watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je,Wajua ?Kuna Watanganyika wenzetu ambao risasi hazingii kwenye miili yao na Kuna wengine kwenye Tafrani hawaonekani

    Kwetu Kuna Mzee mmoja ambaye huwa anafuatwa na Jeshi wa( JWTZ) hasa wakiwa wanaenda kwenye nchi mbalimbali Kwa ajili ya kulinda amani ya nchi husika. Asilimia 100% ya wanaopita Kwa huyu Mzee huwa wanakuja kutoa ushuhuda na ahsante za kutosha Tukutane 09.12.2025
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpaka sasa, Jakaya Mrisho Kikwete hajalaani mauaji ya WaTanganyika!

    Ni jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika. Hili limekaaje wadau? NYONGEZA. Hapa karibuni, Msukuma ameliongelea hili. CCM imedoroa.
  3. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Damu za watanganyika Haziwezi kumwagwa bure hivi: Je, Samuya Atakwenda The Hague?

    Hakuna mtu aliyetarajia hivi. Mwaka 2021 tulipompokea Samuya tulidhani tumepata Mama , aliyeahidi kufungua nafasi ya kisiasa. Leo, miaka minne tu baadaye, vijana wetu wengi wamepotezwa hawaonekani tena.Video za mochwari za Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na Mbeya ndo zinazidi kutia simanzi kubwa...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  5. Life2

    JamiiForums Tanzania Tuzikatae nchi zote watakaojifanya wapo na Watanganyika baada vya Vikwazo

    Ndio kuna nchi kazi zao ni kutumia fursa wapo kama magonjwa nyemelezi wao hawajali maisha ya watu. Kwa sakata linaloendelea nyakati hizi baada ya ndugu zetu kumiminiwa Risasi na makatili tarehe 29/10/2025 ili kuwalinda watawala makatili wanywa damu kuna hatari vikwazo vikatembea vizuri tu...
  6. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka wa kujihami kwa silaha yoyote kila wakati

    Uzi huu hauna lengo la kuhamisha machafuko.. Ila ni wazi Serikali tiifu wameishiwa mpango kazi. Nimekuwa Arusha kwa karibu siku nane mpaka sasa, na hakuna siku imepita bila mtu kutekwa na wanaojiita wanausalama. Wito wangu kwa waTanganyika wenzangu " hatuna mtu wakutulinda zaidi yetu sisi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tumejifunza nini?

    Nimewakusudia watanganyika wanaotumia mitandao ya kijamii. Wakati wapestina wanapigania haki zao na ardhi yao dhidi ya WaIsrael, Watanganyika walikua wakibeza na wakiona Palestina ni haki yao kufanyiwa vile. Leo watanganyika tumeonjwa tu, nasema tumeonjwa kilichotokea siku 1 , 2 au 3...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Former Pm - Majaliwa K. Majaliwa (Watanganyika tutakukumbuka)

    Kwa hii Press aliyofanya huyu aliyekupokea kijiti. Hakika wananchi watanganyika TUTAKUKUMBUKA. MUNGU akupe Maisha marefu Mzee wangu. Chao.
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ukome kabisa kutufanya Watanganyika Wapumbavu

    Kwa taarifa yako hakuna Propaganda mtakayotuuzia Watanganyika safari hii na kufanikiwa kuturubuni. KIla Mtanzania anajua Watanganyika waliouliwa waliuliwa kwa amri na maelekezo ya muuaji Samia na Wakuu wake wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Kila Mtanganyika ameona Samia ameingiza vikosi kutoka...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea Watanganyika linatimia kwa kasi sana mwaka huu

    Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu. Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi. CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
  11. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Tuwe na jadi ya kujitambulisha kama watanganyika popote tulipo kama wale jamaa zetu wanavyojiita Wazanzibari

    secretarybird huwa najifeel mzalendo nikikumbuka kuwa Mimi ni mtanganyika. Nikijitambulisha kama mtanzania ni kama kuna kitu napungukiwa, ndiyo maana sijawahi kuipenda Taifa stars. Jamaa zetu wa ng'ambo wanajiita wazenji halafu sisi tunakazania kuwa watanzania. Muungano huu ni wa kipuuzi sana...
  12. Alex khalifa

    JamiiForums Tanzania Watanganyika maelfu wamekufa Simba na Yanga hawajatoa pole, eeh Mungu tukumbushe sisi niwapitaji tu hakuna mfalme wa milele isipo kua wewe baba

    Baba Kibu Denis kafariki wakatoa pole, kuchangusha watoto wao wakiwa wagonjwa wanaanda mechi za hisani ila watanganyika walio kufa kimya kimetawala, eti tujaze viwanja shut up wanao jaza viwanja wamo makaburini wamerundikwa ka mizoga, Kuna watu wanaamini dunia ni yao time will tell. Here we go...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanganyika msipojikomboa sasa, basi tena

    Hapa sizungumzii mambo ya chama, nazungumzia icon muhimu ya Tanganyika ambayo Nyerere aliitupa baharini. Kuna baraka watu wanashindwa kuzipata kwakuwa Mungu akituma anakuta hakuna adrees ya kueleweka hivyo zinakuwa suspended. Kusubiri CNN au BBC wakukomboe ni mstumizi mabaya ya akili. 2015...
  14. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mapendekeko: Namna sahihi ya kuwasherekhea mashujaa wote waliopeteza maisha Mo29

    Wakati tukiwa njiani kuindea D9 , nivyema tukawakumbuka mashujaa wote walioanguka kwa ajili ya Tanganyika kuanzia Siku ya 29.10.2025 nakuendelea. Binafsi nitapenda machache yafuatayo yafanyike kuwaenzi wenzetu na sisi wengine tulioko njiani kuwafuata huko waliko kuanzia Siku ya D9 nakuendelea...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Watanganyika i.e vyombo vya usalàma vyote, vyote, mnaomlinda Mzanzibari anauza Tanganyika , jitafakari upya. Kwa nia njema tu kuweka mizania sawa.

    Tujitafakari sana wote, wote Watanganyika kwa nia njema tu na si kwa uhasama au mawazo hasi bali kuwekà mizania sawa
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  17. MLIMAWANYOKA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka tena mikoani kuwashukuru wananchi kwa ushindi mzito?

    Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza jambo moja: Ni lini kiongozi mkuu wa nchi atarejea mikoani kuwashukuru...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwani lazima utawale? Wahurumie watanganyika, kweli 9.12.2025 wafe kwa wingi kama last time?

    Yangu ni hayo. Ndio ujumbe wangu kwako. Yasitokee tena. Mimi nakipenda, naipenda Tanganyika, spare life!
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena nakubaliana na watanganyika wengi kuwa hatuna Jeshi la Wananchi

    Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29. Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo? Tulijenga...
Back
Top Bottom