wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea wapi kama taifa?

    Mama ana mengi ya kusema kuhusu nchi yetu na viongozi wa serikali hii. Msikilize hapa chini: https://youtu.be/z7VCFPIZqJk
  2. JamiiForums Tanzania Wachokonozi wapo wapi? Wamesahaulika?

    Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo walikamatwa na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao waliovamia nyumba ya Joseph Mrindoko walikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Fact Check: Anaposema "hata huko yanatokea" anamaanisha mambo gani yanatokea wapi?

    Tunaambiwa haya mambo yanatokea huko duniani, serikali ya JMT inayaona na haiyasemei kitu. Are we not comparing apples to oranges? Kama ni watu kupigwa risasi huko duniani - je, wanapigwa risasi katika mazingira sawa na yaliyotokea Tanzania? Na je, uwajibikaji baada ya matukio hayo unafanana...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Chakwera yamefikia wapi, siku 4 alizopewa zinaisha leo

    Dkt. Chakwera alitarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku nne kuanzia tarehe 18 hadi 21 Novemba, kwa ajili ya kuanzisha majadiliano jumuishi na wadau mbalimbali wa Tanzania. Mwenye taarifa atupatie sisi wadau na wahanga wa maandamano, au walijifungia Royal Hotel Dodoma na kina...
  5. JamiiForums Tanzania Tukisikia kanisa katoliki limehujumiwa kwa namna yoyote ile au viongozi wao kudhuriwa; tunajua tatizo liko wapi

    Data zimetunzwa!
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya yule Sheikh, Zanzibar iliishia wapi?

    Stori ilitambaa sana ikihusisha mpaka waandishi wa habari kutishiwa maisha, wazee wa kukata kichwa, Iko hivi huyo sheikh mwalimu wa madrasa, ALIKUA anamtuma yule mtoto wa kike mdogo sana soda ampelekee kwake. Baadae huyo Binti akaanza kugoma kwenda madrasa, KUOMBANA, akafunguka unyanyasaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu wapi naweza kupata Laptop nzuri kwa dar es salaam

    Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wapi ntapata compound bow

    Kuna upinde unaitwa Compound bow..ni mzuri na una nguvu...ikizingatiwa kwamba vibaka ni wengi na waporaji..ili siki mtu akiingia dukani kwangu kwa kigezo cha kuandamana nimsalimie ...hivyo nikataka kujua kwa jiji la Dar es Salaam wapi naweza kupata aina hiyo ya upinde...Natanguliza shukrani
  9. JamiiForums Tanzania Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus maarufu sana zilizokuwa zikijulikana kama Meridian, vipi kampuni ipo bado?

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo? Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu Dar Express nawaona...
  10. JamiiForums Tanzania Barua za Habil ziko wapi?

    Alisema ameandika kiapo kwenda kwa rais wa ICC chenye kurasa 168. Alisema walituma barua kwenye mashirika ya ndege kuwaambia wasije huku kutakuwa na maandamano yasiyo na kikomo. Mashirika gani, mangapi?... Alisema walituma barua kwa ofisi za mabalozi zote. Alisema watatuma barua Mecca na...
  11. JamiiForums Tanzania GPA 2.3 unaweza kusoma masters wapi?

    Habarini wakuu kama heading inavouliza hapo, je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree? maaana naona vyuo vyote minimum ni 2.7 GPA, je kuna chuo popote au namna yoyote mtu anaweza kafanya kujiendeleza?
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ile mifungo ya maombi ya TEC huwa inaishia wapi? Ndio mjue Mungu si binadamu

    TEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu nchini, wakati wao wenyewe wamejaa roho za mifarakano, roho za vurugu, roho za kutowaheshimu viongozi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Nabii Tumainiel wa JF?

    Wakuu najua hamko salama kutokana na madhila yanayoendelea kutuandama kama Taifa. Kama mwanachama wa JF, kuna "members" wengi ambao kwa kweli huwa ninawakubali sana kutokana na upeo wao mkubwa wa kuona mbali, akiwemo TumainiEl . Ukifuatilia michango yake mingi, na mabandiko yake, unaweza...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Huyu member yuko wapi? JohnTheBaptist

    Simuoni hapa JF Yulo wapi?
  15. JamiiForums Tanzania Kisa cha askari feki aliyekamatwa na mabomu feki kimeishia wapi?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Changa la macho la kukamatwa askari wa Marekani kimeishia wapi au maji yamezidi unga?
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Alifikiri Alikuwa Anamkomoa Magufuli. Leo Kiko Wapi?

    Alikwenda Washington DC. Akaonana na dada wa taifa. Tukawa na matumaini makubwa. Eti anaifungua nchi. Na kuachana na yote ya Magufuli. Leo kiko wapi? Mpaka wanawindana kukamatana 😂
  17. JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata Hygrometer na Thermostat.? Niko Mwanza

    Wadau msaada Tafadhali sana.
  18. JamiiForums Tanzania Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Iundwe Tume kuchunguza zile Pikipiki na Baiskeli zenye nembo ya SSH zilitoka wapi, kwa mabeberu, waarabu au pesa za ndani.

    Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti. Serious, sio kwa...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huu Mradi wa Mama Uliishia Wapi?

    Mama alianza vizuri sana. Tukawa na matumaini makubwa. Jua la demokrasia likaanza kuchomoza. Sote tukadhani kuwa tumeanza safari upya tukiwa na injini iliyosukwa upya. Nini kilitokea mpaka mradi huu wa kusuka injini ya safari yetu upya ukafa? Kuna anayejua?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…