Mimi ni mpenzi mkubwq wa wasani wa kiafrika hasa watanzania.
Ila kunakitu kinanikwanza sana ninapo angaria movie au video za miziki ya Tanzania. Unakuta mtu anaubo zuri na mwonekano wa kiafrika lakini ukiangaria ngozi yake unashindwa kujuwa kama ni mwarabu, mzungu ,mhindi au mchina au mwafrika.
Yaani ngozi yake haingii kokote kwasababu ya mkorongo. Wafrika ,hasa watanzania badilikeni . Acheni kupaka mkorogo, kama unasura mbaya kupaka mkorogo hakuta Saudia, kutakuharibu zaidi.
Watu hawatajari sura yako kama kinacho toka ndani yako ni kizuri. Mtu anaweza kuwa mzuri sana kwenye rangi yake ya asiri.
Kuna watu weusi kama wasudani lakini ni waziri kuliko wazungu mara Mia tano. Nimeangaria movei ya penzi la mtoto wa boss karibu waingizaji wote ukitowa wazee na kijana wa kiume wawili wengine wote , ni mikorogo mitupu.
Mnabowa sana wote mnao jichubuwa.