Utahira wa Watanzania

Utahira wa Watanzania

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
562
Reaction score
1,148
Jamani hii tabia ya Watanzania na ufala unakuta mtu ana simu ya milioni mbili au anatembelea gari la mil 50 na saa ya milioni na designer suti ya million 5 na anatoka cafe kunywa kahawa ya elf 10 then anamsimamisha Muuza karanga anaomba ya mia 500 then analalamika kapunjwa???😔😔😔 kweli uyu dogo anayezunguka na jua kali when wewe na luxury zako zote unataka akuongezee kweli??? Iyo iPhone yako ya mamilioni uliomba upunguziwe au coffee yako ya elf 10??? Tunapoteza hela kwa Ujinga ili tuonekane Km watu fulani when actual poor people need our help Yaani hawa Ndo watu wa kuwapa hata buku tano and keep change. But hii hii mijitu itafika sokoni kwa wamama masikini bado nimepunjwa au chipsi za mtaani kapunjwa when kwa Kalito Samaki Samaki 20k and vichipsi Km kisosa tu and they live in apartments za 500k to 1m per month. Mnatia sana hasira.
 
Back
Top Bottom