watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

    CCM, tunawasaidia ili kuendelea kutawala hii nchi, na itabidi muanze kutulipa tunaosaidia na kuwapa mbinu za kuendelea kuaminiwa, bado mna watu makini. Tukianza kuifanya nchi yetu kuwa ya majaribio, ni kutudharau Watanzania, sio kila mtu aweza kuwa kiongozi, Mungu ametupa vipawa tofauti...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid Al Fitr Waislam wote

    Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid al Fitr Waislamu wote, na kuwakumbusha kuendeleza misingi waliyoiishi katika siku 30 za mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kutenda yaliyo mema, kuwajali wengine, sadaka shukrani na ibada kwa mwenyezi Mungu" . Kupitia Ukurasa wake wa...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania tumepewa uhuru kutokea vijiwe vya kahawa, hatuwezi kuwa sawa na walioupigania kutoka msituni

    Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na vijiwe vya kahawa eti ndo wapigania uhuru hao Wako wanaosema historia ya Tanzania imechakachuliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hongera Gerald Hando kwa kusimamia weledi kwenye kazi yako. Piga kazi watanzania tunakukubali

    NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO. Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy. King Mende @geraldhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na...
  5. JamiiForums Tanzania Bunge limetangaza nafasi 42 za kazi kwa Watanzania wasiozidi miaka 45

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi 42 katika taaluma mbalimbali kwa Watanzania wasiozidi umri wa miaka 45 kuanzia leo Ijumaa Aprili 21, 2023 na mwisho wa kutuma maombi ni Mei 4, 2023. Tangazo hilo la kazi limetolewa leo Ijumaa Aprili 21, 2023 likitoa nafasi kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kama 77% ya Watanzania ni vijana chini ya Umri wa miaka 35 shida kubwa ya umasikini wetu ni kuongozwa na wazee

    Kwanini wazee wenye umri mkubwa ndio wanatuongoza lakini si vijana ambao ndio wengi katika Taifa letu?
  7. JamiiForums Tanzania Moja ya ubunifu bora ambao watanzania tunatakiwa kujivunia ni michoro ya Tingatinga

    Hii ni kazi ya ubunifu ya watanzania wenyewe. Wajapan wakisema wana Anime sisi tunasema tuna Tingatinga. Animationa za ubongo kids wanatumia hii style. Itapendeza kuona watu wengi, hasa michoro ya vitabu, comics, katuni na animations wanatumia hii style.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yasema itawaondoa Watanzania waliopo Sudan kama itahitajika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax amesema imejiridhisha kuwa Watanzania 201 waliopo huko wapo salama ambapo kati yao 171 ni Wanafunzi na idadi nyingine ni raia na Maafisa wa Ubalozi. Dkt. Tax amesema Serikali imesikitishwa na kuzorota kwa hali ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ujinga wa Watanzania wengi wanajifanya Wasomi

    Sipo hapa kuponda binadamu mwenzangu kwa kuwa me najifunza na kuhoji ili nizidi kupata Maarifa, Elimu, inamapana yake kwahiyo hata kama uko na Elimu.. uko na Elimu kuhusu issue fulani ila sio kila kitu Duniani _Ndo maana mwenyezi Mungu kila mja wake kamfanya awe na kipaji chake au kalama yake...
  11. JamiiForums Tanzania Hatma ya Watanzania waliopo Sudan

    Kumetokea mapigano jijini Khartoum je Watanzania wenzetu waliopo huko wapo Salama? Au tutume ndege chap kwa haraka?
  12. JamiiForums Tanzania Spika Tulia anawalaghai Watanzania

    Spika Tulia anataka kuwaletea ahueni watu wanaotiliwa mashaka na CAG Kichere ndiyo maana anasema mjadala (wa ripoti ya CAG) ufanyike Novemba. Lakini kama CAG ameandika ile ripoti wale watu wanaweza kujojiwa na TAKUKURU, na DPP na kupelekwa mahakamani. Mambo yoyote yatayokuwepo katika ripoti ya...
  13. JamiiForums Tanzania Waarabu na Wahindi wanaweza kuwaheshimu Watanzania wa asili na kuacha kuwadharau na kuwaona kama watu wa daraja la mwisho?

    Hakuna haja ya kumung'unya maneno, vitendo vinaongea na tunashuhudia kwa macho yetu kwamba jjamii hizo hukaa mbali kabisa na watanzania wa asili ya makabila ya hapa kwetu, wao huwa karibu zaidi na watu wa kuweka greese kwenye mambo yao pekee hasa viongozi wa juu tu ambao nao wakishamaliza muda...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania, habari ya kuchunguzana kwanini tunakunywa bia kila siku haifai

    Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake. Hata kama hana kazi alishakuibia? Alishakuja kukuomba bia? Alishakuja kukuomba chakula? Balimi buku jero. Bia nne mtu analewa hoi!
  15. JamiiForums Tanzania Serikali: Januari 31, 2025 ni mwisho wa kutumia mkaa na kuni

    Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo. Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni. Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia. Pia soma...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba anasema Watanzania tukae tutulie Rais Samia anafanya kazi nzuri

    Mzee Yusuph Makamba amesema "Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki...niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu Watanzania ni kiongozi bora, anatosha. Wakae watulie sasa" Ameongeza kuwa "Muhimu tumwombee kwa kuwa ni...
  17. JamiiForums Tanzania Inaonekana Watanzania wazembe ila jueni yuko wa kuwatetea siku zote

    Wasalaam Ndg. Watanzania wenzangu. Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Yaani imesikitisha kuona jinsi ambavyo "Wabunge" wamekuwa kitu kimoja kufunika hilo kombe linalozidi kufurisha. Kwa mujibu wa Mpina ufisadi, Ubadhirifu na Rushwa vimeleta hasara ya trilioni 30 kwa miaka miwili...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, kuna uwezekano Watanzania ni wajinga kushadadia kutibu matokeo badala ya kushughulika na chanzo?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni jinsi Watanzania wanavyoishadadia Ripoti ya CAG ya mwaka huu kushangalia ufisadi, as sasa ndio kuna ufisadi saana, kumbe kwa miaka 10 mfululizo ripoti za CAG zinaonyesha ufisadi na tena...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kipi kinafanya Watanzania kutoaminika nchi za watu?

    Mo mp5 once again hope ni wazima Wana Jf. Sifa ya mtanzania ni ukarimu,ucheshi na upendo lakini imekuwa tofauti pale unapokuwa nchi za watu mtanzania ni mtu ambaye haaminiki kabisa hasa kwenye deals mbalimbali. Ukiona mtanzania yupo nje ana ishi vizuri ujue ana kipaji mchezaji...
  20. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Watanzania wenye asili ya Asia kwenye majeshi yetu kunasababishwa na nini?

    Hi? Nimekuwa nikijiuliza bila ya kupata majibu hivi hawa Watanzania wenzetu wenye asili ya Arabu na India mbona siwaoni jeshini sio Tanzania bara wala visiwani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…