wasanii

  1. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania The power of AI, sasa unaweza kuwa unapata ngoma mpya kabisa za wasanii wako waliokwishakufa

    Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo Technology iko kasi. AFadhali tuendelee kufaidi ngoma mpya
  2. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa kipindi kile walikuwa ni kioo cha jamii kweli kweli

    Mhadhara - 40: Wakati ule tulikuwa tuna idadi kubwa ya wasanii waliopeleka ujumbe mzuri kwa jamii na serikali. Hakika walikuwa ni kioo cha jamii kweli kweli. Hawakupata hela lakini walituachia kitu maishani. Hebu tuwakumbuke baadhi; 1. AFANDE SELE - aliimba NAPENDA NDUGU ZANGU: Alituhamasisha...
  3. Lino brother

    JamiiForums Tanzania Nini kikwazo cha wasanii Filamu Tanzania kutokwenda kimataifa?

    Wanafanya tamthilia na Filamu tunaziona ila tunaweza kuchangia mawazo yetu nini kikwazo kinachotukwamisha toa mchango wako ukiwa mdau wa Filamu Tanzania 🙏🏾
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za wasanii wa Kibongo za baada ya wapenzi kuachana zimejaa maneno makali ya jazba tofauti na za wazungu

    Soma mashairi ya wimbo SITAKI DEMU wa Juma Nature na ule wa Doing just fine wa Boyz II Men uone tofauti. Title: Sitaki demu Artist: Juma Nature (Verse 1) Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala Aaah bwana eh usinifate bwana We si ukalale...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wasanii watumike kampeni Uchaguzi Serikali za mitaa

    Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
  6. Brojust

    JamiiForums Tanzania Wasanii wote na watu maarufu (influencers) jiungeni JamiiForums kwa majina yenu halisi au majina ya Biashara zenu

    Shalom watu wa Mungu. Baada ya kutambua kwamba JamiiForums ni jukwaa kubwa sana la lugha ya kiswahili afrika na dunia nzima. Ninawahasa wasanii wote na watu maarufu wajiunge humu ili kupata maarifa mengi sana kutoka kwa wadau mbali mbali, So far ninazinjua account chache sana za viongozi na...
  7. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu 76% ya waigizaji na wanamuziki wa Bongo hawajafika Darasa la 7

    Wasalaam, Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinafichwa sana kwenye maisha ya wasanii wa bongo unachoamini kwa asilimia 100 kipo?

    Kwa mtazamo wangu hivi ni vitu navyoamini vinawekwa siri lakini vipo. Kala Pina alikuwa anamgwaya Dudu baya Mr Nice hakufulia kabisa, Bado pesa anazo si haba za kustaafia muziki Nusu ya wasanii wanavuta weed Wasanii wengi wa bongo wanaishi kwa pesa za mishe nyingine, ni wachache sana...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wasanii punguzeni uchawa na kiherehere, ya Zuchu huko Mbeya yatawakuta sana

    Jana Zuchi alirushiwa chupa na mawe jukwaani baada ya kusifia kizimkazi na kusema mitano tena Wasanii jifunze ulienda jukwaani Simba achana na siasa Kila mtu ana hisia tofauti kwenye siasa, ntakuja mpigwe na raia bure Wasanii tafuteni washauri PIA SOMA - Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa...
  10. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

    Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia. Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha. Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani. Kwanza mji...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilileta nyuzi nyingi kuhusu wasanii wa kiume na hereni, kusuka pamoja na vipini puani hamkunielewa. Sasa P Didy kaja kuwafumbua macho

    Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo vyote ibilisi anavyo. Ukimsujudia (kukubali amri zake) anakupa pesa nyingi na umaarufu anakupa. Hawa...
  12. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wasanii wa Bongo Fleva: Sikuhizi mnaimba vitu gani?

    📖Mhadhara wa 21: Wakati watanzania wenye akili timamu wanajiuliza hili swali; Tupate wapi njia za kuwanasua watoto wetu kwenye wimbi baya la ubakaji, ushoga, usagaji, na ulawiti? - lakini wanaibuka watu ambao tunawaamini ni kioo cha jamii (wasanii wa bongo fleva) wanakwenda studio kurekodi...
  13. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Wasanii 15 kutoka nje walikuja bongo kufanya show

    WANYAMWEZI 15 WALIODONDOKA NCHINI KUUPA TAFU MUZIKI WETU. Hawa hapa wasanii wa nje waliowahi kuja nchini ni kubwa mno, lakini leo tunapenda tuangalie japo wasanii mashuhuri tu kutoka nchini Marekani, waliowahi kuja nchini na kufanya shoo kabambe katika majukwaa yetu, hivyo kwa namna moja au...
  14. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Support ya media kwa wasanii wa hip hop jijini Mwanza

    MOVEMENT YA HIP HOP KUPITIA MEDIA ZA MWANZA. Mwanza kupitia Radio Free Africa na Kiss FM walifanya mapinduzi makubwa sana kwenye kuiendeleza Hip hop na hii waliifanya makusudi ili kutoa ile dhana kwamba ukiwa Dar ndio utatoka kimuziki. Kwenye harakati hizi za kuhakikisha Hip hop inafika mbali...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakazi awatolea uvivu Wasanii adai hawajitambui, wanataka kuwa kama Diamond

    Rapa Wakazi ametoa kauli kali akiwakosoa wasanii kwa kutojitambua na kutojihusisha na masuala muhimu ya kijamii. Katika andiko lake, alisisitiza kuwa wasanii wengi wamepoteza dira yao ya kuwa kioo cha jamii na badala yake wanataka kuwa matajiri wakifuatilia mafanikio ya msanii maarufu Diamond...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego: Asilimia kubwa ya wasanii ni wa Serikali. Tuache uoga wa kukemea mambo ya kikatili na kutegemea Wasanii kupaza sauti

    Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Nay Wa Mitego amesema hajawahi kuwa katika Chama cha Siasa lakini amechagua upande wa kuwasemea Wananchi ambao ni Mashabiki wake. Nay amesema hayo wakati akijibu baadhi ya maoni ya wananchi kuhusu ukimya wa Wasanii wa Tanzania pale yanapotokea matukio...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wasanii wetu tumieni mitandao na umaarufu wenu kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea

    Nchi yetu Ina maajabu mengi sana ,nilitegemea kuona tweet na posti nyingi tangia jana kutoka kwa wasanii wakipaza sauti juu ya Hali hii lakini nimeishia kuona Lady jaydee, zuchu na Idrisa tu angalau wamepiga kelele kukemea jambo hili ,kwa nini nyinyi wasanii hamjitambui ? Nani amewaroga au...
  18. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wa Tanzania mbona hawakemei utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?

    Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofauti na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao. Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki atoa povu: Raia wajibikeni Wasanii sio wajibu wao kuleta mabadiliko

    Rapa Roma Mkatoliki amekiri kuwa wasanii wana ushawishi mkubwa katika jamii, lakini si jukumu lao kuongoza mabadiliko, akikosoa raia kwa kuwatumia kama kisingizio cha kutochukua hatua wenyewe. Katika andiko lake huko X (Twitter), Rapa huyo amehoji ni kwa nini watu wanategemea wasanii kama Zuchu...
  20. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua wasanii wangapi mama amekwenda nao China naomba anijuze.

    Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China. Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
Back
Top Bottom