wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Twende mbele na kurudi nyuma, ilikuaje na wapi Karia alitamka maneno haya? Yananikwaza sana

    Manara alisema aliambiwa na Karia "Wana Yanga chupi zao zimejaa kinyesi". Haya maneno nani mwingine aliyasikia? Walikuwa wapi wao tu wawili? Ilikuaje? Kama ilikuwa public kwa nini wengine hawakusikia? Itakuwa Haji ni katika kuendeleza utani wake kwa sisi wana Yanga kuna kipindi anajisahau...
  2. JamiiForums Tanzania Ziko wapi nafaka za Ukraine mlizo dai ni kwaajili ya nchi masikin na zinazoendelea?

    Tukirudi nyuma kidogo, Tareh 22/6/2022 urusi na Ukraine kwa usimamizi wa uturuki na umoja wa mataifa waliingia mkataba wa makubaliano ambao urusi iliridhia nafaka za Ukraine ziruhusiwe kutoka Ukraine kupitia bahari nyeusi kwaajili program ya umoja wa mataifa ya kuhami nchi masikini dhidi ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

    Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k Takriban watumwa milioni 6...
  4. JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Afya (manesi) huu mtindo ulienda wapi?

    Hivyo vikofia mbona hamvai? Kwanini? Nani aliwakataza?
  5. JamiiForums Tanzania Ukiacha kwenye cinema wapi naweza kuangalia muvi ya avatar?

    Kwa sasa nipo bush na sina uhakika wa kurudi town hivi karibuni Je kuna yakuniwezesha kuangalia muvi hii?
  6. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

    Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi. Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi Hakuwepo katika...
  7. JamiiForums Tanzania CHAPMAN CIGARETTE Naitafuta hii kitu naweza ipata wapi?

    Naitaka hii popote ilipo Tz
  8. JamiiForums Tanzania Ziko wapi trilioni 360 za Watanzania? Je, ni kesi ya madai halali au madai hewa? Je, mawaziri wa fedha wanatosha au hawatoshi?

    ZIKO WAPI TRILIONI 360 ZA WATANZANIA? JE NI KESI YA MADAI HALALI AU MADAI HEWA? JE MAWAZIRI WA FEDHA WANATOSHA AU HAWATOSHI? Leo 12:15hrs 23/09/2022 Ndugu zangu Mh Luhaga Mpina ni Mbunge pekee kwa sasa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano anaetukumbusha na kutuonesha watanzania dhati ya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

    Amani iwe nanyi. Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA! Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa...
  10. JamiiForums Tanzania Inakukumbusha wapi hii??????

    Dah, maisha yanaenda kasi sana kama radi! Natamani kurudi lakini haiwezekani! Wewe Muhenga mwenzangu unakumbuka wapi?????
  11. JamiiForums Tanzania Raia waendelea kufia mikononi mwa polisi, tukimbilie wapi IGP Wambura?

    Watatu wafia mikononi mwa Polisi K’njaro, Dodoma SATURDAY SEPTEMBER 17 2022 Summary Matukio ya watu kufa wakiwa mikononi mwa Polisi, yameendelea kushika kasi kufuatia vifo vilivyotokea katika mikoa ya Kilimanjaro na Dodoma hivi karibuni, huku jeshi hilo mkoani Kilimanjaro likithibitisha...
  12. JamiiForums Tanzania Iko wapi Royal Tour mliopiga chapuo kuwa italeta manufaa kwa Watanzania? Mbona tozo na ughali wa maisha unazidi kuwabana Watanzania

    Mlisema Royal Tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka. Sasa kama Royal Tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini? Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
  13. JamiiForums Tanzania Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

    Habari wakuu, Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Iko wapi dhana ya uwajibikaji?

    Na mwandishi Fauster Fredricky, twende pamoja, Dhana ya uwajibikaji ni dhana ya muhimu katika maisha ya maendeleo kwani ni moja kati ya mambo ya msingi katika kuleta maendeleo, dhana hii hufanya watu kutekeleza majukumu yao husika katika wakati sahihi na hivyo kurahisisha ufikiwaji wa malengo...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Umeme kukatika ovyo tatizo ni nini?

    TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta.
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Waandaaji wa Filamu, mnakwama wapi Filamu za Uhuishaji (Animations)?

    Habari za wakati huu wana JamiiForums. Leo napenda kuongea na waandaaji wa filamu Tanzania. Kwanza niwapongeze kwa kazi kubwa mfanyayo ya kuielimisha na kuiburudisha jamii. Pia, niwapongeze kwa mapinduzi makubwa mnayoyafanya kwenye tasnia ya filamu nchini. Teknolojia inawasaidia sana kuandaa...
  17. JamiiForums Tanzania Jersey kama hizi nitazipata wapi wakuu?

    Kwema wakuu? BOCA JUNIORS wana jezi kali sana , nitazipata wapi kwa hapo dar?
  18. JamiiForums Tanzania Wapi wanafanya Diagnosis ya Magari Arusha Mjini

    Wakuu Salaam Kama heading inavojieleza , ni wapi hapa Arusha mjini wanafanya Diagnosis ya Magari
  19. JamiiForums Tanzania Yu wapi Benji Cosmo wa Caribian beat kila Ijumaa Clouds FM?

    Napenda rege na miondoko ya Caribian beat nk. Nakumbuka miaka ya 2007 hawa jamaa walikua 🔥 sana, Alikuwa Cosmo mwenyewe na Dj alikuwa Bula na jamaa mwingine sikumbuki jina lake. Niliipenda sana rege kwa jinsi wajamaa walivyokuwa wanaendesha kipindi hicho. Nasikitika kwa sasa kipindi hiki hakipo...
  20. JamiiForums Tanzania Mikopo ya wavuvi Bil. 20 tulizoambiwa na Bwana Waziri zimepotelea wapi?

    Wakuu, kwa muda mrefu kulijitokeza GENGE hapa likijinasibu na kusifu kwamba Rais Samia ametoa bilioni 20 kwaajili ya kuwakopesha vikundi vya Wavuvi. Baada ya kuwafuatilia vijana wetu ambao wanajishughulisha na kazi za uvuvi katika maeneo mbali mbali, tumebaini HAKUNA KIKUNDI CHOCHOTE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…