Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 937
- 1,961
Najaribu Kuuliza Kwa Hapa Tanzania Niwapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Ambazo Zinatumika Kwenye Mitandao ya Simu
Asante
Asante
Hajakosea kuuliza, he just wants to know.Ukishajua ili iweje?
Unapanga njama?