wasanii

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wasanii wetu na mtihani wa Imani!

    Nilifuatilia mjadala wa Harmonize kuombewa na Pastor Tony, na kabla ya hapo kwenda kanisani na Kajala. Pia huyu anayeitwa Niffer naona na yeye yupo kwenye dini mseto! Kote kote yupo! Nashawishika kuamini hii inatoka na kazi yao kutaka kuwaridhisha mashabiki wao ambao wapo pande zote za Imani...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwa sasa kuna Wimbi Kubwa sana la Vifo vya ghafla ghafla vya Wasanii wa Maigizo nchini Tanzania?

    Je, ni.... 1. Ahadi ya Mola 2. Kafara la Kundi 3. Dally Kimoko Virus 4. Kurogana / Kupigana Vipapai 5. Kupenana Sumu kutokana na Umaarufu wa ghafla wa Mtu
  3. Ileje

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Kamala Harris kutumia wasanii wakubwa wote wa Marekani bado ameangukia pua!

    Hili ni funzo kwa CCM kuwa pamoja na kuwarubuni wasanii wote kuwa machawa kipigo kipo pale pale! Mara festival ya mama, mara marathon ya mama, mara madaktari wa mama nk nk! Wananchi wamemchoka na hawamtaki!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wasanii 17 Bora wa Kiafrika wenye Wasikilizaji Wengi wa Kila Mwezi kwenye Spotify

    Makala haya yanaorodhesha wasanii wa Kiafrika kulingana na wasikilizaji wa kila mwezi wa Spotify (Monthly Spotify Listeners. Kama vile ungedhani, Afrobeats inatawala. Pata full list hapa. In March 2021, Spotify expanded into the African market, making their streaming platform accessible to...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa kiongozi wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Selemani Kissoki afariki, azikwa Dar

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam. Akizungumzia taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Shiwata, Michael Kagondela alisema hadi jana jioni, marehemu alikuwa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Wasanii wa Bonge fleva hawajitokezi kwenye misiba

    Naona hoja ya Steve ni ya kweli, ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajitokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva. Lakini watambue hii ni tasnia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatakiwa kususia kazi za hawa wasanii kwa kusapoti kampeni za chama tawala

    Hata kama ni Marekani lazima CHADEMA ionyeshe kuwa haina double standard kwa kuamua kususia kazi zao. Kumekuwa na matamko kadhaa za kutaka tususie kazi za wasanii wa Tanzania wanaoisapoti CCM kwa hiyo umefika muda sahihi wa chama cha Mbowe kutoa wito kwa wafuasi wake kususia kazi za wasanii...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wasanii wetu wengi bado hawajui kufanya Biashara na makampuni

    Kuna vitu wanavyo wasomi, halafu wao wanakwenda kuwapa wasanii ama watu maarufu ambao si wasomi, mwisho wa siku wanakuja kupiga pesa. Tatizo la wasanii wa Kibongo? Wanaajiri wasomi lakini hawa wasomi wanakuwa na tamaa ya pesa, wanachokitaka ni msanii kuingiza pesa, wagawane na kisha wachukue...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kauli za kawaida za matajiri bongo huwa zina uzito mkubwa sana?

    Yani bongo Tajiri akiongea mahali au akitoa ushauri wake hata kama maneno yake ni ya kawaida sana tu anaonekana kama mwanafilosofia au mwanauzoni hivi, Mfano mwingine tangu yule tajiri wa timu fulani anayesemekana hajui kuzungumza aje na msemo wa "Yanga bingwa" sasa kila mtu mjini ni Yanga...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhida: Wasanii wasio na skendo wapewe "Pasipoti za Huduma" kuwarahisishia safari zao Kimataifa

    Wadau huko Bungeni kuna mapendekezo ya Wasanii wapewe Service Passports Mbunge wa Viti Maalum, Tauhida Nyimbo amependekeza Wasanii wa Tanzania ambao hawana skendo na wanaiwakilisha nchini kimataifa wapewe "Pasipoti za Huduma", ambayo hupatiwa Mkuu wa Mkoa, Msajili wa Mahakama ya Rufaa au...
  13. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Majina ya wasanii wa bongo yasiyo na mvuto

    Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji. Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri. Kutengeneza jina zuri ni sawa na kutengeneza brand name ya kampuni au "logo". Nitatoa mifano: 1. Majina...
  14. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

    Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika. Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta, Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024. Kawawekea matozo ya kila...
  15. appoh

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii wa Kiume wasio na Watoto

    1.Jb jerusalem 2.jux 3.piere liquid 4.omy dimpoz 5. Ongezea unaiwaju jamii isiwe gandamiz kumsema wema sepetu na wengine iwe fair
  16. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Walituambia Umeme wa maji umepitwa na wakati, huku wao wanajenga na kupanua mabwawa yao. Wazungu wasanii sana

    Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme. Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi zao. Kama umeme wa maji umepitwa na wakati, kwa nini wao wanajenga mabwawa ya umeme zama hizi
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wasanii walia na tozo wanazotoa ku-shoot kwenye vivutio vya taifa

    Wasanii hao ni pamoja na Producer Hanscana,Mbosso na Lava Lava
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wasanii kazini

    Wizi umekuwa mkubwa na wazi kasi Kwamba chama sasa kinanunuka. Tuhuma na matukio ni kila mahali. Chama kimeachwa uchi wa mbuzi Sasa kujinasua kwenye hili tope wameamua kujisafisha kwa kuwangushia jumba bovu wengine… Wakiamua kujibu mapigo…
  19. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kipaumbele cha Viongozi ni kuwapeleka wasanii kwenye majimbo Yao?

    Napenda kusema hiki kizazi cha Sasa kinazaraulika sana,yaani wananchi badala ya kuwezeshwa au kuonyeshwa maendeleo wamekuwa wakipelekewa wasanii,hivi hii inaingia akilini kweli?
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Je, hiki kinachompata Nay wa Mitego ndiyo sababu ya kuwa na Wasanii wengi Tanzania wanaojinasibu kuwa ni CCM?

    Huenda kinachompata Nay wa Mitego ndio sababu inayowaogopesha wasanii na kuamua kutangaza wao ni CCM kwani ukiwa CCM uko salama dhidi ya mkono hakuna baya litakupata. Ila tumeoma wasanii waliokataa kuvaa kijani namna wanapelekeshwa na mkono wa dola, leo BASATA wamewaita kesho BASATA...
Back
Top Bottom