Kumekuwa na tabia ya ajabu sana kwa baadhi ya Watanzania hasa wa Dar.
Baadhi wamekuwa wakipiga picha za ngono na baadae kumtumia Mbibi mmoja ambaye kazi yake ni kutangaza tu kuwa kuna watu wamechafua hali ya hewa.
Baadhi wamekuwa wakifanya maigizo na kutuma picha hizo ili wapate mgao na sijui wanalipwa shilingi ngapi.
Wako tayari kuuza utu wao ili tu wapate chochote.
Na hawa wapo wengi kuanzia wanafunzi vyuoni, watumishi hadi machokoraa wa mtaani.
Bahati mbaya kuna Watanzania wenzetu wanaolipia kuona upuuzi huo bila kujali ni sinema za maigizo ama ni uhalisia ili mradi kuna uchi wa mtu unaonekana.
Hivi hii hali ni umaskini, tamaa ya pesa, ama upuguani tu? Tumefikia huku kweli Watanzania?
Nchi inaweza kusonga tukiwa na kizazi cha jinsi hii kweli?
Nawaomba Watanzania wenzangu tusisapoti mambo ya kishetani kwani kuna mengi mazuri tunaweza kuyapata kupitia mitandao na si picha za watu wakiwa faragha.