watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wanapikia kuni na mkaa kwasababu ya umasikini, sio kwamba hawana elimu ya mitungi ya gesi

    "Systemic problems requires systemic solutions" Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na matatizo yao. Sasa hawa vijana waliokulia kwenye majumba ya serikali huku familia zao zikilipiwa kila...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya kuchochea uzalendo na uwajibikaji miongoni mwa watanzania

    Uzalendo na uwajibikaji ni mambo ambayo yanapaswa kwenda sambamba kwani moja likilegalega, jingine huenda mrama. Ili kujenga uzalendo wa dhati na wa kudumu katika nchi hii, ni lazima uzalendo huo uanzie kwenye uongozi wa juu. Katika familia, baba na mama wanapaswa kuwa mfano bora kwa watoto wao...
  3. JamiiForums Tanzania Tutake tusitake siasa za nchi hii ni majitaka na za kiyawani! Katiba mpya ni lazima

    Siasa za nchi hii zimekuwa za kijinga sana aisee mbaya zaidi hata wananchi wenyewe wamekuwa kama mbwa koko hawawezi kuuma yaani wapowapo yaani hawana hili wala lile kila uchwao kulalamika tu bila action yoyote yaani wamekuwa wajinga tu yaani wao ni kulalamika tu! Huu ujinga wa kulalamika...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna uhitaji mkubwa wa kuongeza uelewa wa Watanzania kuhusu Usalama wa Kidigitali

    Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, inakabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa elimu ya usalama wa kidigitali miongoni mwa raia wake. Hali hii inamaanisha kuwa watu wengi nchini hawana uelewa wa kutosha juu ya jinsi ya kujilinda na kuhakikisha usalama wao katika ulimwengu wa kidigitali...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali: Watanzania 66 wameukana Uraia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni leo amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba hadi kufikia mwezi May, 2023 Watanzania 66 waliukana uraia wa Tanzania na kupewa uraia wa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kutoa ultimatum kwa watawala, bila Katiba Mpya ya wananchi hakuna uchaguzi

    Ifike wakati Watanzania tutoe amri kwa watawala kwamba kama hakuna katiba mpya, hakuna uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2024, wala uchaguzi mkuu mwaka 2025. Nchi hii ni ya Watanzania. Watanzania ndio wanaotakiwa kuwa na maamuzi ya namna gani wanataka nchi yao ifanye kila kitu. Katiba hii...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji zaidi kutoka China kuleta kuwanufaisha watanzania na uchumi wa Tanzania

    Mwishoni mwa mwezi Aprili mamlaka za Tanzania ziliualika ujumbe wa wafanyabiashara kutoka China kutoka mkoani Guangdong nchini China kwa lengo la kufahamisha fursa za uwekezaji nchini Tanzania, wakati Tanzania ikiendelea na utekelezaji wa ajenda ya maendeleo ya viwanda. Mamlaka hizo ziliualika...
  8. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania

    Teuzi za raisi samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Kassim mpingi Rufiji -pwani Duniani kote teuzi za kisiasa huwa na kazi kuu mbili, kazi ya kwanza ni shukran kwa kiongozi kwa waliomsaidia ushindi na kazi ya pili kudhibiti mamlaka ya...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

    UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za gesi asilia na madini katika bara la Afrika na duniani. Hili linathibitishwa na mifano mingi ya madini yenye thamani kubwa yanayopatikana katika mikoa mingi nchini, kama vile dhahabu, Tanzanite, almasi, chuma, nikeli, makaa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini Rushwa ni kikwazo cha Haki na inachangia kutokuwepo kwa Usawa

    Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na inaathiri maeneo mbalimbali, ikiwemo sekta ya umma, miundombinu, afya, elimu, na biashara. Hali ya rushwa nchini inaweza kuelezewa kama changamoto inayosababisha ukosefu wa uwazi, upendeleo, na matumizi mabaya ya rasilimali za umma. Rushwa inapunguza...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe serious misibani

    Nimekuja hapa msibani Mbeya Isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani Hivi ndio nini sasa hii
  12. JamiiForums Tanzania Licha ya kuwepo kwa madini ya kutosha, bado mwamko wa Watanzania kuijua JamiiForums ni mdogo

    Tangu nijiunge rasmi JamiiForums kiukweli sijawahi jutia, lakini bado watu wengi hawaijui. Yaani unaweza pita mtaani kati ya watu kumi utaowauliza ni mmoja tu ndo anayeijua, mwingine anakwambia "ndo nini hiyo". Mpaka sasa, hata posts tu hazifikii idadi ya watanzania maana posts zipo 43 million...
  13. JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo umewafumbua macho Watanzania. Mnatakiwa kugoma kwa uonevu wa CCM unaoendelea sasa

    Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa. Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo. Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
  14. JamiiForums Tanzania Inabidi itumike akili gani kuwaelezea watanzania kwamba vita ya Ukraine na Russia sio ya kuishabikia?

    Habari kwa wanajamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kwa watanzania wengi (nitasema wengi licha ya kwamba sijafanya utafiti ila naona kwa ninachokumbana nacho mtaani inawezekana wengi wana mawazo hayo hayo) wanaivalia njuga vita inayoendelea baina ya mataifa mawili ambayo kiasili...
  15. JamiiForums Tanzania India yatoa msamaha wa kulipa faini kwa Watanzania waliokwama kurudi nyumbani

    Balozi wa Tanzania Nchini India, Anisa Mbega ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu msamaha uliotolewa kwa Watanzania baada ya mazungumzo maalum yaliyofanyika pamoja na Serikali ya India kwa kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ya India. Balozi Mbega anasema “Ubalozi kwa kushirikiana na Mamlaka...
  16. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa viongozi wa umma: Watanzania ni waoga? Nani kakudanganya. Wape platform wakuonyeshe

    Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi. Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
  17. JamiiForums Tanzania Mpaka watanzania wanaamua kusoma albadiri kwa wezi serikalini tunaelekea wapi kama taifa

    Nimetafakari sana juu ya uamuzi wa wananchi wa Tanga kuandaa kisomo maalum kwa ajili ya viongozi na watendaji serikalini walioguswa kwenye ripoti ya CAG. Mbali na watu wa Tanga kuamua kufanya dua maalum kwa kina Mwigulu, Makame Mbarawa, Januari na wakubwa wengine waliotajwa na CAG. Pia yuko...
  18. JamiiForums Tanzania Utahira wa Watanzania

    Jamani hii tabia ya Watanzania na ufala unakuta mtu ana simu ya milioni mbili au anatembelea gari la mil 50 na saa ya milioni na designer suti ya million 5 na anatoka cafe kunywa kahawa ya elf 10 then anamsimamisha Muuza karanga anaomba ya mia 500 then analalamika kapunjwa???😡😡😡 kweli uyu dogo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Je watanzania tunahitaji nini? tunafikiria na kuwaza nini? nini hatma ya nchi yetu kama mali tunazo, ardhi tunayo, je ni lini tutaondoka na kero.

    Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana wafanyabiashara wa Kariakoo na nchi nzima, mmetuonesha njia Watanzania

    Watu wengi wana dhana potofu kuwa wafanyabiashara ni vilaza, wahuni, watu wasiojitambua, hawajui sheria wala kujieleza. Kinyume na dhana hii potofu wafanyabiashara mmeonesha weledi mkubwa (professionalism) kwa jinsi mlivyowasilisha na kudai ufumbuzi wa kero zenu mbele ya serikali. Mmekuwa wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…