wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Marekani Muda Huu Wanashambulia Iran Kwa Makombora Mazito Mazito. Viongozi wa Iran kama Kawaida Yao Watatoa Mkwara Mzito Kuwaridhisha Wafuasi wao

    Muda huu Marekani wanaofanya mashambulizi ya anga ya mabomu mazito makubwa huko kusini mwa Iran. Uzuri wa marekani walisema kuwa watakua wanashambulia Iran Kila watavyoamua🤣🤣 Kesho wale viongozi wa Iran watalazimishwa Tena kufanya negotiation la sivyo watashambuliwa Tena Viongozi wa Iran kama...
  2. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Israel Bado Wanapiga Lebanon. Hivi Ndivyo Viongozi Wa Iran Wanavyowafanya Midoli Wafuasi wao

    Israel bado wanapeleka moto Lebanon, hakuna chochote ambacho Iran wamefanya kama walivyokua wakiahidi na kutoa vitisho huko kwenye Media. Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa mitandaoni, hivyo wakawa wanaenda na biti, wanawageuza Midoli Wafuasi wao: - Israel ikishambulia...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wote Wangeruhusiwa kuendelea Kupewa vibali kufanya Mikutano ya Hadhara Majimboni Mwao ili kupokea kero za Wapiga Kura wao na Kutoa Mrejesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo. Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
  4. Toredo0

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawanaga akili wenyewe wanapoteza watu wenye malengo nao kwa upumbafu wao

    Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea kusoma. pia wakati bado anasoma mimi nipo mtaani nikapigiwa pande nikapata kazi serikalini wakati...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Waasisi wa Taifa letu waliwafukuza mabeberu ili ku-mantain Tanzania's sovereignty leo chadema wanawatumia mabeberu ili kuhujumu Tanzania's sovereignty

    Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa. Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Japan waendelea na utamaduni wao wa kusafisha chumba cha kubadilishia nguo baada ya mechi

    Japan kwa mara nyingine wameacha chumba chao cha kubadilishia nguo kikiwa katika hali ya usafi wa hali ya juu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Uholanzi, Moja ya mila na desturi bora zaidi katika ulimwengu wa soka. Baada ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, kwa...
  8. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Iran yawataka raia wa Israel kukaa mbali na kambi za jeshi kwa ajili ya usalama wao. Yasema shambulio la Israel nchini Lebanon haliwez kuachwa ivi ivi

    Niaje waungwana Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon. Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wakati wa maandamano ya ukombozi simu nyingi za wazazi zililia kuwaambia watoto wao wasitoke na wabaki ndani wasije wakauawa

    Hamjambo Wote! Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani. Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani. Nakumbuka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wameshasahau wao walivyokuwa wanabaguliwa na Makaburu! Wanawabagua waafrika wenzao

    Hawa hapa wamesheheni silaha za jadi kushambulia waafrika halafu wanategemea tuwashangilie kombe la dunia!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

    1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa 2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi wanakula-Ushahidi wa hili nenda msikiti shurba kidongo chekundu mwezi wa ramadhani 3. Wakiristo wengi hasa J2...
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya waislamu wako obsessed sana na dini ya kikristo angali wakristo wengi hawana shida na wao?

    Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo. Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi. Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa...
  13. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania UAE na QATAR wanashirikisha wa-kuitwa makafir ili utajiri wao ukuwe ila wanamwaga pesa kwa walala hoi wabaki na dhana ya kumchukia kafir na kugombana

    Ukienda dubai utakutana matajiri wahindi wa kutosha (na bado wanaabudi miungu yao), utakutana na models wa kila aina ambao wanafanyika kama escorts wa wana wafalme wa qatar na UAE, sasa hivi wazungu wako lukuki huko saudia wanafanya projects za maendeleo Utakutana na wayahudi wamefanya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wa CRDB Morogoro Manispaa wanaibiwa fedha zao kwenye akaunti bila wao kujua

    Kuna malalamiko kuhusu matukio ya upotevu wa fedha kwenye akaunti za baadhi ya wateja wa CRDB katika Manispaa ya Morogoro. Miongoni mwa walioathirika ni baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) pamoja na wateja wengine, ambao wamejikuta fedha zikitolewa kwenye akaunti zao...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The Voices From Within:Kilichotokea Oct. 29 Japo Anayeonekana ni Yeye Kumbe Si Yeye Kuna Watu Hawakutimiza Wajibu Wao Ndio Wamemponza, Tumsamehe Tuu?

    Wanabodi Leo usingizi umekatika usiku wa manane, na saa hizi ninapoandika hapa, nasikia adhana ya swalaa swalaa, yaani tayari ni alfajiri, nilikuwa nasikiliza mahubiri fulani online, mara nikaisikia ile sauti toka ndani yangu ya The Voices From Within, ikaniambia, kuwa kilichotokea ile...
  16. Palac

    JamiiForums Tanzania Hoja kwa hoja; Ni kwanini wazazi kwasasa wamepoteza mvuto kwa watoto wao (BIRTH)

    Hivi sasa kwa zama hizi wengi ni wazazi pengine kwa kutarajia kua na wengine hawakutarajia imetokea tu. Kwasasa wazazi wanalalamika watoto wao kutowahudumia zaidi wanapofikia uzee lakini watoto hawa hawa unakuta mjini ana maisha ya kuweza kumtumza mzazi au wazazi wote wawili lakini kwa GenZ...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Wanaojiita Wanaharakati na Wafadhili wao wanahamasisha Vijana kuacha Kazi na Kujihusisha na Matusi na Udhalilishaji

    Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema; "Watanzania, hasa vijana ambao kwa bahati mbaya watu wanaojiita wanaharakati wakiwa na wafadhili wao huko wanapokujua, wamejipa kazi ya kuhamasisha vijana wa...
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Eti kwakuwa Chadema waliamua wao kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 wanalazimisha kila kitu kuwa ni haramu kwao

    Chadema kwa ujinga wao tu bila kuzuiwa na yeyote waliamua kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025. Waliamua kutosaini kanuni za uchaguzi, ilhali vyama vingine 18 vilisaini na kushiriki uchaguzi. Baada ya kujinyima haki hiyo wenyewe kwa mahaba yao, wameamua kuita kila kitu ni haramu, Wanataka...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanaume hawapendi kuulizwa maswali haya sita kutoka kwa wenza wao?

    1. "Uko wapi?" (The Tracking Syndrome) Kisaikolojia: Mwanamke huuliza kwa usalama, lakini mwanaume husikia kama anafuatiliwa au haaminiki (distrust). Ushauri: Badala yake, sema: "Natumai uko salama huko uliko, nakusubiri nyumbani." Hii inampa hamu ya kurudi. 2. "Nipike nini?" au "Tule nini...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wana economic cooperation with China? Dunia ina unafiki sana

    Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka. Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi...
Back
Top Bottom