R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,761 Reaction score 100,818 Dec 20, 2025 #1 Wasanii siyo Oxygen. We can do without thém! After all, by 99.9% are a product of classroom failure! They are Iron Boys to entertain the State! as documented by Plato in The Theory of a State Muwe na siku NJEMA!
Wasanii siyo Oxygen. We can do without thém! After all, by 99.9% are a product of classroom failure! They are Iron Boys to entertain the State! as documented by Plato in The Theory of a State Muwe na siku NJEMA!
Von Bismarck JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 4,690 Reaction score 11,139 Dec 20, 2025 #2 Mbona mnatumia nguvu nyingi sana? Eleweni kitu nature! Asili ikikupenda au ikikukataa nguvu ya mwanadamu haiwezi kushinda. Tuiache nature ichukue nafasi yake. Nature haihitaji kushawishi mtu apendwe au achukiwe. Mziki ni maisha tangu kale.
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana? Eleweni kitu nature! Asili ikikupenda au ikikukataa nguvu ya mwanadamu haiwezi kushinda. Tuiache nature ichukue nafasi yake. Nature haihitaji kushawishi mtu apendwe au achukiwe. Mziki ni maisha tangu kale.
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,128 Reaction score 8,053 Dec 20, 2025 #3 Naunga hoja
Juuchini JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 1,966 Reaction score 2,826 Dec 20, 2025 #4 Hawa wasanii kina nani? Wengine wao ni watu walioshindwa darasani. Wasanii ni chambo ya watawala.
G.Man JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 1,200 Reaction score 2,498 Dec 20, 2025 #5 Hii nayo ni Promo tu kama nyingine. Kwani focus ya mapambano ya haki ipo wapi? Naona kama una lenga target isiyo sahihi
Hii nayo ni Promo tu kama nyingine. Kwani focus ya mapambano ya haki ipo wapi? Naona kama una lenga target isiyo sahihi
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,294 Reaction score 83,131 Dec 20, 2025 #6 Music is therapy Siwezi kuacha kusikiliza nyimbo nzuri . Mimi ni MTU huru sifatitishi trend inasemaje ya nchi Kama ilivyokuwa 29/10 watu mlihamasishana kuandamana Ila I never play that game . So hata usijisumbue kwa hilo mkuu
Music is therapy Siwezi kuacha kusikiliza nyimbo nzuri . Mimi ni MTU huru sifatitishi trend inasemaje ya nchi Kama ilivyokuwa 29/10 watu mlihamasishana kuandamana Ila I never play that game . So hata usijisumbue kwa hilo mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,467 Reaction score 193,436 Dec 22, 2025 #7 Muda huongea... Cc: Mahondaw
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,447 Reaction score 11,315 Dec 22, 2025 #8 Juuchini said: Hawa wasanii kina nani? Wengine wao ni watu walioshindwa darasani. Wasanii ni chambo ya watawala. Click to expand... Wewe uliefanikiwa darasani sio winga kweli saizi,🤣🤣🤣🤣?
Juuchini said: Hawa wasanii kina nani? Wengine wao ni watu walioshindwa darasani. Wasanii ni chambo ya watawala. Click to expand... Wewe uliefanikiwa darasani sio winga kweli saizi,🤣🤣🤣🤣?