wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gesi ya Mtwara inatumika wapi?

    Watu walipigwa huko mtwara kuhakikisha gesi inakuja dar, hata baada ya hapo 1. Umeme ulikua bado unasumbua 2. Bei ya gas majumbani haijashuka 3. Na bei ya umeme haijashuka, hata baada ya bwawa la Rufiji nalo kukamilika,. Anaenufaika na hii gesi ni nani?
  2. JamiiForums Tanzania Wapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Hapa Tanzania?

    Najaribu Kuuliza Kwa Hapa Tanzania Niwapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Ambazo Zinatumika Kwenye Mitandao ya Simu Asante
  3. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa yuko Wapi!? Sasa hivi angepiga hela

    Na huenda angefanikiwa. 😂😂😂✍️✍️✍️
  4. JamiiForums Tanzania KERO Responded Posta ya Dar kuna chemba zinatiririsha maji taka barabarani, Mamlaka hazijaona, mbona zipo kimya?

    Eneo la Posta barabara inayotokea kwenye Kanisa la KKKT kuelekea Karemjee kuna chemba zimepasuka zinatiririsha maji taka, hali ni mbaya hasa kwa watembea kwa miguu. Tunaomba mamlaka zitafute suluhu ya hii changamoto, njia nzima imejaa maji taka hali ambayo inaleta kero na hofu ya Watu kupata...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa kulike kapotelea wapi?

    Wana JF,kuuliza si kosa,kuna huyu jamaa,hana baya na mtu si mwingine ni mwenzetu Rarara rerere,Sijaziona like zake kitambo! Ni hayo tuu wenzangu.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mama Tanzania! Nduguzo wa wapi?

    Wewe ni nani? Ni Nini Mama Tanzania We ni wapi ni yupi Maji na bahari,maji baridi Kwenu ni wapi asili ni ipi Iwe karibu nyumbani Kilimanjaro,Dunia juu zaidi Watoto wako ni wapi Wavivu? Walegevu? Wenye fikra?wasubirivu? Mbaya wako ni yupi? Kwa Baba mtoto hukua? Wanaume.ni wapi? Ushajaa ni upi...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Wapi napata chemical bukoba

    Habari walee wanaoifahamu bukoba wapi naweza nikapata duka linalouza chemical bukoba
  9. JamiiForums Tanzania Yupo wapi James Mbatia ukimya wake unaleta sintofahamu

    Kwa sisi tunaomjua mbatia ni mwanasiasa Nguli na anapenda sana haki, mbona yupo kimya sana na haonekani kwenye media. Tulitarajia hili suala la Bandari na bajeti ya kipumbavu iliyopitishwa bungeni na wasiojitambua angekuwa kawapa vidonge vyao ila no any information about him Je, yu Wapi Mbatia...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Hapa ni wapi?

    Hapa ni wapi? Ile milima kwenye background ni wapi?
  11. V

    JamiiForums Tanzania Hasara kila kona, Tunaelekea wapi

    Mdhibiti mkuu wa mapato na matumizi wa serikali yetu ya Tanzania ameyataja mashirika yetu makubwa ya serikali jina yanavyojiendesha kwa harasa , kuanzia ATCL mpaka Tanesco. . Kwa kufanya kwa biashara kwa hasara ina maana kipato kwa serikali kinapungua au kinakosekana kabisa hivyo kuathiri deni...
  12. JamiiForums Tanzania Hukumu ya ally kamwe iliishia wapi?

    Ndugu zangu kuuliza sio ujinga. Ally kamwe si alifungiwa kujihusisha na mpira kwa miaka miwili? Imekuwaje anaendelea kujihusisha na mpira hadi hili sakata la tabora limetokea nimeshangaa sana kuwa bado ni msemaji wa yanga mbona manara alipofungiwa aliachia ngazi?.
  13. JamiiForums Tanzania Imeandikwa kuwa Samson alipambana na simba hadi akamuua yule simba.Swali huyo simba jangwani kama parestina alitoka wapi?

    Sina uhakika hapo zamani za kale Palestina waliishi wanyama. Kiasili lile eneo ni jangwa hadi leo yaani ni kame ikiwa pamoja na Israeli. Maandiko yanasema. Walipofika huko kwenye mashamba ya mizabibu, mwanasimba mmoja akatokea akamngurumia Samsoni. Basi, roho ya Mwenyezi-Mungu ikamwingia...
  14. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata CV ya Dr. Sheikh Abubakar Zubeir Sheikh Mkuu wa Tanzania?

    MSAADA wenu Tafadhali. Nahitaji kujua historia yake, malezi na makuzi, elimu, ujuzi na KAZI NA mambo mengi mengineyo. Asante sana
  15. K

    JamiiForums Tanzania Namuulizia aliyekuwa Waziri wa mkapa, Basili Mramba yuko wapi?

    Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe, Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
  16. JamiiForums Tanzania Huyu mdau muhimu yupo wapi? Isije ikawa amepotezwa

    Yu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo. Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya. johnthebaptist upo wapi chifu?
  17. JamiiForums Tanzania Hawa majenerali (jenero) wa vikundi vya kijeshi vya DRC wanasomea wapi?

    DRC wana vikundi tele vidogovidogo dizaini ya M23 vingi vikitumia maaskari watoto. Kila kikundi utasikia wana Jenero wao. Hivi hawa majenero wanasomea wapi hadi wanafuzu kupata huo ujenero au wanajipachika tu hayo majina?
  18. JamiiForums Tanzania Mwashambwa na Raraa Reree wamepotelea wapi?

    Hawa jamaa ni kama wamepotea ghafla. Au wamekula Ban?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania hata wabunge na viongozi walalamishi! Sasa tunaenda wapi?

    Imefika wakati kila mtu anajua tatizo lakini ni hao hao wana lalamikia utaratibu wetu cha ajabu ndiyo hao hao wanatakiwa kubadilisha utaratibu! Huwezi kulalamikia mifumo kila siku
  20. JamiiForums Tanzania Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

    Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara. Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao? Je kuna waliosahaulika hapo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…