wapalestina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Misri yaiomba Israel iachie nafasi ya misaada kutoka Uarabuni kuwafikia Wapalestina

    Mpaka sasa Israel inaendelea kusambaratisha kila kitu na kukata huduma zote, wakimbizi 250,000 wamekusanyika wakitegemea UN, misaada inaendelea kukata, mataifa ya Kiarabu yametanguliza Misri ibembeleze Israel iachie nafasi kidogo ya kufikisha misaada. Hii ni hali ya hovyo sana, kuanzisha choko...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Wapalestina 200,000 wabaki bila makazi, wanaishi kwa misaada ya Umoja wa Mataifa (UN)

    Huku Waarabu weusi wa Bongo wakiendelea kuchekelea na kufurahia uchokozi wa HAMAS kisa ni ndugu zao katika dini, ifahamike wahanga wa hii vita ni hao hao Wapalestina ambao mabomu yamelipua makazi yao na wameishia kwenda kuishi kwa misaada ya wazungu. Mataifa ya Waarabu na Iran wapo pembeni...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

    Hakuna haja ya salamu. Hali imezidi kuwa mbaya kwa upande wa Palestina baada ya kuanzisha mashambulizi Israel. Waisrael wameendelea kumimina mabomb maeneo mbalimbali ya palestina hasa huko GAza na kuleta hali ya Umauti Mauti kwa wakazi wa eneo hilo. Wapalestina wengi wameonekana wakisikitishwa...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Wazungu wasitisha misaada yote kwa Wapalestina, itabidi waarabu wasaidie sasa

    Licha ya chokochoko zote hizi za hawa magaidi, wengi wanaishi kwa misaada ya aidha Israel au kutokea Uzunguni, ila Waarabu wenzao huwapa tu masilaha ya kufyatua kwenda Israel. ============= The European Commission has decided to suspend funding for development projects in the Palestinian...
  5. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Sababu zangu za kuwaunga mkono Wapalestina ni za jadi ya Tanzania na Watanzania wote wanaojielewa

    Palestina, Julius Nyerere na mshikamano wa kimataifa Rosalynn Carter, Rais Julius Nyerere wa Tanzania na Jimmy Carter, tarehe 4 Agosti 1977 [Wikipedia] Binafsi huwa sikubaliani na Nyerere katika mambo mengi, lakini hili la palestina na la ukombozi wa Afrika nililiunga mkono 100%. "Ninaamini...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwalimu Nyerere aliwafukuza Waisrael akawaacha Wapalestina?

    Akiwa Rais wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere aliwafukuza nchini wanadiplomasia wa Israel na kuwaacha wanadiplomasia wa Palestina. Ni kwa nini Mwalimu aliwafukuza waisrael na kuwaacha wapalestina?? johnthebaptist wewe si ulikuwepo zama zile pale Twiga hotel mtaa wa Samora Jijini Dar es...
  7. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel waziba chanzo cha maji kwa saruji kinachowapa Wapalestina maji mjini Hebroni

    Huu ndiyo ukatili wa hali ya juu unaoendelea huko Palestina na huku Dunian ikifumbia macho haya yote.
  8. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Israeli na Wapalestina unapima akili ya Mzungu

    Waarabu wanapima kuwajua wazungu kama ni watu kamili kama wao au wana uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao. Hata nguruwe ukiwapa kichapo na jambia TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako kwa njia ya conditioning (ushawishi) tu bila kutumia akili zao. Waarabu wanajua kuwa rafiki mkubwa...
  9. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laua Wapalestina 10 huko Ukingo wa Magharibi

    Vikosi vya Israel vimewauwa Wapalestina tisa, wakiwemo watatu waliojihami kwa silaha, raia watatu, na kuwajeruhi wengine zaidi ya 90, katika Ukingo wa Magharibi. Watu walioshuhudia na madaktari wamesema kuwa mauaji hayo yamefanyika katika operesheni iliyoendeshwa kwenye eneo tete, lenye...
  10. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Naibu kamanda mkuu wa Jeshi la Israel aangamizwa na Wapalestina

    Hii itakua habari mbaya kwa wayahudi weusi tayari huyu jamaa keshaliwa kichwa sahivi yupo kuzimu huko. Media coverage: "Maj. Bar Falah, 30, the deputy commander of the Israeli army's elite Nahal reconnaissance unit, who was killed last night in a shootout with Palestinian resistance fighters...
  11. jollyman91

    JamiiForums Tanzania Kukiri Israel udhaifu wa "Ngao ya Chuma" na kutoweza kwake kujilinda na makombora ya Wapalestina

    Kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba, mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora uliopachikwa jina la "Ngao ya Chuma" hauwezi kudhamini usalama wa utawala huo mbele ya vipigo vya makombora kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina. Kituo cha...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa Israel: Bunge lapiga kura kuruhusu Wapalestina kuwa raia wa Israel

    Kulikuwa na sheria ambayo ilikuwa inawawekea vikwazo wapalestina wanaoishi israel kuleta wake au waume zao ambao wapo upande wa israel kwa sababu za kiusalama hapo zamani. Kura zimepigwa leo juu ya kuendeleza hii sheria na cha ajabu kina Netanyahu ambao walikuwa wana piga kura kwa vipindi...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morocco yazuia maandamano ya kulalamikia jinai za Israel kwa Wapalestina

    Serikali ya Morocco ambayo hivi sasa imo kwenye mkumbo wa kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia ya utawala wa Kizayuni wa Israel, imezuia kufanyika maandamano ya mamilioni ya wananchi wa nchi hiyo waliokusudia kupaza sauti zao, kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina. Mtandao wa habari wa...
  14. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  15. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Palestina na Israel: Chimbuko na Suluhu

    Jina Palestina linatokana na neno la Kilatini Palaestina na neno la Kigiriki Palaeistine. Maneno haya mawili yanatokana na neno la Kiebrania Pelesheth. Biblia inatumia neno Pelesheth linatafsiriwa Filistia kwa Kiswahili kwenye Biblia. Linarejelea eneo la Pwani ya Mediterenia lililokaliwa na...
  16. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Gaza: Mashambulizi ya makombora yaendelea, Idadi ya vifo vya Wapalestina yafikia 122

    Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka. Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
  17. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wapalestina 36 wauawa katika mashambulio ya roketi ya Israel

    Mamlaka katika eneo la Gaza zimesema takriban Wapalestina 36, wakiwamo watoto 10 wamefariki kutokana na mashambulio ya maroketi kutoka Israel, huku wengine 250 wakijeruhiwa siku ya Jumatano. Mashambulizi haya ni ya hivi karibuni zaidi yanayoongeza mvutano ulioanza baada ya Hamas kuvitaka...
Back
Top Bottom