Hii story ya Nuhu inayopatikana katika dini zote kubwa mbili inafikrisha sana, ni kisa ambacho kimekuwa na maswali mengi sana, mojawapo ni ya chakula kwa wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu.
Hawa wanyama wote Simba, Chui, Fisi, Chatu n.k walikuwa wanakula nini ndani ya safina ya Nuhu kwa...