wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Zipo wapi nguo za ndani (boxers)za ukweli hapa Dar?

    Ndugu wajuvi, Ni wapi ninaweza kupata boxers zenye ubora hapa Dar? Nyingi zimekaa kiajabu, zinapauka mapema. Sasa, nimeona nijaribu hizi za Woolworth(tazama kiambatisho). Je, kuna mzoefu na hizi boxers za hawa jamaa? Nimeona nianze na piece tatu tu kujaribu. Nikinogewa niongeze. Ninaomba...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mlenda wa unga unatokana na majani gani na yanapatikana wapi?

    Kuna ule mlenda huwa unapikwa kutokana na majani fulani yanayosagwa kama unga, unaitwa mlenda wa unga. Haya majani yanayotengeneza huu mlenda wa unga yanapatikana wapi? Yanauzwa sokoni kama mboga ? Unaweza kuyapikia mlenda yakiwa mabichi(hayajakauka) kama mboga nyingine za majani?
  3. La Quica

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

    Heri ya mwaka mpya 2025. Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine nyumbani na familia, wengine hospital, wengine safarini, wengine kazini n.k Hebu share na sisi hapa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda Bongo Star Search kweli inapata wapi?

    Just imagine mwana wa mai 🤣🤣😆
  5. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Shairi: Mko wapi mpendao?

    MKO WAPI MPENDAO ? 1. Hayapo tena mahaba Ja alivyosema Kiba kila mahali msiba Mko wapi mpendao ? 2. Wasasa ni vibweka Amani ni heka heka Si mbwa ila wabweka Mko wapi mpendao ? 3. Kupendwa ni lengo lao Kupenda si hoja yao Starehe maisha kwao Mko wapi mpendao ? 4. Tokezeni mpendao Hadi kwenye...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi aliyekuwa kiungo mshambuliaji hayari wa Simba Chama?

    Wakuu Chama ni mmoja wa viungo washambuliaji hatari wanaotajwa kuwahi kutokea katika historia ya ligi yetu. Huyu mwamba amepotekea wapi? Kipaji chake kilifanya wafau wa michezo na mashabiki wa Simba sc wamuimbe kila uchwao. Je! Nini kimemkuta? Ligi inaelekea mzunguko wa pili sasa hasikiki...
  7. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata connection ya wauzaji wa PIKIPIKI kwa bei ya kiwandani kwa wachina wenyewe kwa pikipiki za SINORAY, FEKON, KINGLION etc

    Husika na kichwa hapo juu, naomba kufahamu wapi nitapata connection kutoka kwa wachina viwandani au kuagizia china nipate kununua pikipiki kwao moja kwa moja bila kwenda madukani kwa bei ya rejareja au kwemda kwa mawakala wa mikoani au wilayani. Nataka kufungua duka kwa ajili ya kuuza pikipiki...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

    Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie Mwanaume nimeamua kupika Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza Nakosea wapi wakuu
  9. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?

    Wakuu! Wapi napata mikopo mikubwa bila riba? nipeni hints
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msanii "Pasha" kwa sasa yuko wapi?

    Hello.. Nilikua kwenye pitapita zangu nikakuta sehemu zinapigwa ngoma za zamani za bongo fleva.. Ghafla ikapigwa ngoma ya namuimbia ya Pasha aiseeh ilinisafirisha mbali sana kihisia huyu mwamba yuko wapi kwa sasa?.. Alikua amekamilika kuanzia vocal mpaka uandishi.. Kwenye hii ngoma ilipigwa biti...
  11. Logikos

    JamiiForums Tanzania Demokrasia katika Karne ya 21; Ni nini Tunachokitegemea, Uhalisia na Shabaha yetu ni Wapi tunataka Kufika ?

    Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, Kigaiya na Lema mko wapi, chama kina pasuka vipande?

    Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka. Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!! Mnyika umekaa kimya!!kulikoni? Au ndio tunagawana mbao? Tunajua mwenyekiti kafeli, mwambieni ukweli, aache kukipasua chama.
  13. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tupate wapi mtu kama huyu anayependwa hivi?

    YOHANA 1: 4 -- 6. mtu pekee mwenye nuru inayomlika nadi ya CHADEMA ✌️ na ndani ya CCM NA SERIKALI YAKE. MH. TUNDU LISSU aliyejaa neema na kweli, Mtu peeke tuliyepewa zawadi kutoka kwa Mungu. SIKU ZOTE maneno yake yamejaa nguvu na kweli yeto na ushindi. TUMPATE WAPI MTU KAMA HUYU!? Eee Mungu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Sioi Sumary aliekuwa mkwe wa marehemu Lowassa?

    Wasalamu Kama uzi unavyouliza yuko wapi huyu bwana sioi sumary mkwe wa marehemu lowassa maana siku hizi haonekani na wala kwenye msiba wa mkwewe sikumuona kwenye familia ya wafiwa.
  15. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mko wapi nilitegemea kuona mnalifanyia kazi maana hapa Tanzania kuna utawala wa sheria ( rule of law)

  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Wajuzi Hapa ni Wapi?

  17. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yesu kuzaliwa kitovu chake kiliwekwa wapi?

    Kwanza heri ya krismasi kwenu. Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika. Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ikiwa ndani ya chadema wanaolipwa mshahara hawafiki watu 20 je ile ruzuku mil 300 ambayo chadema walikuwa wakiipokea mwaka 2015 -2020 ilienda wapi?

    Nimeshangaa juzi kumsikia MTU anayejiita Mbowe , Kwa kusema moja ya faida ya maridhiano ni chama kupata ruzuku ambayo ni bil 1 .6 iliyotumika kununua jengo ambalo ndo ofisi ya chadema na makao makuu HQ . Swali ikiwa mlikuwa mnapata ruzuku mil 300 Kwa kipindi cha miaka 5 ambayo ni sawa na Bil...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hivi waliotaka kumnyamazisha Lissu Kwa kumuhonga, waliata wapi ujasiri huo?

    Hellow!! Najiuliza, hivi Inawezekana vipi kumtuliza kirahisi Simba au faru aliyejeruhiwa Kwa risasi Kwa vipande vya Fedha? Ama Kweli ,RUSHWA hupofusha ufahamu. Karibuni 🙏
  20. M

    JamiiForums Tanzania Zile Ajira za ualimu zilizoimbwa tangu February zipo wapi mamlaka tokeni hadharan mseme

    Mamlaka tokeni hadharan mseme Kuna Nini kinaendelea . Mlisitisha usaili bila taarifa Mashule yanaelekea jufunguliwa shule nyingi za private zinataka walimu kwa mikataba japo wanalipa Kidogo. . Walimu wanabaki njia panda wasaini mikataba ya mishahara jkidogo au wasubiri Ajira za serikalini ...
Back
Top Bottom