Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).
Tujitafakari,
Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji?
Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
Ndugu zangu Watanzania,
Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030.
Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala.
Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
Kamanda wa Polisi wa Pwani, Ali Nuno, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaodaiwa kufadhili makundi ya wahuni (goons), akisema kuwa serikali haitaendelea kutoa ulinzi kwa viongozi watakaobainika kutumia au kufadhili makundi hayo kutekeleza vitendo vya vurugu.
Akizungumza na wanahabari, Nuno...
Klabu ya Wydad Casablanca imekanusha taarifa ya kufikia makubaliano na Simba SC juu ya mshambuliaji Selemani Mwalimu 'Gomez' kusalia kwa Wekundu hao wa Msimbazi kwa msimu mmoja zaidi wa mkopo ikidai taarifa hiyo haina ukweli wowote na kwamba klabu hiyo haijasaini makubaliano yoyote ya mkopo...
Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi.
Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana.
Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu.
Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya.
Leo nimeona na kusikia mama mmoja...
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limedai kufanya mashambulizi ya pamoja kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (drones) dhidi ya rada ya mfumo wa ulinzi wa C-RAM katika Kambi ya Ali Al Salem nchini Kuwait, pamoja na eneo lililodaiwa kuwa mahali pa mkusanyiko wa...
Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana.
Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania anayeongoza kuwa na heshima kutokana na nafasi yake kama daktari na namna ambavyo anatekeleza majukumu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao.
Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi...
Nadhani hii sio mimi pekeangu, kuna jamaa ukimuangalia hadi unamuonea huruma, unajiuliza " hivi huyu atapata mpenzi kweli ?" . Ukweli wanawake wanahuruma sana , na kama isingekua hizi sifa za ziada kama hela/kazi, kunawanaume wengi wangekua na hali ngumu sana.
vice versa Jamaa wengi...
Baada ya Heche kutengenezewa script na watu wanaodhani anawachelewesha "kulamba asali," wakaibuka na propaganda ya kumchafua wakidai kuwa anakula michango.
Kilichotokea ni tofauti kabisa. Maboss wa Tone kwa Tone, ambao ndio wachangiaji wakuu, hawakutikiswa hata kidogo na hizo script.
Badala...
Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha.
Wengi wao unakuta wanafupisha fupisha maneno hali inayopelekea kutokueleweka kabisa kitu wanachokimaanisha, je ni...
Kwasababu hicho ndicho wanachoweza kufanya watu hao clueless, rudderless na planless, wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini.
Na matusi hayo yatatokana na waTanzania kuwapuuza na kudinda kubebwa ufala wa kifikra na kukataa kudanganywa kilofa lofa tu, eti...
Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali.
Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
Je,
Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania?
Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
Na kwamba,
Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele?
Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana?
Je,
suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.