wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe hili sakata la CPA seni, limefikia wapi? Mpaka sasa

    "Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (Director of Finance and Administration) wa Mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA), CPA George Mahigu Seni, amesimamishwa kazi kwa kupinga mauaji ya watu wasio na hatia Oktoba 29. CPA Seni anatuhumiwa kuchapisha maneno ya uchochezi kwenye WhatsApp group ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nzi wanalalaga wapi usiku? Mbona mchana ni wengi lakini usiku sioni wanapolala?

    Eti nzi wanalalaga wapi usiku? Mi sijui
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Ndege huwa wanafia wapi vifo vya kawaida? (Normal Dearth) huwa sioni mizoga yao chini

    Asalaam aleykhum.. Hivi ndege wa angani huwa wanafia wapi? Kwenye viota vyao? Mbona tukifanikiwa kuchukua viota vyao tunakuta vikinda tu? Mi sijawahi kukutana na maiti au mzoga wa Njiwa, flamingo, mwewe au kipanga chini, iwe mjini au shambani Au wanazikana 🤣?
  4. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma yoyote ya usafi na hujui utaanzaje au utaanzia wapi?

    Je, unahitaji huduma yoyote ya usafi na hujui utaanzaje au utaanzia wapi? Je, unajiuliza ni nani atasafisha eneo lako, ofisi yako au nyumba mpya uliyojenga? Jibu ni kampuni ya Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?

    Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje? Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au binafsi kwa niaba yako? Jibu ni Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Makonda anataka kuifikisha wapi tasnia ya habari?

    Nimemsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda akizungumza na watumishi wa Wizara yake baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dodoma Januari 13, 2026. Katika hotuba yake, Makonda aliyekuwa Naibu Waziri akisaidiana na Khamisi Mwinjuma (Mwana FA) chini ya...
  7. JamiiForums Tanzania Yanapatikana wapi haya

  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe. Ikumbukwe Jenister Mhagama alikuwa waziri wa Afya wakati wa matukio ya Oktoba 29, 2025.
  9. JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  10. JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  11. JamiiForums Tanzania Machawa wa humu Jf mmefilia na kutokomea wapi?

    Ukiondoa mzee wa kujikomba kutafuta uteuzi, ni kama machawa wa humu jf wametokomea au kufilia mbali. Machawa mabingwa wa kujikomba, kupongeza, na kushambulia watu mko wapi?
  12. JamiiForums Tanzania Fela na Yamoto : Zile Nyumba Ziliishia Wapi?

    Miaka ile meneja wa Yamoto Ndugu Saidi Fela, kuna nyumba aliwajengea/aliwanunulia vijana wake wa Yamoto bendi. Hivi zile nyumba walipewa jumla au zilikuwa geresha tu za Bwana Fela!?
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

    Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni. Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole. Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni? Hyocrites pharisees
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wa doria mitandaoni, mlikuwa wapi wakati Wachina wanakwapua Bl 6 kutoka kwenye Akaunti za watu?

    Ilinishangaza kidogo wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa. inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
  15. JamiiForums Tanzania Nywi nywi nywinywinywi imeisha wapi hadi tunaongea maridhiano na maridhishano? Alisema kusingekuwa na tishio akatishwa hadi akaua

    https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw Jikumbushi nywinywi nywinywinywi. Yako wapi. Kumbe rais alituongopea? Je, hapa si muongo kama waongo wengine? Je, haya maridhiano siyo uongo? Je, nani aweza kumuamini muongo?
  16. JamiiForums Tanzania Je unachangamoto meno yako kuoza au Kutoboka na hujui Wapi Utapata Suluhisho!? .

    Meno yaliyooza au kuvunjika yanaweza pata tiba ya kuziba ( kujaza dawa/ kofia jino ) ili kuondoa harufu mbaya kinywani, Maumivu, uvimbe ili kukuwezesha kutafuna chakula vizuri , kuondokana na maumivu , pia uweze kuwa na afya bora ya kinywa na meno Baadhi Ya kazi Za Kuziba meno na kofia...
  17. JamiiForums Tanzania Ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa Dar es Salaam?

    Wakuu habari nataka kuingia kweny ndoa Je, vipimo vya ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa dar es salaam na gharama zake zipoje
  18. JamiiForums Tanzania Wakubwa hapa nimefail wapi?

    Huwa na mazoea ya kwenda bar flani kugida sasa Kuna mdada huwa ananihudumia Leo kaja kukaa karibu yangu ananihudumia vizuri kama kawaida maswali yakaanza sasa Kwanini unakunywa beer ? Nikamjibu tu napenda akaniangalia usoni akasema wewe muongo Ila unaonekana hauna mwanamke hilo sikumjibu...
  19. JamiiForums Tanzania Samia na mashehe watatufikisha wapi kama taifa?

    Si siri wala uzushi. Tanzania sasa inaongozwa na waislam wakiongozwa na sheha na mashehena wao waliojaa uchu, uroho, uzwazwa kiasi cha kuwa vipofu wa balaa wanaloandaa. Tangu yafanyike maandamano ya Oktoba 29, waliokuwa wamejificha nyuma ya pazia wamejitokeza wazi wazi. Baada ya tukio hili...
  20. JamiiForums Tanzania Tupunguze makelele kwa refa tuongelee magoli waliyokosa wakisoma wajue wanarekebisha wapi

    NAONA MAKELELE.MTANDAON KILA.KONA WELL NASHAURI WAJUE PIA KUNA MAKOSA WALIFANYA YAMEWAGHARIMU WAKISOMA.WASIKIMBILIE WAMEONEWA NA REFA JE ZILE NAFASU 2 WANGETULIA SI WANGESHINDA MECHI ASSUME WANGEKOSA. MOJA MEANS DRW JE UDHAIFU ULIKUW WAPI NA UKO.WAPI NA NN KIFANYIKE TUBORESHE TIMU ZETU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…