watano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nitajie actors watano ambao lazima ushawishike kutazama filamu aliyoigiza

    1: Matthew McConaughey 2: Denzel Washington: 3: Christian Bale: 4: Jim Carrey: 5: Tom Cruise:
  2. Mwanajeshi wa Iran aingiwa na mzuka na kuua wenzake watano, eneo lililoshambuliwa na bomu

    Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka...... An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed in a bombing attack earlier this month, Iranian state TV reports. State TV says the shooting...
  3. Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

    2016 hadi 2020 ni kipindi ambacho watu wengi sana walikuwa wahanga wa kuziamini habari za kumchafua Mwamba, hasa hapa kwetu Tz ilikuwa rahisi sana kuwa brainwash wabongo, hata humu JF 98% walikuwa brainwashed kumchukia Trump, ni wachache sana tuliusoma mchezo. Trump ndie raissi mpenda amani...
  4. Kuna watu wanampinga Mwamposa wakati nabii wao alikabwa mapangoni na wengine wanaabudu sanamu la bikira mwenye watoto watano

    Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini. Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma. Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka...
  5. Kipindupindu chaua Watano Kahama 452 Wawekwa Karantini

    UGONJWA wa Kipindupindu umetajwa kuibuka katika Kata ya Kagongwa, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga huku ikielezwa kuwa watu watano wametajwa kufariki dunia na wengine watano kuthibitika kuwa na maradhi hayo. Wakati hali ikiwa hivyo, wakazi 452 wa eneo hilo wamewekwa chini ya uangalizi wa...
  6. Meli za kivita za Marekani zaingia kwenye 18 za Hizbullah, Askari watano waangamia

    Sayyed Hassan Nasrala katika hotuba yake wiki iliyopita aliionya Marekani kutokana na uungaji wake mkono maafa kwa wapalestina akiiambia kuwa tayari wana kitu mkononi kwa meli zake za kivita zilizotia nanga karibu na nchi hiyo. Kitu hicho kizito inaaminika ni aina ya makombora mazito ya...
  7. Tetesi: Wachezaji watano wa Simba wasimamishwa kupisha uchunguzi kwa kichapo kikali cha goli 5 kutoka kwa Yanga

    Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili. Wachezaji hao wanatuhumiwa kuihujumu timu kitendo kilichopelekea kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao. Maamuzi hayo...
  8. M

    Makomandoo wa HAMAS waangamiza wanajeshi wengine watano wa Kizayuni kaskazini magharibi mwa Ghaza

    Nov 05, 2023 06:50 UTC Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa Gaza na kukiri duru za Kizayuni kwamba Tel Aviv imenaswa katika mtego wa wanamapambano wa Palestina...
  9. Mbeya: Walimu Wakuu Watano wasimamishwa kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewasimamisha kazi watumishi nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiwepo walimu wakuu watano, wahandisi wawili na ofisa manunuzi na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi. Homera amefikia uamuzi huo jana...
  10. J

    Maadui wa Tanzania wafikia watano

    Habari za leo wana JF! Zamani Mwalimu Nyerere atuambia maadui wa kweli wa Nchi hii walikuwa watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini. Lakini miaka 60 baada ya uhuru maadui wameongezeka badala ya kupungua. Kutoka maadui watatu hadi maadui watano. Bahati mbaya zaidi wajinga wa sasa ni wale...
  11. Utafiti: Katika Wanaume watano, mmoja ana Shinikizo la Juu la Damu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya Figo. Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimishwa kwa mbio...
  12. Songwe: Ajali ya Malori 2, Bajaji na Bodaboda yaua Watu 5 Momba

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea katika eneo la Mpakani Wilaya ya Momba mkoani Songwe. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu leo Jumatano Juni 5, 2023; Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Theopista Mallya amethibitisha kutokea ajali hiyo...
  13. R

    Naiona Tanzania Mpya yenye Maendeleo na Uchumi imara siku wanasiasa hawa watatu wakistaafu/wakiacha kujishughulisha na maamuzi ya kisiasa nchini

    1. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete 2. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 3. Mzee Yusuph Makamba Sina mengi sana, kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo.
  14. S

    Robertinho: Nunueni wachezaji watano tu wanatosha

    Kocha mkuu wa Simba, Robertinho amewataka mabosi wa klabu hiyo kusajili wachezaji watano muhimu ambao ni mshambuliaji, kiungo mkabaji, beki wa kati, winga na beki wa pembeni mmoja ili waweze kutoboa kwenye michuano mbalimbali inayowakabili msimu ujao.
  15. Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

    Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu. Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati. Sijafanikiwa bado kuwa uchumi wa juu wa juu. Ila si haba mambo mengi kwa kweli nayaweza. Tena nayaweza...
  16. Majeruhi watano ajali ya bajaji na IST wafariki dunia

    Majeruhi watano kati ya sita wa ajali iliyohusisha bodaboda, bajaji na gari dogo aina ya IST wamefariki dunia leo wakati wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa. Majeruhi hao walipata ajali jana Aprili 25, 2023 katika eneo la TRM, Kihesa Kilolo, Manispaa ya Iringa...
  17. Marekani: Mtu mwenye silaha awaua watano kwa risasi benki

    Aliyehusika kuanzisha shambulizi la risasi ni Connor Sturgeon (25) aliyekuwa mfanyakazi wa Benki husika ambaye siku chache zilizopita alijulishwa kuwa atafukuzwa kazi. Mtuhumiwa ambaye naye alifariki kwa kupigwa risasi na Askari, alikuwa akitumia Bunduki aina ya AR-15-style alitumia Instagram...
  18. Julio: Kwa Simba hii ya sasa kuna wachezaji watano tu wanaoweza kuisaidia timu

    Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amedai kuwa kikosi cha Simba cha sasa kina wachezaji watano tu ambao wanaweza kuisaidia timu ndiyo maana hakuna matokeo mazuri. “Wachezaji wa sasa ambao wanaweza kuisaidia Simba hawazidi watano tu, jiulize ile Vipers iliyocheza na Simba kuna timu pale? Wale...
  19. Ajali nyingine yaua watano Kilimanjaro, wanne wajeruhiwa

    Watu watano wamefariki dunia papo hapo baada ya lori lililobeba katoni za maji ya kunywa kufeli mfumo wa breki katika eneo la mteremko barabara ya Mwika-Himo na kuigonga kwa nyuma gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah lililokuwa likitokea Rombo kwenda Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro. Ajali hiyo...
  20. R

    Wanasiasa watano ambao waliipenda siasa ikawanufaisha lakini ikawadhalilisha kuwaondolea utu wao hapa nchini kwa miaka ya karibuni hawa hapa

    1. Job Ndugai; alipata madaraka makubwa na katika maeneo yote aliyowahi kuongoza hakuna eneo alifanikiwa kupewa sifa Bali siasa ilimfedgeesha. Kwa SASA amezeeka lakini uzee wake umeambatana na fedhea kubwa Sana yakuondolewa uspika kabla ya kumaliza muda wake. Mdomo uleule uliompa nafasi ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…