tukakwamisha nchi. Tunaomba radhi kwa Mama Samia, watanzania wote pia #matege Code-SSH-2025
  12. N

    Mwananyamala: Rais Samia ala kona baada ya kuambiwa wodi anayotaka kuingia ni ya wagojwa wenye matatizo ya kupumua

    😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
  13. Watanzania wengi tumejikatia tamaa, tunaishi kwa kutegemea mikeka itiki

    Habari wadau! Kiukweli zama zimebadilika sana, kwa sasa Watanzania wengi tunaishi kwa kutegenea mikeka. Wanaume majumbani kwetu ndio usiseme, wife ukiona anakuzonga zonga unamwambia kuna mchongo huo naufukuzia ukitiki tu mambo yatakuwa poa kumbe mtu mzima una mkeka wako wa siri unangoja Odds...
  14. M

    Wito kwa viongozi wetu: Msisahau kuwaomba Viongozi wa Dini na Watanzania kwa ujumla kumwomba Mungu aendelee kuiponya nchi yetu dhidi ya Corona

    Nawasihi sana viongozi wetu kumtanguliza Mungu mbele katika vita dhidi ya corona. Msimwonee Mungu haya katika jambo hili. Usalama tulionao tofauti na mataifa mengine siri yake ni kwamba Rais wetu wa wakati huo alikuwa anaitisha maombi na kuhamasisha watu kumwomba na kumtanguliza Mungu mbele...
  15. Kupitia mafanikio ya Diamond Platnumz nimegundua Watanzania wengi wana roho mbaya

    Habari zenu, Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa kupata mafanikio makubwa kutokana na juhudi binafsi. Kinachonishangaza sasa ni trend kubwa ya...
  16. Nini kifanyike kuboresha makazi ya Watanzania vijijini na hata mijini?

    Watanzania wanaoishi katika nyumba za hali hii ni wengi sana. Nyumba za hali hii huchangia afya mbovu. Tunapohamasisha BIMA za afya tufahamu pia tatizo linaanzia hapa.
  17. J

    CHADEMA, Tusitumie madai ya Katiba Mpya kumrudishia uhai wa Chama sio Matakwa ya Watanzania kwa sasa

    Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutufikisha katika hatua ya Katiba pendekezwa. Lakini kwa Sasa linaonekana Jambo jimpya kwa Chama Cha...
  18. Aina za Uwekezaji wa Watanzania wengi hautupi nafasi kushindana huko Duniani

    Uwekezaji unao fanywa na asilimia kubwa ya sisi Watanzania haitupi kuweza kushindana huko Duniani na mataifa mengine. Tumekuwa na aina za uwekezaji ambazo sana ni kwa ajili ya Familia zetu na sio za kututambulisha Duniani au kusaidia nchi. Chukulia mfano Mji kama Kahama, Ule ni mji una Mgodi...
  19. Kwanini watz wenye uelewa duni wana dhana mbaya dhidi ya watanzania wa kaskazini?

    Kanda ya kaskazini ina makabila mengi sana lakini dhana hii inalenga mikoa mitatu tu Kilimanjaro, Arusha na Manyara lakini kabila lengwa ni Wachagga. Watanzania wasiojielewa wamedai Wachagga ni wezi, majambazi, wabaguzi na wakabila je ni kweli? Katika makabila yaliosambaa sana Tanzania...
  20. Nape Nnauye: Kwa bajeti hii ya Rais Samia hela zitamwagika mtaani watanzania tujiandae kuzichota

    bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia. Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…