watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kodi kubwa zinawanyima fursa Watanzania kumiliki Simu bora na za Kisasa

    Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inaotoza kwenye simu za mkononi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani. Viwango hivyo vinaelezwa kuwa juu kuliko mataifa mengi ya kusini mwa Jangwa la Sahara, Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika, Ulaya, Asia hata Amerika Kusini, hatua...
  2. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni wajinga wanastahili kuibiwa

    Hapa narejea nukuu ya Mwalimu Nyerere kwamba ujinga ni kipaji kama ufupi na urefu. Ni kama aina fulani ya unyumbu wa kurithi. Sijaona mashekhe wakiandamana kupinga ripoti ya CAG iliyosheheni ufisadi na ujambazi wa kutisha. Sijaona makongamano ya mapadri na watawa wenye vilemba wakikemea...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu tuachane na dini za kigeni tugeukie mizimu na matambiko yetu

    Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi! Kama miaka mia iliyopita walitufundisha kuoa mwanamke mmoja tu tena hakuna kuachana mpaka kifo kitutenganishe tuliwaelewa japo kishingo upande tukauweka pembeni urijali wetu wa kuoa wanawake...
  4. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Kocha Mecky Mexime Watanzania wengi wana Roho mbaya

    Kocha Mecky Mexime alipoulizwa kuhusu mchezaji wa taifa stars luhende alikuwa anatetemeka uwanjani Kama hana confidence hivi.👇 Jibu la kocha Mecky Mexime luhende ni mchezaji mkubwa ameshacheza mechi nyingi kubwa kwa kiwango kizuri na timu ya taifa ashaitumikia Sana sio mchezaji muoga na wote...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

    Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni...
  6. muokotamatunda

    JamiiForums Tanzania Sisi Watanzania ni wapole au waoga?

    Ndugu zangu, Ukiangalia nchi za wenzetu utaona jinsi watu wao ambavyo hawataki masihara. Jambo dogo tu wanaamka na kukomaa vibaya mno, lengo ni kutaka serikali ilifanyie kazi ama laa sauti zao zisikike. Hapa kwetu Tanzania aisee, watu wamepoa sana, je, ni upole uliopitiliza au uoga? Na madhara...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais, tunakuomba uvunje Baraza la Mawaziri limekuangusha na limetuangusha Watanzania

    Mheshimiwa Rais, ripoti ya jana uliyoipokea imebeba maudhi mengi sana dhidi ya serikali unayoiongoza na Taifa. Kama wasaidizi wako hawajakudokeza basi pokea taarifa kuwa upo ukaribu usio wa kawaida kati ya maafisa masuuli na wakuu wa sera yaani wizara ama mawaziri wako. Ukifuatilia kwa makini...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bunge na Watanzania kwa ujumla, tulichukua hatua gani kwa waliohusika na madudu katika Ripoti Ya CAG iliopita? Another political silly season!

    Binafsi sishangai haya yaliobainishwa katika Ripoti ya CAG ya 2021/2022, bali nawashangaa wanaoshangaa yaliyoibuliwa katika ripoti hii. Kama `Bunge lenye wajibu wa kuisimamia serikali halikuchukua hatua kuhakikisha waliousika na ubadhirifu na ufisadi katika ripoti iliyopita wanachakuliwa hatua...
  9. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za kusambaza mabango zinatoka wapi na yana faida gani kwa Watanzania?

    Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie. Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k, Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali? Je, yanafaida gani kwa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

    Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike. Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za...
  11. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hatupendi kujifunza. Mitandao, na hasa YouTube ni darasa Tosha

    Nambie YouTube ilikusaidia Nini na ukalitatua tatizo lako kupitia YouTube? Chuo walikuwa wananiita Mr IT sababu nilikuwa vizuri Sana kwenye kuchezea cm,pc nk maujanja yote niliyapata YouTube na nishapata Sana hela kwa ajiri ya kusolve matatizo ya cm,pc nk. Watanzania baadhi ya wengi tuko nyuma...
  12. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Polisi wa Tanzania kama Ulaya. Adai wanaweza kusubiri umalize kazi zako ndio wakukamate

    Mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anasema kuwa polisi wa Tanzania wanapitia kwenye mafunzo ya kufundishwa utu kwa wananchi hata wakitaka kuja kukukamata lazima waombe Kwanza na wakikuta upo na kazi watakusubiri mpaka umalize ndipo wakuchukue. Polisi wa Tanzania ni Kama wa ya Ulaya...
  13. toplemon

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuanzishe vuguvugu la kuhusu mabando. Hali ni mbaya, tunaibiwa sana

    Nadhani tuje na mkakati wa kudai kushushwa kwa gharama za mabando maana hali ni mbaya sana. Tunaibiwa sana na haya makampuni ya simu. Vifurushi vya data vipo juu sana hali sio nzuri hata kidogo. Tutaendelea kunyanyasika hivi hadi lini ndani ya nchi yetu wenyewe? Tuje na mkakati hali ni mbaya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hamna shukrani kwa walimu?

    Enyi Watanzania hadi lini mtadharau walimu? Walimu Hawa wanao fundisha watoto wenu Kila siku mnawaona kama maskini, roho yangu inauma sana. Hii dhambi ya baadhi ya wapumbavu na wajinga kudharau maisha na maslah ya walimu kuwa ni madogo ni laana kwa taifa hili.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Serikali ya Rais Samia ilivyoshindwa kuwatumikia Watanzania maandamano kama ya Kenya yalipaswa kuitishwa mara moja

    Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu. Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende. Watanzania wanatakiwa kujua...
  16. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wamekaa kiwiziwizi tu halafu cha ajabu wanashinda makanisani

    Watanzania wamekaa kiwizi wizi haijalishi ni mapasta, Madre, maaskofu au waamini. Ukitaka kujua Hilo mlemle kanisani dondosha elfu kumi halafu unifanye hujaiona nakwambia hata yule aliyekuwa ananena kwa lugha kwa Julia kabisa akiiona atachukua fasta na hakupi. Kila siku watu wanashinda...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna matatizo mengi zaidi ya kebehi kwa Hayati Magufuli, Wanasiasa wanaotumia kichaka hichi Tuwakatae hadharani

    Habari JF, Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema mtu ambae hayupo. Kibaya zaidi huyo mtu hawezi jibu hizo tuhuma na hawezi shitakiwa na hakuna hata...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanasema Rais Samia anaendelea kuvunja rekodi

    Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, Ustahimilivu, Mabadiliko pia Kujenga upya. Tumeona amezifanyia kazi nguzo zote nne na sasa yuko katika ujenzi wa Tanzania mpya. Rais Samia...
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

    Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili. Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu...
  20. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wanadiaspora wenzangu na Watanzania maisha ya majuu yana upweke sana. Tunaomba tutoe ushirikiano, mwenzetu ametutoka

    Mtanzania Vivian Larsen aliyekuwa akiishi Nchini Denmark ameripotiwa kukutwa akiwa amefariki nyumbani kwake Nchini humo akiwa peke yake nyumbani huku ikiwa haijulikani ni lini umauti umemkuta wakati mume wake yupo safarini kikazi. Juhudi za kuwasiliana na Polisi nchini kupata taarifa zaidi...
Back
Top Bottom