wasiojulikana

  1. P

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Mbowe kuwa na kesi ya kujibu ni fursa ya kujua zaidi wasiojulikana wanafanyaje kazi

    Binafsi naona kitendo cha mahakama kuamua kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu Kwanza ni maumivu makubwa ya kisaikolojia na kimwili Kwa wahusika Kwa kukosa Uhuru na kushindwa kuendesha maisha Yao walivyozoea, lakini upande wa pili ni fursa Kwa Wana wa nchi hii kujua ni jinsi gani Siri Kali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana Mikononi mwa Dkt. Christopher na Kilawa

    Wakuu .. Tukubaliane tu bila kupepesa macho. Ukweli mchungu hii Miamba miwili Dr@Christopher Cylilo na Kaka mkubwa kilawa Shindo wameishi maisha ya sekeseke Sana kipindi Cha Awamu ya 5. Huwa kila nikikumbuka Hawa jamaa walivyopambana na wasiojulikana wanaojulikana huwa nacheka Sana...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kesi za mauaji na kupotea kwa watu vimeshamiri. Serikali chukueni hatua

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa taarifa za habari utagundua kwamba kati ya December 2021 na January 2022 kunaongezeko kubwa sana la mauwaji linaendelea hapa nchini na serikali iko kimya kabisa kama vile haijui. Mauwaji yamekithiri sana kila kona ya nchi. Kuna keshi ya watu kutekwa na kunyofolewa...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mauaji yazidi kutikisa nchini; Maiti tatu za wanawake zaokotwa kando ya mto jijini Mwanza

    Hii imekuwa too much maana kila siku ni mauaji kwenda mbele. Maiti za wanawake watatu zimeokotwa huko Mwanza. Maiti za wanawake watatu zaokotwa kando ya mto. ----- Wanawake watatu wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 18 hadi 30 wameuawa na watu wasiojulikana na miili yao kukutwa pembezoni...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe nae ahojiwe na polisi ili genge la wasiojulikana lijulikane, waliompiga Lissu risasi na waliompoteza Ben watajulikana.

    Kama kuna raia mwema alimtonya Zitto juu ya kuchoma shamba lake na nyumba yake kuwa ulikuwa mpango wa lile kundi la wasiojulikana basi sasa ndio kipindi muafaka cha kuwaumbua hawa watu Zitto naye ahojiwe kama Askofu Mwingira ili aweke mambo hadharani maana tuhuma.zao zinafanana kabisa. Huu...
  6. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

    Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa ===== WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE HUMPHREY POLEPOLE, Watu...
  7. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Australia: Sheria itakayoiwajibisha mitandao ya kijamii kwa watumiaji wasiojulikana kutungwa

    Serikali ya Australia imepanga kutunga sheria itakayolazimu mitandao ya kijamii kuonesha utambulisho wa watumiaji wasiotumia majina halisi watakaochapisha maudhui yenye kuudhi, au kulazimu mitandao hiyo kulipa faini kama fidia kwa madhara yatakayotokana na maudhui hayo ikiwa watashindwa kutoa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea nchini bado tunajiuliza wasiojulikana ni akina nani?

    Ukiona binadamu wanavyoshuhudia mahakamani kwa kuandika stori zisizo na muunganiko huitaji kuuliza wasiojuikana ni wakina Nani, nadhani ikiwa mtu anaweza kuja adharani akasimama nakusema ulifanya hivi na hukufanya basi mtu huyo ana chuki na ana roho ya kukua. Wapo watu wanarithi laana za wazazi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania CCM jitengeni na kundi la Wasiojulikana

    Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania. Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tumefikaje huku kwenye kuuwana, kutekana, kutesana, kupotezana, kubambikiziana kesi na yote yenye ukakasi huu? Ilikuwaje kina Sabaya wakatambulika kama vijana wazalendo...
  10. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Kupitia hii kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA wasiojulikana ndio wanajulikana hivyo?

    Kupitia hii kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake 3, ninajifunza mengi sana. Sasa kumbe waliokua wabishi na wasiovumilia mateso haya waliyoyatoa kina Goodluck kuna watu walikua wanadanja na kutupwa? Kwanini wasiojulikana tusiseme kua ni hawa wa kina Goodluck? Hii kesi ni Mungu...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana, wanajulikana ila ndiyo tumebaki kuwatazama tu

    katika kesi inayoendeleea kuhusu shutuma ya ugaidi na mengine, kila siku tunazidi kufahamu mambo mengi na zaidi! kesi hii imetusaidia kujua : Muongoza wa polisi PGO : Wasiojulikana : Ubambikaji wa kesi : Ubabe unaofanywa na tawala au watu tawala : Mapungufu ya utawala na kuzima wanaharakati...
  12. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wamepotelea wapi?

    Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bora tozo kuliko Kutekana na wasiojulikana

    Wakuu Kwema!!! Tutozane. Tukamuane, Tuzinguane, Tuchapane, Tuchanane, Lakini tusiuane. Kwa kweli Mimi Taikon naona ni mara elfu Tozo kuliko Kutekana, kuuana, kupotezana Kwa kisingizio cha Uzalendo, sijui maendeleo, sijui vitu gani. Nchi sasa inaenda Sawa Sawa, mambo yamenyooka. Mapungufu...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Sabaya kwa kufunua ukweli, pengine wasiojulikana watajulikana

    Kwa kifupi Sabaya amefunua ukweli ambao wengi tusingeweza kuufahamu kirahisi. Kwanza ni ujasiri mkubwa kuwataja viongozi wakubwa kwenye kesi ambayo inaonyesha Kuna uhalifu, Kukiri kwamba alitumwa na mamlaka ya uteuzi ni dhahiri kwamba kuna uwezekano kwamba nayo ilihusika. Wengi tunafamu...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kuanza kuwafichua wale waliojulikana kama ‘Watu wasiojulikana’

    Habari za siku nyingi wana jamvi. Naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Baada ya kufariki kwa John Magufuli ambaye serikali yake 'haikuwa' na uwezo wa kuwatambua na kuwashughulikia watu wasiojulikana ambao walitesa na kuua watu wetu wengi, sasa ni wakati muafaka wa kuwaumbua na kuwajua wale...
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiboko ya wasiojulikana, toka ameingia wanaharakati wanapata usingizi

    Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka. Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata ni kifo au kupotea ila toka huyu mama aingie angalau tunapata na usingizi na amani hata ukiwa...
  17. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mmoja afariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa amelala na wenzake kuchomwa moto na wasiojulikana

    Mkazi wa Umwerani, Kata ya Kongowe, Kibaha Mkoani Pwani Mrisho Omary amefariki baada ya nyumba ya udongo iliyoezekwa kwa nyasi kuchomwa moto na Watu wasiojulikana akiwa amelala na wenzake ndani. Watu wengine waliokuwa kwenye nyumba hiyo siku ya tukio May 15,201 ni Mwalimu Ally Shaban na...
  18. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wowote kati ya kutoweka kwa "wasiojulikana" na kuibuka kwa "majambazi" nchini?

    Ni mwaka jana tu hapa tulikuwa tukihabarishwa mara kadhaa kuwa baadhi ya wananchi (hususani wanaharakati na wanasiasa) walikuwa "wakitwaliwa" na watu "wasiojulikana". Hili iko well documented na sidhani kuna haja ya kupoteza muda kulirudia hapa. Kuanzia mwezi jana kumekuwepo na wimbi la...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Siyo kwamba nampenda Rais Samia, bali nafurahi hofu ya watu wasiojulikana imeondoka

    Ilifika mahali hata kuongea siasa unaangalia kushoto na kulia ndiyo uongee,tena na unayemuamini. Ilifika mahali ukiongea halafu ukataja neno Tundu Lissu badi kama pana mfanyakazi wa serikalini unaona amaondoka kimyakimya. Simu zinarahisisha biashara lakini ilifika mahali mtu hapendi muongee...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan tusaidie kutengua kitendawili cha wasiojulikana

    Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana. Hadi hii leo ninapotoa ombi langu hili kwako, watekelezaji wa vitendo hivyo vya kutisha hawajaweza kubainika ni akina nani zaidi ya wasiojulikana. Katika hiyo...
Back
Top Bottom