Wasichana na Kizazi hiki wamekuwa hatari sana

Granted Faith

Member
Jul 4, 2021
57
292
Wasichana wa siku hizi hawana future yeyote kwenye Maisha zaidi ya Kuwaza good life kupitia kudanga Dahhh inasikitisha Ongezeko la wasichana kudanga limeshamiri kwa kasi sana

Wameona kudanga ndio deal Wasichana wa kuanzia Age ya 18-28 iseeee wamechachuka kwenye kudanga yaani ni balaaa baada ya Miaka mitatu Naona ongezeko kubwaa sana la Ukimwi (HIV) kwa Wasichana wa kuanzia 18-28

Wadada punguzeni tamaa ya Maisha Mazuri ya slope
 
Wasichana wa siku hizi hawana future yeyote kwenye Maisha zaidi ya Kuwaza good life kupitia
Jana nimepaki sinza inasikitisha sana vitoto vya udsm

Taifa letu limepotea kabisa vitoto vinaingizwa kwenye magari na kuchezewa inauma kama una mtoto wa kike kama nilivyo Mimi

Natakiwa kupambana sana mtoto wangu elimu ya juu akasome hata ulaya uko bora wazungu wanajua kufanya ngono salama.

Mungu atunusuru
 
Back
Top Bottom