wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kina shida gani hiki kidole wataalamu na tutibu vipi?

    Hili tatizo linazidi kukua, ilianza kama. Mstari hivi pembeni linakula kucha ya mtoto.
  2. JamiiForums Tanzania Wataalamu mlobobea na dawa za binadamu nisaidieni kuelewa hii relaxation effect iliopo kwenye dawa za 'Action'

    Hello bosses and roses..... Kuna muda nilikua napata sana maumivu ya kichwa ila hospitali hawakunipa majibu yoyote ya kunisaidia. Hii ikafanya nitafute dawa tu ambayo itakua inanituliza maumivu ya kichwa yakianza. Nilijaribu panadol ikafeli, dawa tatu ikafeli. Nikaja kujaribu hizi 'Action'...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa Sheria hivi compensation for injury of reputation Kwa hii issue ya Membe vs Musiba imekaaje ?

    Habari JF, Kwa wanasheria Kwa kuangalia hili la Kuondoka kwa Membe. Hivi Mimi kama nimechafuliwa nikafungua kesi nikashinda ikabidi nilipwe fidia .lakini Kwa Bahati mbaya nikafariki Je, ile fidia nayo inakufa?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasikitika kuwapoteza kwa mpigo wataalamu wake sita wabobezi wa vilipuzi/mabomu

    Kimbunga cha dhahama cha makombora ya Russia kilichopita Kherson kimewakumba na kuwaangamiza wataalamu sita wa jeshi la Ukraine ambao walikuwa ni magwiji na wabobezi wa kutegemewa katika fani ya vilipuzi (mabomu). Jeshi la Ukraine linasikitika kwa kuondokewa na wabobezi hao kwani pengo lao...
  5. JamiiForums Tanzania Madaktari na wataalamu wa chakula, kwanini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  6. JamiiForums Tanzania Madaktari na wataalamu wa chakula, kwa nini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Sheria, naombeni mnisaidie

    Ikitokea mtu kakamatwa kipindi A ambapo Sheria inasema hivi halafu pakatokea mabadiliko ya Sheria ambapo labda kwa Sheria za kipindi A angekutwa na hatia na kuhukumiwa lakini hukumu ilichelewa na kuja kutolewa kwenye kipindi cha mabadiliko ya sheria. Je, utaratibu upi utatumika kumhukumu?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mvua hizi ambazo zinanyesha kwa kuchelewa, zinafaa kupanda? TMA tusaidieni kama zitaendelea na kuwezesha kuvuna

    Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka TMA, Je, mkulima anaweza kupanda. Ushauri please
  9. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wataalam wachache kwenye Huduma za CT-Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ni changamoto

    Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao. Wananchi hao wamesema mara kadhaa wanapofika hospitalini hapo wagonjwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kupata matibabu huku...
  10. JamiiForums Tanzania Ifike pahala ujenzi wa majengo uwe unahakikiwa na wataalam wa serikali

    Hili ni kanisa lililoporomoka juzi kutokana na mvua kubwa iliyokuwa na upepo mkali. Iwapo wangekuwa wanasali siku hiyo kungetokea maafa.
  11. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ramani, makadirio na ujenzi (experts of buildings design, estimation & construction)

    Je; 1. Umejenga mfumo wa kizamani ila unataka kuubadili kuwa wa kisasa na wa kuvutia zaidi? (Mfano; Nyumba ya chini kuwa ghorofa, Nyumba za paa za kuonekana kuwa za kujificha) 2. Unataka kukarabati Jengo la zamani na kuifanya kuwa kama mpya? 3. Ulijengewa vibaya na unahitaji kurekebishiwa...
  12. JamiiForums Tanzania TCCIA: Wataalamu nchini kuibeba Sekta ya Kilimo

    Na. Mwandishi Wetu. Wataalam sekta ya kilimo kama wataendelea kuwatembelea wakulima na kutoa elimu kwa wakulima watasaidia kuiinua Sekta ya kilimo Nchini. Akizungumzia juu ya teknolojia katika sekta ya kilimo nchini Mkurugenzi Mtendendaji wa Chama cha Wafanya Biashara Wenye viwanda na Kilimo...
  13. JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba ufafanuzi kwenye hili tukio

    Salaamu wana Jf baada ya kuonana na madaktari katika zahanati mbili tofauti za serikali yalinipata yafuatayo: Kwa ufupi niliingia zahanati ya kwanza saa moja asubuhi hadi saa nane mchana hapo nikaingia kwa daktari kwa masikitiko makubwa zahanati ya jimbo nikaandikiwa kipimo cha mkojo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wataalam, kwanini mnadhani kila kitu kinabadilika na kuwa ghali? Ni kuupiga tafu uchumi unaokufa?

    Ni kama mambo yamebadirika sana na hakuna anayewaza juu ya mizigo hii mizito kwa wananchi Tulianza na umeme, Tsh 27,000 hadi 300,000+ Nafaka kutoka bei ya kila mtu anunue akale na kwa Milo yote mitatu, na sasa ni wachache sana wanaokula Milo mitatu kama siyo viongozi tu na wenye nafasi hapo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kubeti niprn odds

    Nipen odds wajomba nataka win leo
  16. JamiiForums Tanzania Asilimia 90% ya wataalamu wetu wanajua kusoma na kuandika ila hawana Maarifa

    Quran... inasema tafuteni elimu hata kama iko mbali Nchini china.(chukua mawazo ya china. Na bible inasema (Watu wangu wanang"amia kwa kukosa maarifa . @projkishimba
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini tunahitaji kuajiri wataalamu wa uhifadhi wa jamii, ili kuinusuru mifuko ya hifadhi ya jamii kufa?

    - Kifupi Bachelor of science in social protection ( Shahada ya Sayansi katika Uhifadhi Wa Jamii ): ni course inayo tolewa na Vyuo viwili Tanzania ECASSA institute of social protection Wakitoa elimu hii ngazi ya Astashahada na stashahada, na INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT wakitoa elimu hii ngazi...
  18. JamiiForums Tanzania Wataalamu niliowahi kuwasikia Tanzania

    Uchumi: Marehemu Dr Mgimwa huyu ndio mchumi pekee ambae alikuwa very analytical kwa mazingira yetu on how to apply theories to fit our environment and propel growth. Bahati mbaya hiyo speech yake iliyonigusa siioni tena YouTube. Banking: Dr Kimei amebobea kwenye finance (you do know banks sell...
  19. JamiiForums Tanzania Je, mtu anaofuta usajili, records zinabaki kuwa laini ilitumika na mtu fulani?

    Yaani mfano… Mtu akisajili laini then akaamu KUFUTA usajili. Je, records zinabaki kwamba hii laini ilitumika na mtu fulani kusajiliwa au?
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Imani na maadili

    Naamini ukikatazwa dhambi fulani, consequently utakatazwa kushiriki matunda ya dhambi hiyo. Mfano kama wizi ni dhambi, kushiriki manufaa ya mali ya wizi ni dhambi pia. Sasa swali ni: Kama kunywa pombe ni dhambi, kwa nini uenjoy benefits zake, kama udhamini, miradi inayotokana kodi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…