watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanapenda majungu na udaku. CCM wanetoa notice wao wamefurahi wakidanganyana mambo ambayo hayako kabisa

    Maelfu ya wajumbe walimpitisha Samia na maisha yakaendelea. Kangedere kamoja ambako hakana impact yoyote kwa chama kametoa press jana sijui juzi Leo CCM wametoa notice watanganyika kwakuwa wana utindio mdogo wa ubongo wanazusha mambo ya hovyo. Mimi si mpenzi wa CCM lakini uzushi na majungu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naturally, mbwa hutikisa mkia na siyo mkia kumtikisa mbwa. Kulikoni kwenye kaya yetu?

    Mkia wenyewe wala siyo wa asilia, lkn unaonekana kuyatikisa majibwa. Kila mwanafamilia asilia wa kaya hii anajiuliza, kwann mkia huu bandia unatikisa majibwa kiasi hiki? Majibwa haya yatavumilia mtikisiko huu? Mkia huu bandia umekuwa ukitikisa hata majibwa makubwa ambayo yaliaminiwa hapa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tulishasema kwamba Tanganyika aikumwaga damu kupata uhuru wake, ila hiyo sio sababu kwamba watanganyika hawawezi kuipigania nchi Yao. Kiko wapi Sasa!!

    Kiko wapi Sasa!!? Mama, mama, sasa anavuliwa nguo mchana kweupe!? Ajabu badala ya kutulia (kuchutama) ili aone anajistiri vipi yeye atatoka mbio kumkimbiza aliemkwapulia nguo. (Namaanisha Sasa taarabu inaandaliwa kuja kumpasha mkimbizi wa nguo) Sasa ataendelea kutoa mipasho au kuua watanganyika...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wamerogwa. Polepole leo hii wanamuona shujaa. Anatetea tumbo lake

    Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli. Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha. Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!! Hiki ni kituko sana. Sisemi kuwa...
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanganyika wote wapenda haki: Tum - support Tundu Lissu na CHADEMA kwa kujitoa sadaka/dhabihu kwa ajili ya wokovu/ukombozi wa sisi sote

    Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ameamua kujitoa mwenyewe sadaka/dhabihu ya mateso kwa ajili ya ukombozi na wokovu wa Watanganyika wote Angekuwa ni mtu anayefanya haya kwa faida binafsi (personal benefits) ili apate vitu vya dunia hii kama fedha, vyeo, majumba, ardhi nk vitokanavyo na dhuluma...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama Watanganyika na Wazanzibari hawataki muungano, muungano ni wa nani?

    https://www.youtube.com/watch?v=_6uZjtRfs40 Kuna video nyingi zinazunguka mtandaaoni ambapo Wazanzibari wanasema hawataki muungano na wanataka nchi yao. Wanahoji zilipo hati za muungano. Je, kati ya watanganyika na wazanzibari, nani ananufaika na huu muungano unaonza kuwa mgongano? Je...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila dhuluma dhidi ya watanganyika inasimamiwa na watawala wageni?

    Tanganyika na Zanzibar zilungana nusu, na kutengeneza Tanzania. Ni muungano nusu kwa sababu Zanzibar iligoma kuingia kwenye muungano kamili, iliendelea kuwa na Serikali yake, na inajitambulisha kama ni nchi, na tena yenye mipaka yake. Hoja muhimu hapa, ni kwa nini kila dhuluma kubwa dhidi ya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wamejipanga dhidi ya watanganyika, cha kusikitisha watanganyika wenzetu wamekuwa wasaliti dhidi ya watanganyika wenzao

    Kwa Mfumo wa CCM ulivyo na unavyo endeshwa, ni dhahiri kabisa wanaweza kukubali hata ikija ajenda ya nchi kuuzwa na kila kitu kuuzwa na wana CCM wa Tanganyika Wakashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere. Na nilicho gundua CCM yenyewe humilikiwa na kundi dogo sana lenye maslahi lakini hawa...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

    Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi. Kwa kweli Watanzania wa Facebook wamempelekea moto vibaya sana. Moto huo umemfanya hadi kafunga comment section kwenye post kama hiyo IG. Hongereni...
  12. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Watanganyika kuweni makini na waarabu jifunzeni kwa sudan inavyoangamiah

    Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka wa pili huu watu wanakaribia milion waliokufa kutokana na vita inazidi hata vifo vya Gaza Unajua chanzo? Chanzo kilianzia kwa rais wao bashir aliuza raslimali zote kwa waarabu kwa hiyo uchumi wa sudan Ukawa unashikiliwa na waarabu na...
  13. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Kama ni kurogwa Watanganyika wamerogwa na mchawi kafariki katuachia msala huu

    Wakuu habari zenu hapa. Nimekaa na kuwaza na kuangalia mambo yote ya kisiasa yanayo tendeka nchini, nimejikuta napatwa na hasira zinazokaba kabisa kwa maana hili taifa letu hususani Tanganyika watu wake sijui walilishwa nini..? 1. Inasikitisha na kusononesha unaposikiliza kauli za mkuu wa...
  14. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Wito :Neno Tanganyika na Watanganyika litumike zaidi ili kuonesha kutokubaliana na Yale yanayoendelea nchini mwetu,

    Katika nyakati hizi ngumu, sauti zetu hazipaswi kuzimwa na woga wala hofu. Wale waliochoshwa na ukandamizaji, mauaji na utekaji unaoendelea nchini mwetu, ni wakati wa kusimama na kusema hapana. Hatutakubali kuona ndugu zetu wakipotea bila sababu, haki kupotoshwa, na sauti za wanyonge kufifia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wakenya wameamua kuikomboa Tanganyika ilokaliwa kwa mabavu na Zanzibar huku Watanganyika wenyewe wakishangaa tu

    Watu wazito sana wameingia Tanganyika kutokea Kenya Sitaki kuamini kuwa hawakuwa na barakaza ikulu ya Nairobi serikali ya Kenya inajua yote kuhusiana na wana harakati wake kuanzisha harakati ya kuipinga serikali ya maguvu ya CCM Katika mambo yalioitisha sana serikali ni hili jambo Wanajua...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kujiuzulu - Watanganyika hawapo tayari kumuona Mzanzibar akiwa Rais wa Tanzania

    Ni bora akajiuzulu na kuwakabidhi nchi yao ikiwa ipo salama kabla hawajachomana mikuki. Ni habari za mjini kutokana na hali ya Tanzania inavyoelekea nnavyoona hataki kubeba lawama huenda akaikabidhi Serikali kwa vyombo vya Jeshi hadi uchaguzi kuendesha uchaguzi na kupata Raisi Mpya. Na kila...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa yanakumbusha (1995–2005) kilishuhudia baadhi ya matukio ya kutisha ya kisiasa

    Kama mnakumbuka Kipindi cha utawala wa Rais Benjamin Mkapa (1995–2005) kilishuhudia baadhi ya matukio ya kutisha ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, ikiwemo Zanzibar. Mojawapo ya matukio yaliyotia doa historia ya kisiasa ya Zanzibar ni yale yaliyotokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2000...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watanganyika: Haki na amani ni muhimu katika maisha ya binadamu, lakini Haki inapaswa kuwa kipaumbele cha kwanza

    Katika dunia ya leo, suala la haki na amani lina umuhimu mkubwa katika maisha ya binadamu. Haki na amani ni misingi miwili muhimu ambayo inapaswa kutekelezwa kwa usawa ili kuhakikisha maendeleo endelevu na furaha ya jamii. Lakini, ni ipi kati ya haki na amani inapaswa kuwekwa mbele katika mfumo...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Watanganyika mnadharauliwa sana na vyombo vya dola hamjijui tu , kiongozi aliye wakusanya kwa mamia anakamtwa mbele yenu?

    Hii ni dharau kubwa sana kwa watanganyika maana walio jaa hapo ni watanganyika na wala sio wakenya wala wakongo ,na wana haki sawa kabisa kama wale wanao andamana na T-Shirt za SAMIA kila siku mabarabara mara wakiwa na Jokate, mara wakiwa na Nchimbi Wana haki sawa kabisa maana nao ni hawa...
Back
Top Bottom