Kuna taarifa kwamba hivi sasa kupata boti ya Zanzibar imekua shida.
Watanganyika wengi inasemekana wamekimbilia kwa ndugu zao na wengine mahoteli ili kukimbia December 9.
Zanzibar inasemekana imekua kimbilio kubwa kwa watu wa upande wa pili
Quran
“Je, mnadhani kuwa mtaachwa bila kujaribiwa?…”...
Nimejaribu kuisikiliza hotuba ya Rais zaidi ya mara 10, binafsi nasema ni hotuba inayoamsha hisia ngumu kiasi cha kuionea wivu aina yoyote ya siraha .
Yule Maza anapaswa kukutana na mkono usiyovaa gata gloves
Eti wazazi mlishindwaje kuwakataza watoto wenu
Yaani anaamini vipi na wale...
Kila.mmoja analikia TANGANYIKA maana wanajua huyu atarudi kwao na kuiacha TANGANYIKA maiti!
Ukiwaacha MAUBWABWA wachache ambao wako driven na dini, all the rest of TANGANYIKANS are bent to Tanganyika REVIVAL
Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za Tanganyika.
Ukiangalia namna alivyoteua Wazanzibari kushika sehemu nyeti za Tanganyika ikiwemo Wizara...
Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida,
Sawa mauaji ni mauaji lakini huwezi halalisha mauaji kwa mauaji mengine na kutaka tuone kuwa kuuana ni jambo la kawaida.
Napata...
Wale wa ICC
Kazi imeshaisha.
Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.
Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa.
Tukamalize kazi ICC...
Pale Kamsisi kama sijakosea ukiwa unatokea Tabora au Mpanda karibu na mzani Kuna Beria pale.
Jana tulisimamishwa akaingia askari uhamiaji mwenye asili ya kihutu completely yaani huulizi mara2
Etii kaanza kunihoji kuhusu vitambulisho nilimuambia Sina kitambulisho hata kimoja nimesahau...
Kwetu Kuna Mzee mmoja ambaye huwa anafuatwa na Jeshi wa( JWTZ) hasa wakiwa wanaenda kwenye nchi mbalimbali Kwa ajili ya kulinda amani ya nchi husika.
Asilimia 100% ya wanaopita Kwa huyu Mzee huwa wanakuja kutoa ushuhuda na ahsante za kutosha
Tukutane 09.12.2025
Ni jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika.
Hili limekaaje wadau?
NYONGEZA.
Hapa karibuni, Msukuma ameliongelea hili.
CCM imedoroa.
Hakuna mtu aliyetarajia hivi. Mwaka 2021 tulipompokea Samuya tulidhani tumepata Mama , aliyeahidi kufungua nafasi ya kisiasa. Leo, miaka minne tu baadaye, vijana wetu wengi wamepotezwa hawaonekani tena.Video za mochwari za Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na Mbeya ndo zinazidi kutia simanzi kubwa...
Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa.
Jambo la pili...
Ndio kuna nchi kazi zao ni kutumia fursa wapo kama magonjwa nyemelezi wao hawajali maisha ya watu.
Kwa sakata linaloendelea nyakati hizi baada ya ndugu zetu kumiminiwa Risasi na makatili tarehe 29/10/2025 ili kuwalinda watawala makatili wanywa damu kuna hatari vikwazo vikatembea vizuri tu...
Uzi huu hauna lengo la kuhamisha machafuko..
Ila ni wazi Serikali tiifu wameishiwa mpango kazi. Nimekuwa Arusha kwa karibu siku nane mpaka sasa, na hakuna siku imepita bila mtu kutekwa na wanaojiita wanausalama.
Wito wangu kwa waTanganyika wenzangu " hatuna mtu wakutulinda zaidi yetu sisi...
Nimewakusudia watanganyika wanaotumia mitandao ya kijamii.
Wakati wapestina wanapigania haki zao na ardhi yao dhidi ya WaIsrael, Watanganyika walikua wakibeza na wakiona Palestina ni haki yao kufanyiwa vile.
Leo watanganyika tumeonjwa tu, nasema tumeonjwa kilichotokea siku 1 , 2 au 3...
Kwa taarifa yako hakuna Propaganda mtakayotuuzia Watanganyika safari hii na kufanikiwa kuturubuni.
KIla Mtanzania anajua Watanganyika waliouliwa waliuliwa kwa amri na maelekezo ya muuaji Samia na Wakuu wake wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Kila Mtanganyika ameona Samia ameingiza vikosi kutoka...
Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu.
Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi.
CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
secretarybird huwa najifeel mzalendo nikikumbuka kuwa Mimi ni mtanganyika.
Nikijitambulisha kama mtanzania ni kama kuna kitu napungukiwa, ndiyo maana sijawahi kuipenda Taifa stars.
Jamaa zetu wa ng'ambo wanajiita wazenji halafu sisi tunakazania kuwa watanzania.
Muungano huu ni wa kipuuzi sana...
Baba Kibu Denis kafariki wakatoa pole, kuchangusha watoto wao wakiwa wagonjwa wanaanda mechi za hisani ila watanganyika walio kufa kimya kimetawala, eti tujaze viwanja shut up wanao jaza viwanja wamo makaburini wamerundikwa ka mizoga, Kuna watu wanaamini dunia ni yao time will tell.
Here we go...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.