waraka

Warqah ibn Nawfal ibn Asad ibn Abd-al-Uzza ibn Qusayy Al-Qurashi (Arabic ورقه بن نوفل بن أسد بن عبد العزّى بن قصي القرشي) was the paternal first cousin of Khadija bint Khuwaylid, the first wife of the Islamic prophet Muhammad. He was considered a Christian priest. Warqah presumably died in 610 CE, shortly after Muhammad is said to have received his first revelation.Warqah and Khadija were also the first cousins twice removed of Muhammad: their paternal grandfather Asad ibn Abd-al-Uzza was Muhammad's matrilineal great-great-grandfather. By another reckoning, Warqah was Muhammad's third cousin once removed: Asad ibn Abd-al-Uzza was a grandson of Muhammad's patrilineal great-great-great-grandfather Qusai ibn Kilab. Warqah was the son of a man called Nawfal and his consort—Hind, daughter of Abī Kat̲h̲īr. Warqah was proposed to marry Khadija, but the marriage never took place.Warqah is revered in Islamic tradition for being one of the first hanifs to believe in the prophecy of Muhammad .

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Waraka mfupi wa maombi, toka kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jami kwenda kwa Waziri wa Afya

    Copy and Pasted WARAKA WA MAOMBI YA KUPEWA FURSA YA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA KOZI NYINGINE ZA AFYA KWA KUTUMIA CHETI CHA UHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (COMMUNITY HEALTH WORKER). Kwa Waziri wa afya Katibu mkuu wizara ya Afya, Mkurugenzi wa idara ya mafunzo wizara ya afya, Kwanza kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
  3. JamiiForums Tanzania Siku TEC ikitoa waraka kupinga uchaguzi uliochezewa matokeo CCM itaondoka madarakani

    Salam Wana JF, Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo. Hii taasisi imesababisha...
  4. JamiiForums Tanzania Wito kwa TEC: Waraka wa Maaskofu usomwe makanisani nchi nzima hadi 2025 ipite

    Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake. Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda...
  5. JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu unabagua mambo

    Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa...
  6. JamiiForums Tanzania Sakata la DP World: Kamati ya Bunge Yaahirisha Kupokea Maoni ya Marekebisho ya Sheria za Maliasili ikitaka Ufafanuzi wa Serikali

    Aisee, hivi inakuwaje muwekezaji mmoja tuu anafanya mpaka tubadili sheria za nchi ambazo zilitungwa kwa umakini mkubwa? Hii sheria ya maliasili ni mpya kabisa ya mwaka 2017 tuu hapo, ni kwa nini tubadili sheria inayolinda maliasili kwa ajili muwekezaji mmoja tuu? Ina maana akija muwekezaji...
  7. JamiiForums Tanzania Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

    👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu...
  8. JamiiForums Tanzania Kama taifa ndio tumefikia huku? Je, shida ni ule waraka au kuna kingine hatukijui nyuma ya pazia?

    Jambo hili halileti afya kwa taifa. Tujitafakari! NB: Mwandiko niwa mtu mmoja!.
  9. JamiiForums Tanzania Waraka mpya kwa wanaume wote

    KIKAO CHA WANAUME. Kikao cha wanaume kimeisha salama jana. Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya. Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae. Labda...
  10. JamiiForums Tanzania Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla. --- Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar...
  11. N

    JamiiForums Tanzania TEC ni taasisi ya kidini ambayo watu wake ni Watanzania; msimamo wao ni msimamo wa wananchi wengi

    Habari za asubuhi wakuu, Juzi kati, Maaskofu wa Kikatoliki Tanzania wametoa msimamo wao kuhusiana na bandari, lakini jambo la ajabu kuna watu wameibuka kuwashambulia kwa kuwapinga na cha ajabu wengine ni viongozi wa dini ya Kikristo! Mimi ni Mkristo, tena Mpentekoste, mwalimu wa neno la Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania TEC Ina nguvu duniani kote waraka wao usipuuzwe

    Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani. Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake? Au ni bomu limetegwa?
  13. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

    Mods tafadhari msiunganishe huu uzi/barua wala kuufuta haya ni maonyo ya wazi kwa rais wetu mpendwa SASHA. Niende moja kwa moja kwenye dhima ntawasalimu baadae wakubwa. Kama ilivyo desturi leo mida ya jionii nilienda kupata zangu gahawa na kashata mitaa ya Barakuda, kilichonishtua ni kwamba...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri katoliki waendelee kusoma waraka wa bandari kila wiki baada ya misa hadi Desemba

    Popote walipo TEC chukueni ushauri huu! Waraka uendelee kusomwa kila wiki baada ya misa hadi disemba! Wiki hii serikali waliandaa kila aina ya vigisu na spinning kwa kumtumia Mzee Kikwete na majukwaa, matamasha na maelekezo kwa waandishi ili kukava story zao katika kufumba habari ya waraka...
  15. J

    JamiiForums Tanzania DAS Busega aandika waraka Mwabukusi ashungulikiwe

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Busega, Japhari Kubecha ameandika waraka akitaka Wakili Boniface Mwabukusi ashughulikiwe.
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya tamko la TEC, tunasubiri tamko la BAKWATA

    Baada ya TEC kuukataa mkataba wa DPW hadharani bila kumumunya maneno, sasa tunasubiri tamko la BAKWATA nao tusikie watasema nini. Ni matumaini yangu kwamba BAKWATA watafuata nyanyo za TEC kwa kuukataa mkataba wa DPW bila kupepesa macho. Aidha, inawezekana BAKWATA wakaukubali mkataba na endapo...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Shoo: Kanisa litaendelea kutoa waraka

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT jijini Arusha amesema kanisa litaendelea kukemea yale yote ambayo yapo kinyume. Katika kufanya hivyo, kanisa lisihesabike kuwa linachanganya dini na siasa bali Serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Almachius Rweyongeza: JamiiForums pekee ndio wameripoti Waraka wa TEC mkataba wa DP World kwa Weledi

    Toka kwa baba Askofu Almachius Vincent Rweyongeza wa Jimbo katoliki la Kayanga Media zote Tanzania hajaripoti Waraka wa TEC isipokuwa ni mitadao ya kijamii pekee na JamiiForums pekee ndio wameripoti tena kwa weledi mkubwa, je waraka huo haukukidhi vigezo vya kuw ahabari kubwa? La hasha ulikidhi...
  19. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete kukemea Udini peke yake haitoshi tunataka Msimamo wako juu ya Mkataba mbovu wa Bandari

    Bila kupoteza mda waraka wa Maaskofu umemtoa Kikwete pangoni alikojificha siku nyingi. Binafsi nimekuwa nikihoji uadilifu wa huyu mstaafu na faida yake kwa nchi pale mambo yanapokuwa yanaenda mrama amekuwa kimya sana. Sasa tumemskia anakemea udini ambayo ni planned huko mara kwenye kanisa la...
  20. JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

    Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…