Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii
Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
MAISHA YA WASANII NJE YA SANAA
Unaweza kusema sanaa bila ubunifu ni sawa sifuri, maisha ya usanii yanahitaji bunifu zenye athari chanya kwa jamii kwa lengo la kuendelea kukuza majina na kazi zao kwa ujumla.
Katika kutafuta athari hizo hupelekea baadhi ya wasanii kujitengenezea utofauti katika...
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi
Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi .
Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote.
Beatrice Mwaipaja -uzinzi ndo umekufikisha hapo na sio huyo shetani wala mapepo .
Kupata kibali cha...
Please Moderator msiunganishe huu uzi maana mtakuwa mmefeli big time.
First of all naipongeza serikali Kwa kufikiria wazo la kuwasaidia wasanii kuhusu kutibiwa magonjwa ya moyo
Hili wazo sio baya Ila napendekeza mjaribu kuliboresha kwa kuhakikisha wasanii wote ambao wanajihusisha na sanaa...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao.
Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa...
Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.
Kama ilivyo watanzania...
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.
Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.
Diamond is so genius
Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny.
Vurugu zilianza baada ya muda wa Diamond Platinumz kupanda stejini kufika ambapo Msanii wa Kenya...
Mwimbaji hodari kutoka nchini Kenya Bien-Aime Baraza amesema, Wasanii wa Tanzania wangeweka nguvu na bidii kwenye muziki wa Singeli kama ambavyo waliweka bidii kwenye Amapiano, basi muziki wa Tanzania ungekuwa umeenda mbali sana. Bien alienda mbali zaidi na kusema, hata kushinda Tuzo ya Grammy...
Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia.
Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024:
1. Marioo
2. Diamond Platnumz
3. Harmonize
4. Alikiba
5. Zuchu
Orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi nchini Tanzania mwaka 2024
1. Hakuna Matata- Marioo
2. Mapoz - Diamond Patnumz ft Mr Blue...
Wakuu,
Kama mnavyojua kuwa tuko mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 na hivi karibuni mtandao wa kusikilizia muziki ambao una makao makuu yake huko USA, umetoa orodha ya wasanii kutoka Tanzania waliofanya vizuri zaidi.
Kwenye list yao, Spotify wametoa orodha ya wasanii, album na ngoma zilizofanya...
Kukaa uchi au nusu utupu katika tasnia ya burudani umekuwa suala la kawaida, hasa miongoni mwa wasanii wa muziki na filamu. Mara nyingi, tunaona picha na video zao wakiwa uchi au wamevaa nguo chache. Je, ni kwa nini wanafanya hivi? Ni nini kinachowasukuma kuchukua hatua kama hizo?
1...
1.... D voice
Huyu alisainiwa ktk lebo ya wcb na diamond kwa mkwala mkubwa sana ikiwemo kualikwa viongozi, wanasiasa n.k, lakini nyota yake ni kama imefunikwa na mawingu, hana tofauti na wasanii wengine underground walio nje ya wcb.
2....Lava Lava
Huyu alihit sana mwaka 2017 baada ya kujoin...
Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi.
Malengo siku moja, sisi wanachama...
Nikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa!
Katika uimbaji kuna kitu kinaitwa "bridges" wasanii wengi huwa hawakizingatii kabisa, hata wewe...
Ukisikiliza nyimbo za kihaya na Design yake ya uchezaji, vikitumika vizuri tunapeleka Bongofleva kwenye Grammy.
Grammy wanapenda vitu asilia, na sio vya ku-copy. Ukisikiliza hii nyimbo ya Mwanamama "Sauda Haulat - Dereva Babili" ni nyimbo iliyotoka miaka ya 2000 mwanzoni lakini ingefanyiwa...
Devid Junior, Mchunguzi na Mwanasheria wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, amewataka wasanii kuwa makini katika kipindi cha uchaguzi na kampeni za kisiasa, akisema kuwa wao ni kioo cha jamii. Ameongeza kuwa wasanii wanapaswa kujiepusha na rushwa na kudumisha maadili bora wakati wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.