wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji wameondoa uwezekano wa kuangalia ombi la passport kwenye website yao?

    Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo option, so imekua vigumu mtu kujua ombi la passport limefikia wapi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nimesisitiza kutolimbikiza viporo vya kero na migogoro, kwani inatishia undugu wetu

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mchezo wa wananchi kuagizwa kununua dawa mtaani haukubaliki, duka la mtaani linapata wapi dawa ambazo serikali haiwezi kuiapata?

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi wakanunue dawa nje ingali nchi una utoshelevu wa dawa katika maeneo ya kutolea huduma za afya. Mwigulu amehoji duka la dawa linaweza kupata wapi dawa ambazo serikali haina?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hizi breaking news za waarabu wa Mbwinde kwamba Netanyahu kauawa, source yake ni wapi ?

    Imekuwa too much sasa, kila kona uwakutapo waarabu wa Mbwinde utawakuta wakipeana habari za Netanyahu kuuawa. Ni wapi wanazitoa hizi habari ?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mchezo wa ajabu sana unafanyika vituo vya mafuta, hivi vidumu vya mafuta wanavyoficha kwenye dustbin wanatoa wapi mafuta ?

    wiki iliyopita nilienda kufanya service kwenye gereji ya kituo cha mafuta gari ilikuwa na tatizo la mafuta, fundi ali drain mafuta yote kwenye gari, sasa wakati wa kujaza upya mafuta nilishuhudia mchezo huu. nilikuwa na kidumu changu kwenye buti nikampa fundi ajaza mafuta ya elf 10. nimempa...
  6. JamiiForums Tanzania Ndege zinazostaafishwa huwa zinapelekwa wapi?

    Jambo la kawaida kwa mataifa tajiri kama USA na URUSI kusikia kauli hii" NDEGE VITA AINA HII ILISTAFISHWA" Je ndege za aina hii zinauzwa chuma chakavu au huwa wanazipeleka wapi? Wataalam wa mambo haya naomba nitoeni ushamba
  7. W

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Mtu akikusanya matrilioni alafu akajenga banda la kuku huyo ni fisadi, BAKWATA wamekusanya matrilioni yako wapi?

    Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na BAKWATA leo Machi 12, 2026 amewavaa vikali BAKWATA juu ya matrilioni ya fedha wanayoyapata lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Sportybet wamenidhulumu, nawashtaki wapi nipate haki yangu. Njoo hapa nawewe ujifunze yanaweza kukukuta.

    Iko hivi jana nilitengeneza mkeka wa mechi 20 ukaleta odds 53. Mechi 19 zimetiki kasoro mechi moja ya Villarreal na Elche ambayo niliweka option ya over 2.5 bookings. Yaan hiyo mechi iishe kwa kadi 3 au zaidi zitolewe. Mechi imeisha kwa kadi 3 kutolewa, ikiwa 90 zilitoka kadi 2 na katika dakika...
  9. JamiiForums Tanzania Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

    Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts. Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi waliojichagua wenyewe wanapata wapi nguvu za kufokea wananchi au watumishi wa Umma wananchi sio wajinga kama wanavyozani

    Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wako wapi walio sema Hezbullah kwisha?

    Echolima1 a.k.a mwenye majina 30+ kama utitiri Umejificha wapi au kazi za kusafisha vyoo zimekuzidi kule Tela Aviv. Umewaona Hezbullah au bado https://youtu.be/_d95LLJvZ7Y?si=KaozdYLUYtd555oI Afu kuna fununu wametekwa askari wa Israel walijidai eti makamanda kushuka kutoka kwenye Helcopter...
  12. JamiiForums Tanzania Kafulila ameenda wapi na PPP zake na udadavuzi wa uchumi?

    Ni muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi. Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na taarifa zake za PPP zilijaa kwenye media hadi hapa jukwaani. Kulikoni?
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi?

    Hivi ulishakaa na kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi? Na ilikuwaje kuwaje akawaza kuumba . Je maisha ya upweke aliishi kwa muda gani kabla hajaumba malaika ,wanadamu na majini na viumbe wengine. Hiyo infinity past unaichukuliaje? Nini kitatokea hao aliowaamini nao wakakengeuka? Hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Ahadi ya Njia Nne Usagara – Mwanza Mjini (KM 25) Imefikia Wapi?

    Mwaka jana, Serikali ya Tanzania ilitangaza mpango wa kujenga barabara ya Usagara – Mwanza Mjini (KM 25) kwa kiwango cha njia nne (dual carriageway) ili kupunguza msongamano na ajali zinazoendelea katika lango kuu la kuingia Jiji la Mwanza Lakini leo, zaidi ya mwaka mmoja baadaye, wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania Ushuhuda ,wanawake wa kimakonde, kizaramo/kidengereko, wanawake wa kitanga na wanawake wa kihaya wapi ni watamu kitandani?

    Tupe ushuhuda mwanamke gani kati ya hawa ni mtundu kitandani? Maana wamakonde, wazaramo/wandengeleko wanawekwa ndani kabisa kufundishwa namna ya kutiana na makungwi wao ndo maana baadhi ya sehemu serikali wamepiga marufuku kama wanaamasisha umalaya ivi Watanga na wahaya nao sifa zao zinajulikana...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Wazee kwema Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅) Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je, ni wapi ambapo...
  17. JamiiForums Tanzania Wapi ntapata malori ya Dar nikiwa morogoro?

    Anaejua chimbo Tafadhali anipe maelekezo usafiri wa roli kwa dodoma napata wapi?
  18. R

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Mitaa Wilaya ya Ubungo zimegeuka Machinjio ya vyombo vya moto, fedha za Matengenezo ziko wapi?

    Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la kudumu. Katika Kata za Kimara, Makoka na Saranga, mashimo makubwa, matope na mifereji mibovu vimekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa!

    Mungu hadhihakiwi! Wamefubaa/ wamefubazwa mitandaoni Masanja mkandamizaji.. Sehemu kubwa ya mahubiri yake kwenye kanisa lake la mchongo ilikuwa kumsifia mkewe na wanawake wenye makalio makubwa! Akaishia kupigwa baya na baadae katibu wake akafariki kifo tata! Tangu hapo akageuka kuwa chawa...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Tighten Belts Wapi? State House Yatumia KSh 50M Kila Siku Huku Kenyans Wakiambiwa Kubana Matumizi”

    Kenya’s Controller of Budget, Margaret Nyakang'o, ametoa ripoti ya matumizi ya serikali kwa Q1 ya FY 2025/2026 (July–September) — na imezua mjadala mkubwa. Ripoti inaonyesha kuwa State House, chini ya Rais William Ruto, ilitumia takriban KSh 4.5 billion ndani ya miezi mitatu, sawa na KSh 50...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…