wapalestina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani inajifanya janja sana.Eti Israel iwamalize Hamas wote lakini ipunguze vifo vya wapalestina wengine.Hiyo si huruma bali ni kuakhirisha kifo.

    Siku za karibuni Marekani imejifanya ina huruma na wapalestina na huku anapeleka silaha na anahimiza Israel iendeleze kazi yake. Kuanzia raisi Biden ,Blinke mpaka wairi wa ulinzi Lord Austin wote wmejifanya wana huruma na kurudia ziara za mazungumzo ya siri na Israel.Wakiibuka hadharani wanasema...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Wapalestina vimepitiliza 20,000 na bado kipigo kinaendelea

    Sijajua Israel wanataka kuua wangapi ili uwiane utimie... At least 20,000 people have been killed in the Gaza Strip since Israel began bombarding the enclave more than 10 weeks ago, according to Palestinian officials. At least 8,000 children and 6,200 women are among those killed, Gaza’s...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?

    Kulikoni? Au ni yale ya mkuki kwa nguruwe? Izingatiwe: 1. Binadamu wote ni sawa. 2. Suala la dini ni binafsi na la hiari. 3. Dini Kwa wenye nazo, kila mtu ana yake japo na wasiokuwa nazo pia wapo. 4. Unaongelewa je mgogoro kidini wakati kila mtu ana yake na imani disjoint, yaani zisizokutana...
  4. sanalii

    JamiiForums Tanzania Hakuna binadamu wa udogo, dunia itambue maumivu ya Wapelestine

    Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic. Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine. Hasira...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera hizi taarifa tutawaamini vipi? Zaidi ya Wapalestina 19,000 wameuawa toka Vita ianze?

  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wapalestina watumia mawe kujaribu kupigana na HAMAS waliokua wanaiba chakula cha misaada

    Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki. Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu...
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kiburi cha Hamas na Ujinga wa wapalestina vinaelekea kuwaangamiza kabisa huko Gaza

    Kinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda kuwa chini ya udhibiti wa mamlaka ya Israel. Kwa sasa Israel imesema wazi haya, haijutii chochote...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wapalestina Gaza wagaragazwa wenzao wanaangalia tu. Huu ni unyama

    Inashangaza sana kuwa binadamu sasa wamekuwa na roho za kinyama sana kwa sababu wanyama ndio ambao mwenzao akiliwa wanakuwa na msaada mdogo sana japokuwa kwa umoja wao wangeamua wangeweza kumuokoa. Kinachotokea Gaza kinalingana sana na unyama.Kiwango cha vifo vya wapalestina na kujeruhiwa ni...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa siku mbili, wameuawa Wapalestina 200

    Na wataendelea kufa mpaka wao wenyewe wajue adui wao ni HAMAS, ndiye kawaletea haya masaibu kwa kuchokonoa Wayahudi, kwa kifupi HAMAS iachie Wapalestina wajiongoze kwa amani.... Israel is reportedly planning an intensified and extended campaign in the Gaza Strip lasting potentially more than a...
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Kijasusi: Hamas bingwa wa mabingwa. Hivi karibuni kutatangazwa ushindi mkubwa kwa Wapalestina

    Sote tukae mkao wa kusubiri halwa ya sinia za harusini iliyopikwa ikapikika na Gidemi. Wengi wakazi wa jiji la Dar, wa zamani wenzangu, nikiitaja halwa ya Gidemi ya sinia wanaielewa utamu wake. Kwanza ilikuwa ikifika masinia yale wakati wa kugawanywa, kila mmoja anakodoa macho isije ikawahiwa...
  11. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania CPJ: Hadi sasa Waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 57 wamefariki: 50 Wapalestina, 4 Waisraeli, na 3 Walebanoni

    Vita vya Israel-Gaza vimeleta madhara makubwa kwa waandishi wa habari tangu Hamas ilipoanzisha shambulio lisilotarajiwa dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7 na Israel kutangaza vita dhidi ya kundi la Wapalestina lenye itikadi kali, likifanya mashambulizi katika Ukanda wa Gaza uliowekwa vizuizi. CPJ...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wapalestina kusini ya Gaza wavunja ngome za Israel na kurudi Kaskazini

    Muda mfupi baada ya kusitishwa kwa vita kunakotarajiwa kuendelea kwa siku 4 makundi ya wapalestina waliotiii amri ya kwenda kusini ya Gaza walionekana kuandamana kutaka kurudi makwao. Jeshi la Israel lilisema watu hao hawatakiwi kuvuka barabara kuu ya Salahudin inayoigawa Gaza ya kusini na ya...
  13. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

    Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao. Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi: - Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Dunia inafahamu uongo wa IDF. Waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael, leo wamekiri kuwa ni Wapelestina!

    Wanaukumbi, Israel na propaganda zao Dunia inafahamu uongo wao waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael wamechomwa na Hamas leo wamekiri kuwa ni Wapelestina. Swali basi ni, nani aliyewachoma? Interesting! Israel now admits some 200 of the bodies they said were Israelis turned out...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda Maktaba: Kadhia ya Kuwaunga Mkono Wapalestina

    Leo asubuhi Maktaba ilipata bahati ya kutembelewa na Sheikh Ponda. Kwangu ilikuwa furaha kubwa. Sheikh Ponda kaifuta vumbi Tanzania na kaifariji Palestina kwa kutoa mkono wa taazia kwa Wapalestina kwa msiba mkubwa unaowakabili. Wapalestina watawaandika wananchi wa Tanzania katika historia ya...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Israel kuwataka Wapalestina Waondoke Gaza ili waiangamize ni tangazo hilohilo lililotolewa na Malaika Sodoma na Gomorrah

    TANGAZO LA ISRAEL KUWATAKA WAPALESTINA WAONDOKE GAZA ILI WAIANGAMIZE NI TANGAZO HILOHILO LILILOTOLEWA NA MALAIKA SODOMA NA GOMORRAH. WALIOKAIDI WALIANGAMIZWA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Inaweza ikawa sio Haki au ikawa Haki. Hiyo ipo juu ya mtazamo wa kifikra za mtu husika. Ila...
  17. econonist

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe?

    Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
  18. M

    JamiiForums Tanzania Obama aikosoa vikali Israel; aiambiia: Wewe ndiye sababu ya vita vya Ghaza na maafa ya Wapalestina

    Nov 05, 2023 06:50 UTC Katika matamshi yake mapya kuhusu vita vya Ghaza, Barack Obama, rais wa zamani wa Marekani ameulaumu vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa ndio unaobeba lawama za kutokea mashambulizi ya HAMAS na maafa yanayowatesa Wapalestina hasa wa Ghaza hivi sasa. Kwa...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kampuni ya Pepsi ya Israel imetoa soda mpya zenye rangi za bendera ya Palestina ili zinunuliwe na Wapalestina

    Salaam ndugu zangu, Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yagoma kusitisha vita, yaingia Gaza ndani, mpaka sasa Wapalestina 8,306 wamekufa

    Maandamano ya Waarabu kwenye nchi za wazungu yameshindwa kufanya Israel isitishe vita.... The Israel Defense Forces has “expanded” its operations in the Gaza Strip in recent days, pouring in troops and armored tanks to conduct “coordinated attacks from the ground and the air,” spokesman Daniel...
Back
Top Bottom