Makomandoo wa HAMAS waangamiza wanajeshi wengine watano wa Kizayuni kaskazini magharibi mwa Ghaza

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936

Nov 05, 2023 06:50 UTC

  • 1699171649475.png
Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa Gaza na kukiri duru za Kizayuni kwamba Tel Aviv imenaswa katika mtego wa wanamapambano wa Palestina.
Shirika la Habari la Mehr limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, mashambulio ya anga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia katika Ukanda wa Ghaza yanaendelea huku mizinga ya jeshi la utawala huo ikiteketeza kwa moto maeneo tofauti ya eneo hilo.
Shirika hilo limezinukuu Kataib za al Qassam, Tawili la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zikisema kuwa zimefanikiwa kuangamiza wanajeshi watano wa utawala wa Kizayuni huko kaskazini magharibi mwa mji wa Ghaza. Taarifa ya al Qassam imesema: Wanajeshi watano wa adui wameangamizwa katika mtego waliokuwa wamekewa na wanamapambano wetu kwenye nyumba moja na wengine kadhaa wamejeruhiwa. Tumewashambulia vikali kwa maroketi, wanajeshi Wazayuni.
 
Wazayuni wapigwe mawe
 
Katika habari yote nimevutiwa na picha ya makomandoo.Mikwara ya mavazi na kuficha sura zao ndiyo wanaweza ukija kwenye vitendo makomandoo wanaomba 'Ceasefire'
 
Shalom shalom
Magaidi wa Israel wamepasuliwa

Palestinian forces have eliminated 4 Israeli army officers, confirmed by IDF

Includes:
  • Major Yehuda Natan Cohen, a commander in the Givati Brigade's reconnaissance unit
  • Master Sgt. Lior Arazi
  • Staff Sgt. Gilad Nehemya Nitzan
  • Staff Sgt. Yonadav Raz Levenstein
    IMG_20231105_152045.jpg
    IMG_20231105_152039.jpg
 
Nov 05, 2023 06:50 UTC

Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa Gaza na kukiri duru za Kizayuni kwamba Tel Aviv imenaswa katika mtego wa wanamapambano wa Palestina.
Shirika la Habari la Mehr limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, mashambulio ya anga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia katika Ukanda wa Ghaza yanaendelea huku mizinga ya jeshi la utawala huo ikiteketeza kwa moto maeneo tofauti ya eneo hilo.
Shirika hilo limezinukuu Kataib za al Qassam, Tawili la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zikisema kuwa zimefanikiwa kuangamiza wanajeshi watano wa utawala wa Kizayuni huko kaskazini magharibi mwa mji wa Ghaza. Taarifa ya al Qassam imesema: Wanajeshi watano wa adui wameangamizwa katika mtego waliokuwa wamekewa na wanamapambano wetu kwenye nyumba moja na wengine kadhaa wamejeruhiwa. Tumewashambulia vikali kwa maroketi, wanajeshi Wazayuni.
Nonsense. Mpaka Sasa watu 9700 tayari wamewahi mabikra 72 na mito ya ulevi huko peponi.
 
Tutolee hapa habari za Pastoday hapa, Hamas wana makomandoo wapi wakati wote wako shimoni kama panya

Hamas wangekuwa na makomandoo wasiingie chini ya ardhi kujiokoa ustaadh malaria ok😁😁😁😁😁😁😁😁
 
kufa jeshini ni kitu cha kawaida, cha muhimu ni kwamba at the end of the day Israel itashinda vita na Hamas watauawa wote.
 
Nov 05, 2023 06:50 UTC

Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa Gaza na kukiri duru za Kizayuni kwamba Tel Aviv imenaswa katika mtego wa wanamapambano wa Palestina.
Shirika la Habari la Mehr limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, mashambulio ya anga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia katika Ukanda wa Ghaza yanaendelea huku mizinga ya jeshi la utawala huo ikiteketeza kwa moto maeneo tofauti ya eneo hilo.
Shirika hilo limezinukuu Kataib za al Qassam, Tawili la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zikisema kuwa zimefanikiwa kuangamiza wanajeshi watano wa utawala wa Kizayuni huko kaskazini magharibi mwa mji wa Ghaza. Taarifa ya al Qassam imesema: Wanajeshi watano wa adui wameangamizwa katika mtego waliokuwa wamekewa na wanamapambano wetu kwenye nyumba moja na wengine kadhaa wamejeruhiwa. Tumewashambulia vikali kwa maroketi, wanajeshi Wazayuni.

Hilo shirika ni la nchi gani?
 
Back
Top Bottom